Hizi ni zama za mwisho' allah atupe mwisho mwemaa 🤲
@Churchofecclesia
3 ай бұрын
Allah hakupi mwisho mwema, Bali YESU KRISTO ndo anaekupa mwisho mwema
@KijuuShaban
3 ай бұрын
@@Churchofecclesia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MoroNyomboki-bb7re
3 ай бұрын
Endelea shikilia Hivyo hivyo,,huo ni umajinnun
@azizayassin3623
3 ай бұрын
@@Churchofecclesiayesu christo ni nabii wa mungu tu na sio mungu kwani mungu hana mama wla baba hakuzaa wala hakuzaliwa upo wacha kumsingizia yesu uongo nipe andiko la yesu alilosema yeye ni mungu 😂😂😂😂😂
@JoyceMbise-zr2xh
3 ай бұрын
Yesu ni mwana wa MUNGU kweli kweli,kama huamini tuache na imani yetu@@azizayassin3623
@amanmalima940
3 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@FredyMolley-zq3em
3 ай бұрын
@@amanmalima940 kweli lakin kaburi Kun nini nimekuelew
@drmahwa8166
3 ай бұрын
Mmepata yesu mwingine huyo kafufuka
@kutailass6671
3 ай бұрын
Yaam Robert kayashinda maut halafu ety kesi ya shamba imshinde 😂😂😂😂 Arusha ndiko niliko kulia mie 😊
@FriddaUrasa
3 ай бұрын
Hakika upo sawa,hata kama walikosea,nikafufuka.Amina.
@EsterMtalo
3 ай бұрын
Umeua😂😂😂😂😂
@ayubutv9651
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@athumanfuko199
3 ай бұрын
😂akiwatishia kesho ataondoka nao wote kwenda kuzimu lazima wamwachie shamba
@sharifasaleh4802
3 ай бұрын
Hahaaaa hawaogopi
@jacklinesimon7544
3 ай бұрын
Pastor ulifanya Kazi yako Kwa uweledi mkubwa Sana...hata kama uliona hamna kitu ww haikuhusu coz ungeleta taharuki lakin haipaswi hivyo..congats
@StellaMwasha
3 ай бұрын
Kwani pasta aliona kuwa hakufa au
@jacklinesimon7544
3 ай бұрын
Ni Siri yake na mola wake coz hataangeona hapaswi kusema je ushahidi anai??? Means uwe na machi ya rohoni Bila hivyo utaona ni yy na maiti ipo
@deborampinga8185
3 ай бұрын
hv Arusha ni nchi nyingn et eeeh maana duu matukio kila siku
@gilbertkalanda9354
3 ай бұрын
Yaani
@HanifaOman-oo4pl
3 ай бұрын
Mtihani
@mzalendomzalendo2567
3 ай бұрын
Umeona huko ni kenya tanzania bahati mbaya manake watu wamepinda huko jamani
Kama umesikia tulimzika na nguo izo izo #like hapa
@FredyMolley-zq3em
3 ай бұрын
Gai yiani ifukuliwe tu mujue kaburi iko nin
@allahisone6386
3 ай бұрын
😅🏃🤦🏿🏃😅
@FatnaAlly-go7yt
3 ай бұрын
😂@@allahisone6386
@Sammy_01t
3 ай бұрын
Huyu pastor hana tofauti na wanafunzi wa Yesu, hawakuamini kama. Ni yeye kafufuka mpaka Yesu akawaambia nishikeni viganja vyangu ndo muamini mimi ndiye
@IreneNelson-h5c
3 ай бұрын
Only GOD
@NesiaMartin
Ай бұрын
😂
@DismasMaturine
3 ай бұрын
Karudi master sasa sterling hauwawi, naona wanapaniki Hao kazi wanayo
@frankazalia5985
3 ай бұрын
Baraaaaaa
@latwibujuma
3 ай бұрын
Welcome back mwamba tuendeleze kupambana huna baya mjomba 😂😂😂
@starlily07
3 ай бұрын
😂😂😂
@adellakyando2829
3 ай бұрын
😅😅😅😅
@nancyg8664
3 ай бұрын
🤣🤣
@aikt.
