Nipo pamoja na ww Mchungaji nakuelewa sana Bwana YESU kristo asifiweeee ameeeeee
@leonardsr8994
2 жыл бұрын
Naomba msiwe mnakata sehem ya maombi, huwa yanatusaidia sana
@papyprosper8922
2 жыл бұрын
Wow wow Nimependa sana mpaka mwisho long life i wish you Baba wa kiroho
@SalomeChomo-hl1fi
Жыл бұрын
Asanteeee nimebalikiwa sana
@miriammuller2845
Жыл бұрын
Praise the Lord 🙏♥️
@elishasoka6692
2 жыл бұрын
kila kilichomezwa katika maisha yangu Kimetapikwa kwa Jina la YESU I connect my life with this service in Jesus name
@salomemueni100
2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@bonifacebeatrice8077
2 жыл бұрын
Asantee, naomba unisaidie kwa maana nimeomba toba na rehemu nilipojua Chanzo cha ninayo yapitia ni uasi
@chengeson
Жыл бұрын
Amina baba nikweli tumekua tukipitia mapito mbali mbali ambayo kwa namna moja au nyingine inakuaga nivigumu sana kuelewa nini chanzo cha yote hayo ila Mungu uja pale akili ya kibinadamu ikishindwa . Mungu nijibu yesu nijibu amini amini
@georgelabissu3015
Жыл бұрын
mafundisho yako kweli yanatufungua wengi mungu azid kkpa mafunuo zaid na maisha marefu pya
@tysonmilimu4017
2 жыл бұрын
Naomba pastor niombe sina kasi ninashita niko kenya pastor nina amini mungu pastor 😭😭😭😭
@gloriakawago6223
2 жыл бұрын
Ameen, naomba na maombi muwe mnatuwekea ni muhim sana
@MariamuMhando-u6r
11 ай бұрын
Ameen baba wa kiroho🙏🙏
@josephnganga2334
2 жыл бұрын
I'm blessed by the servant of God.
@ElizabethKisamba
8 күн бұрын
Nimeisikiliza leo 10/10/2024 lakini nimejifunza na naamini nimefunguliwa.
@joycesanga6951
2 жыл бұрын
Amina mrumishi wa mungu bado nina kiu ya kuonana na wewe nafanyaje?
@pastorsunbellakyando
2 жыл бұрын
Tumia namba hii 0657173322 tuma sms.
@joycesanga6951
2 жыл бұрын
Asante
@asnetojoel6778
2 жыл бұрын
Leta za Whatsapp
@me__reen2440
2 жыл бұрын
@@pastorsunbellakyando shalom baba samahan uliniambia nikutumiye sms lakin hadileo huja nijibu naomba unijibu
@pastorsunbellakyando
2 жыл бұрын
@@me__reen2440 Tuma kwa samba hii 0657173322
@vedastogwido5311
2 жыл бұрын
Amina👏👏🙏
@mhamdahmd7758
2 жыл бұрын
Amen Amen
@WeddyKathambi-b6g
11 ай бұрын
I command my enemies to vomit what they av swallowed from My life
@ntulisuzan897
Жыл бұрын
Amen
@jeradymicheljerady7062
2 жыл бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏
@pastornoelonlinetv5747
2 жыл бұрын
AMINA MWANA WA MUNGU. NAPOKEA
@jacintasyombua7512
2 жыл бұрын
Amen Amen🙏🏿🙏🏿
@5h_cockpit187
2 жыл бұрын
Glory to GOD
@petermunuo1657
2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@salomemueni100
2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN..
@happinessjohn7578
2 жыл бұрын
Ameen
@MichaelMesso-q5m
Ай бұрын
❤❤❤
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
Wow
@braytonjonas7069
9 ай бұрын
Tunaomba na maombi
@kakabaraka1058
2 жыл бұрын
nilikua nasubiri maombezi yake
@mbokastivin5443
2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@eugeniachoma3833
2 жыл бұрын
Kanisa liko wap?
@pastorsunbellakyando
2 жыл бұрын
Kanisa lipo sinza mori mkabala na Tamwa
@makanijosephine6443
2 жыл бұрын
@@pastorsunbellakyando PASTOR UNANISAIDIA SANA KIROHO NINA MATATIZO YA KIFAMILIA CHUNGU NZIMA NATAFUTA NAULI I WILL COME ONE DAY UNANISAIDIA NIENDELEE KUW ANA MATUMAINI
@makanijosephine6443
2 жыл бұрын
ROHO YA UMASKINI NIKIPATA PESA HAIFANYI CHOCHOTE , FAMILIA YANGU YOTE KILA MMOJA ANA MATATIZO WE NEED PRAYERS
@makanijosephine6443
2 жыл бұрын
NAULI TU NDO SINA NATAMANI SANA NIKUONE MTUMISHI WA MUNGU UNANIINUA SANA MTUMISHI
Пікірлер: 48