Sababu ya vijana wa kisasa kuwa hawaelewi kuhusu mambo ya uendeshaji wa familia ni kule watu wengi waneteleza na kuacha kufuata mafundisho ya Mtume. Hata kungwi wengi hawakusoma vyema Dini kwa kuwa walikuwa ni vijana juzi juzi sasa wameshaolewa wamjua maisha ya ndoa yanahitaji kuwa subira na pia maarifa ya utekelezaji wa majukumu ya kuboresha mambo ya ndoa. Wasichana wakifunzwa na kungwi je vijana wa kiume hufunzwa na nani? Ndio wengi hujifunza vijiweni ambako kila ajae ana yake.
@benedictmrisho2361
3 жыл бұрын
Mtu kwao
@mapishitanga9861
3 жыл бұрын
Umeonaeee
@BIGBOSS-hl3bu
5 ай бұрын
Naja huko jamani mieeee khaaaa
@wm9669
3 жыл бұрын
Nice 👍🏼
@AhmedSaid-xz3kj
3 жыл бұрын
Mashallah mungu awabarik
@HalimaHalima-id2cb
3 жыл бұрын
Shukran my ❤
@tanzanite9944
2 жыл бұрын
Huyu Dada yuko vizuri agombee nafasi ya juu 2025 iko wazi kwa ajili ya wanawake.
Пікірлер: 40