3 ай бұрын
😂😅
@abuuhafswamunsheedu5790
3 ай бұрын
😂😂😂
@christinamongi7951
3 ай бұрын
Kila nikiwaza kande tumekula chepe tumepiga na hata kama kafufuka shamba hatumpi😂😂😂sina mbavu mie mwingne hakumbuki kazikwa mwaka gan ila ni kama .....😂😂😂
@paskalinamassawe5283
3 ай бұрын
😂😂😂ninecheja ai arusha my country
@mariakibwana3700
3 ай бұрын
Nimecheka ni kama comedy 🤣 😂
@johnraymond6602
3 ай бұрын
😂😂😂😂 tuzaidizane kucheka yanayofurahisha ya ulimwengu huu kande tumekula na chepe kulipiga😂😂😂😂
@WakundambandaKinyambe
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@LeilaWilfred-zc7gn
3 ай бұрын
Hahaaaa
@AmmyJ-blue
3 ай бұрын
Mwamba hafi hadi apate chake. Welcome back
@JosephEpimack-qs4bi
3 ай бұрын
😂
@Paul.com27
24 күн бұрын
😂
@osmundmtavangu
3 ай бұрын
Mchungaji na yeye hana jicho la rohoni😅😅😅😅😅 ama kweli Arusha ni nchi ingine ndani ya Tanzania.
@SilviaAnthony-uf9fq
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HawaSwaleheh
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@abedysteven4930
3 ай бұрын
Hahahahhsh😂😂😂😂 hii nchi mnachekexha! Jaman jicho la rohon likoje ko mchungaji nae n hamna k2!
@HappyatHome-bn8wm
3 ай бұрын
hahahahaha
@CatherineMbatta
3 ай бұрын
Duuuuu wachungaji wanazika vinyago kumbe
@MsAisha-w4o
3 ай бұрын
Uchawi upo ..mngu atulinde waja wake 😢🙏
@BrunoNamanga
3 ай бұрын
HAPA NILIPO NATETEMEKA WANAGOMBANA NA MAREHEMU ALIERUDI..... MAUZAUZA JAMANI😢😢😢😢😢
@awadhally1052
3 ай бұрын
Mazinga ubwa ya uchawi hayo
@awadhally1052
3 ай бұрын
Ukifa kifo cha ukwel chamu mungu huwez fufuka mpaka siku ya mwishoo
@mariasixmund7964
3 ай бұрын
Na huyo marehemu akicheza atauliwa tena 🙌
@salamasaidi6620
3 ай бұрын
@@mariasixmund7964😂😂😂😂muhimu akaze wakimuua arud tena mpk wachoke wnyw
@kawiche4911
3 ай бұрын
@@awadhally1052 Wamemzika mtu mwingine, hakuna cha uchawi , ni kutokuwa na serikali makini katika kutambuwa waliokufa motuwari
@moudyhamisi2641
3 ай бұрын
Tulimzika mtu na makande tulikulaaah yeah 🤲🤲🤲
@HanifaOman-oo4pl
3 ай бұрын
Wachawi ni mtihani Mungu kawaimbua
@adamapollo9859
3 ай бұрын
Hajafa bana labda walizika mtu si wakwao huyo alikuwa anajikuliya sembe tu bado nani kamtowa kabrin kama si unafiki😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl
3 ай бұрын
@@adamapollo9859 🤣🤣🤣
@DeruDeru-p4t
3 ай бұрын
Arusha shikamoo dur noma sana huyu mzee anavyo babaika kuongea mbaka nimecheka et tulimkatazs ndio kuuza shamba jaman
@lucangwiseman
3 ай бұрын
He is back Legend😂😂 kitawarambaaa😅
@NowelaRaymond-zq4ys
Ай бұрын
Umeeleweka Mzee wangu, much respect😭😭😭
@ifmknowledgepower7333
3 ай бұрын
Sasa Ninaanza kuamin,i kuna mtu ameishawai kuniambia 70,% ya vifo vingi Dunia sio mapenzi ya Mungu ni Hila za shetani, na 20% ni ujinga na uzembe wa watu wenyewe na 10% ndio mapenzi ya Mungu.. Bila kuwa na Mungu wa kweli ni mwendo wa kupigwa viini macho tu. Sterling hafi, mwamba karudi wabaya wake waombe ardhi ipasuke wamezwe, vinginevyo kitawahusu.
@AdelinajescaOswald
3 ай бұрын
Ndiyo maana yake!! Vingi siyo vifo vya MUNGU hata kidogoooo! Ni uchawiiiiiiii!!!
Umenena vyema yaweza kuwa huyo mzee ni chanzo cha Mambo....
@haikawilson216
3 ай бұрын
Yaan akili yangu ishamuona sio mtu mzuri kabisa
@salamasaidi6620
3 ай бұрын
😂😂😂😂wamuhoji kipindi hikihiki alichopanik ndio majibu yatakua sahihi akitulia atadanganya huyo mzee...Robertinyo umerud baba tupo pamoja mpk upate shamba lako 😅😅
@samwelpaul4279
2 ай бұрын
Kwa stori hii tunazika migomba Kila kukicha
@FahadAbubakari
3 ай бұрын
Taarifa za arusha hususan za huyu muandishi ni zakiaina yake
@gabrielmlay3815
3 ай бұрын
Kabisa😂
@eggysulle7988
3 ай бұрын
Upo saii
@2116-n
3 ай бұрын
Na Kuna yule wa Geita na Mwanza
@aminmohammed4249
3 ай бұрын
Ni zakidudu bro😂 chuga ni ya wadudu
@kimwanahamisi8551
3 ай бұрын
😂😂😂@@aminmohammed4249
@YusuphFredMelele
3 ай бұрын
Mzee Kali rudia shamba lake😊😊
@OmegaJustine
3 ай бұрын
Kuna mubaba ameongea point kwamba kwenye boma wamemzika mtu ambae siyo, me nasubiri part two ya hiii stori mana lazima kaburi lifukuliwe .....
@heavengift779
3 ай бұрын
Ni jambo la kufikirisha, lakini masela wana uthibitisho mpaka wa mavazi ni yale yale na pastor anathibitisha, ndugu walioshiriki pia na hata kabla ya kufariki alipataja nyumban kwao.. so wahuni , ndugu , GPS 😂 na pastor watakuwa wanashuhudia uongo mmnh hapana, wazo la kujiridhisha ni muhimu pia… kuna mahali tutakuwa tumepigwa.. 😂,, wacha ije episode 2 tuone 🙌 # New Lazarus in Town 😂😂
@malkiarosemuhando3310
3 ай бұрын
Yeye kasema hakuwepo kwenye msiba Sasa angejuaje kama ndiye au siye!?
Huenda ndo ivo na ndo maaana yule mzee naona kama kachukia sana ..sasa kama dili limebuma ishakula kwake
@AmianaMavura
3 ай бұрын
Na yeye akagoma 😂😂😂😂
@DenisMatemu
3 ай бұрын
arusha my country❤
@SinemaZaChina
3 ай бұрын
chuga ya wenyewe babaangu ila nini wanagu wa chuga karibu muangalie masinema huku wazee
@AthanaseKiyoja
3 ай бұрын
Iko hivi wapendwa:Inapotokea ndugu katika famili amekufa, ikawa mmemuhifadhi mochwari, na pengine amekaa siku zaidi ya siku 2 na kuendelea mwili na viungo vya marehemu yaani ,rangi ya ngozi , sura, na hata urefu nao kidogo huongezeeka.Ndiyo maana siku ya kukabidhiwa mwili wenu kwa ajili ya kuuzika,huwa ni vizuri kuwa makini na huwa tunashauriwa ndugu wa karibu sana wawepo,yaani kunzia mtoto,mama,baba au mke,mme.tupunguze ule u kimbele mbele.Kuweni makini.Lkn ndugu zangu wa Arusha punguzeni siku za kunywa pombe na mikutano ya kisiasa.
@Bushman000
3 ай бұрын
Haya maelezo hayajaeleweka yaweke sawa, mtaalamu
@YohanneSangawe
3 ай бұрын
Ni kweli
@TEDY-MTEMY24
Ай бұрын
@@Bushman000kipi hujaelewa kwa mfano
@amanimakoi7651
3 ай бұрын
Hii pia inaweza kua ushahidi wa time travel. Huyu mtu katoka from the past to the future lakin alipofika future akajikuta the future him ameshafariki.
@LeilaWilfred-zc7gn
3 ай бұрын
Daaa hatariii
@jenipheraron3566
3 ай бұрын
😂mambo ya Korea hayo
@amanimakoi7651
3 ай бұрын
@@jenipheraron3566 dunia ina Siri kubwa sana na wanaojua siri nyingi za dunia hawajafikia kujua hata theluthi ya mambo yote
@betyjoseph6812
2 ай бұрын
Hiyo topic ya physics inaitwaje
@mamaabduly
3 ай бұрын
TANZANIA NZIMA... ARUSHA NDIO INAONGOZA KWA MATUKIO YA AJABU.... REPORTER WA ARUSHA HONGERA
@latifamubba100
3 ай бұрын
Wapo kama wakenya
@mamaabduly
3 ай бұрын
@@latifamubba100 🤣😅😂😅😂😅😂
@ngwacahnyagwaswa9979
3 ай бұрын
😂😂😂@@latifamubba100
@marcelinabwakila7049
3 ай бұрын
Huyo mzee anaesema shamba hatumpi,awe mshtakiwa number moja
@mohamedmagongo9348
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂....halafu inaonyesha atakuwa analijua tukio zima, ndiyo maana anaonekana amechanganyikiwa sana!
@ptr255
3 ай бұрын
Dunia imeishaa 😢😢
@ezekieljacob5795
3 ай бұрын
Umeisha wewe
@DannyWiston-xo4hx
3 ай бұрын
Arusha,vijana mpaka wazee bangi tupu
@JesusJesus-ny1sm
3 ай бұрын
😂😂😂😂
@deodathsilayo3639
3 ай бұрын
Hili ni picha la kihindi steling anakupiga hata kwenye ndoto😅😅😅
@romanambelle6356
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@LeilaWilfred-zc7gn
3 ай бұрын
Hahaaaa
@RogasianStephen
3 ай бұрын
Hi familia bhn inamambo mengi SEMA mpokeeni jombaa bado anataka kula ugali😊😊
@PrinceHendry-hp8vv
3 ай бұрын
Kwa matukio ya manji na msigwa ukiongezea na laufufuko tutasahau kuhoji jamaa alieokotwa katavi
@josephineokama2200
3 ай бұрын
kweli aisee
@FatnaAlly-go7yt
3 ай бұрын
Allahu akbaru baomba tuamini ya kwamba allah anauwezo wa kuumba na kufufua hilo tukubali tukatae huu ndio ukweli hakika allah afanani na yeyote
@chidmp
3 ай бұрын
Kuna mzee apo kaongea fact sana huwenda waliomzika co
@fanty2651
3 ай бұрын
Mzee wa ukoo anajua😀
@godfreyswai4965
3 ай бұрын
Inawezekana,kwanini ana kataa siyeye?
@FatnaAlly-go7yt
3 ай бұрын
Oooh allah hakika wewe ni mjuzi wawa juzi na ndie mwenye uwezo wa kuumba na kufufua hakika sifa na utukufu ni wako mola wangu
@subiraEgid-p6t
3 ай бұрын
Dear God...namimi nasubiri
@AshuuuBakari
3 ай бұрын
Mzee mbona anaogopa sana 😂😂😂 anahojiwa huku atetemeka
@DarliotonTumaini
3 ай бұрын
Anajua kinacho endelea
@godsonmasseri7622
3 ай бұрын
Welcome back brother tuendeleze mapambano 😅😅 uje utuadisie mambo ya heaven 😂 pakoje😂🙌
@barakajpilly6900
3 ай бұрын
laivu aise atupe fununu za majuu😂
@TEDY-MTEMY24
Ай бұрын
@@barakajpilly6900fununu 😅
@TonnleeLwisgon-c6m
Ай бұрын
Mzee wa ukoo kaongea point sana tupate vipimo vya dna vya aliekufa ili tuone maajabu ya dunia🙌
@ladymjema9595
2 ай бұрын
Binadamu wawili wawili... Atakuwa walizika mwingine. Mwamba alikuwa mtaani anajitafutia riziki😊
@Sidrasidra636
3 ай бұрын
Duh Arusha haishi matukio!😮
@vi3ayo1622
3 ай бұрын
Nasema hivi kila mtu afe na chake😂😂😂 hamna kufa kizembe uache mali kwa mtu hiyo hamnagaa manzeee😅😅😅
@frankazalia5985
3 ай бұрын
Duh arushaaa bahna
@AthanaseKiyoja
3 ай бұрын
Arusha,kaeni mjitafakari, kuna mahali mmemkose Mungu.Someni nyalama za nyakati.Mkiona mmeletewa hata mkuu wa mkoa ili aje awanyooshe,mjue mnalo.Sisi tunamkumbuka sana magufuli,maana kabla ya kutwaliwa zake mbinguni,alituondolea huyo mtu hapa Dar,tunaisha kama peponi.
@SmallZambia-xf6dh
3 ай бұрын
Noma sana
@EwaldAntony
3 ай бұрын
Aleluyaaaaaaaaaa
@RaulentJulius-bg4ov
3 ай бұрын
Daaaaaah makubwa sanaa
@ArnestKoome
Ай бұрын
Uyo Mzee ameongea ukweli waende Kwa kabuli wa akikiche that good
@jayjay4313
3 ай бұрын
Ningekuwa Robert ningewapiga maigizo ya kutisha nikaokota dunia nzima kwa kwenda mbele. Mpaka hapo angejitangaza yeye nabii😂😂😂😂
@UpendoLazaro-n3e
3 ай бұрын
😅😂😂😂😂😂😂😂
@EREVUKATV
18 күн бұрын
Qmmake umenichekesha sana 😂😂😂😂😂😂
@davidshirima9045
3 ай бұрын
Muhusika mwenyewe kasema "Sio yeye"
@AdelinajescaOswald
3 ай бұрын
Waambie hao akina Milad Ayo wampigie Askofu Gwajima kama mnataka kuthibitisha hiki kitu mtona! Tena wapige simu mkiwa mnasikia mtashangaaaa!!!!
@darajalakidatukilomgi2362
3 ай бұрын
Mmezika mtu ambaye sio, atafutwe familia iliyopoteza ndugu yao waje watambue mwili
@jescamashaliwa9150
3 ай бұрын
Mwachieni Hilo Shamba Lake Afanye Anachokitaka,.
@sadiqadam7971
3 ай бұрын
Arusha msitufanyie hivyo, hebu tuacheni kidogo 😂
@meshackjackson2838
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@kilogreekachananawatuwasio4054
3 ай бұрын
HUYU MZEE NDIO ALIMPOTEZA KISHILIKINA KWA MAELEZO YAKE UYU MZEE ANAYOSEMA SHAMBA ATUMPI MNAWASIWASI NAE SANA😂😂😂
@austinmcharo928
3 ай бұрын
Chuga noma sana...
@SuleimanKhdija
3 ай бұрын
Arusha🙌🙌🙌
@kobylwaho3191
3 ай бұрын
Arusha igawiwe kenya iwe mkoa uliopo ndani ya kenya hao wanaendana purukushani zao
@barackmoses7003
3 ай бұрын
Mmmmh Arusha yangu
@rennydsollo7791
3 ай бұрын
Wanakwambia hata kama kafufuka shamba hatumpi.... chuga mna niniii😂🙌🙌 Mwamba karibu tuendelee kukatwa tozo, hakuna kutoroka tena sasaa😁😁
@absm8084
3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 kajileta mwenyewe shamba hapati
@LindaMbilinyi-n3n
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abedysteven4930
3 ай бұрын
Mch nae naona kama king'amz kinayumba!! Na yeye haelew k2 hapoo😂😂😂
@JOSEPHMwakibinga
3 ай бұрын
Makonda mungu akubariki baba akuongoze
@innocentboykid244
3 ай бұрын
Kwani hapa anahusikaje
@abuukamanda.s.mkenga6687
3 ай бұрын
Wachaw shikamoon🙌. Ila hawa manabii wa mchongo wangmpt huyu Mwamba wangpiga ela
@deborampinga8185
3 ай бұрын
sasa jmn akizaa mtt lin ila Arusha jmn😂😂😂😂😂
@gloriaaugustino8031
3 ай бұрын
shamba LA babake
@JacklineMoti
3 ай бұрын
Wah tz kna mambo Kweli hata Kenya kunayo but huko 🏃🏃🏃🏃
@GodenBMDaniel
2 ай бұрын
Yeye Robert anasema alikuwa wapi
@Dismasmmassy
3 ай бұрын
Arusha iko tz kweli
@GisellaLukas
3 ай бұрын
𝕟𝕚 𝕟𝕪𝕒𝕜𝕒𝕥𝕚 𝕫𝕒 𝕞𝕨𝕚𝕤𝕙𝕠
@mohammadoman8963
3 ай бұрын
Subhana Allah
@bushbabytz
3 ай бұрын
ILA HII SAYANSI YA KIAFRIKA SIJUI WANAFANYA FANYAJE HAPO😂
@paschalsafari9747
3 ай бұрын
😂😂😂
@rose76312
3 ай бұрын
🤣🤣
@evalinemalole6709
3 ай бұрын
😂😂😂
@FreeGod368
3 ай бұрын
😂😂😂😂acha tu
@melanialeonard4031
3 ай бұрын
Lakin haiondoi maradhi umasikin na ujinga hii ni sayansi isiyo na maendeleo
@godfreyswai4965
3 ай бұрын
Wewe mzee wa ukoo kubali ukatae yesu amefanya kazi Yake,nabado baba yetu kuhani Musa,anajianda kuhubiri neno la mangu mikoa yote Tanzania mzima,wafu watafufuka na wagonjwa wata pona.
@ZamoyoMugabe
3 ай бұрын
Uyu mzee kuna kitu anajua ndomana ana Wenge sana
@Pretty22750
3 ай бұрын
😂😂😂eti ni kweli alizikwa kwan marehemu anajua km alizikwa
@OneSmoll
3 ай бұрын
😊😊😊hayo ni mazinga ombwe ni mauzauza ya kichawi
@FredyMolley-zq3em
3 ай бұрын
Kweli kaburi iangaliwe tafazali
@jacobsafari700
3 ай бұрын
Kumbukumbu imenitoka next time 😅
@comsmkemwa2671
3 ай бұрын
Makonda ana kazi kubwa, Arusha haiiishi vituko....
@JaneAssey-x2f
3 ай бұрын
Original kabisa
@AdelinajescaOswald
3 ай бұрын
Kwa hiyo kilichotokea hapo baada ya kuzika akachukuliwa kichawi ili aende kufanya kazi za kichawi! Lakini kwa Neema za MUNGU amemgomea yule mchawi ndio maana mnamuona! MUNGU ametaka muwajue adui zenu kwenye familia! Muhoji kwa upole atawaambia na waliyomchukuwa msukule!
@JulietOnyango-g7z
2 ай бұрын
Dunia inaisha jameni yesu anarudi watanzania pooow
@justkibet1125
Ай бұрын
Huyo mzee wa koti anaongea sense sana......
@shakilamasoud2983
3 ай бұрын
Mwee 🙌🙌
@Max9_captain
3 ай бұрын
Mamae hii ndo arusha yangu😂😂😂
@NdekejaKamuli-sh5pe
3 ай бұрын
Yes wafukue live tuone kilicho ndani ya jeneza.
@innocentvicent5513
3 ай бұрын
Mwamba huyu hapaa sas😂😂
@MatimaJR-q9k
3 ай бұрын
Duh maajabu
@bonifasiemanueli21
3 ай бұрын
Huyo ni udhaifu wA viongozi wA dini,watu wengi wanazika magogo,n'a migomba ya ndizi,hawan a Imani tena n'a nguvu za MUNGU,n'a macho ya Kiroho,wawe wanaomba,
@michaelmtanzania219
3 ай бұрын
Yaan natamani ningekuwa mimi
@RoseOmungu
3 ай бұрын
😂😂😂😂
@sir_ENOCKMACHA
3 ай бұрын
Duuuh maajabu
@kekiplus1andonly
3 ай бұрын
Sasa amefufukaje??mmmmh!!!mi nahitaji kujua zaidi Ni kweli kufukuliwe tu tujue😮😮😮😮sababu weee
@aboudijaaboudija
3 ай бұрын
😂😂haya uliechukua shamba lake mwenyew amerudi kama ulimuua uzulum utajua hujui
Пікірлер: 767