Jicho la mwewe.. mfano rahisi hata kwa ambaye hajafka shule kuelewa. Makini sana kazi njema.
@CivilEngineeringWorks-d7b
4 ай бұрын
Hapo sawa hata mm ntawasadia ili wajue Tanzania 🇹🇿 we are Educated
@kassimbayuu
4 ай бұрын
Hii nchi ni ngumu kwa sababu ya ufisadi wa viongozi
@peterdavid20149
4 ай бұрын
Viongozi hao ndio hao wanaohongwa na makampuni ya simu ili waendelee kunyonya wananchi
@mohamedaboud8019
4 ай бұрын
Hongera kwa Kenya nilikua sijui hili.. Asante sns
@jacobletema3681
4 ай бұрын
Umeme, maji, reli, huduma za afya bado ni shida tu!
@rojatv167
4 ай бұрын
Aizuii vitu vingine vifanyike hata USA Wana machokolaa japo wameendelea kiuchumi
@khadi-z4o
4 ай бұрын
MMESHINDWA KITU KIDOGOTU UMEME NA MAJITU 24HRS MMESHINDWA..WACHENI UJINGA HEBU.MSITUFANYE WATOTO
@assateke7199
4 ай бұрын
Mwendokasi wapi?
@SamG-hs9xe
4 ай бұрын
Unaitaji inchi Burundi 🇧🇮🇧🇮 yangu amakwelia wew ni mwoto na nakutabiliya wew utakija kuwa mtagadzadji mkubwa duniani babu
@J4UPro
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@MichaelJoseph-uc4zk
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hongera nchi yangu Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ndukulusudikucho_
4 ай бұрын
Mungu Mkubwa, Mungu ibarik Tanzania, Mungu awabarik Viongozi wetu wote , Ila wajiandae na maadui wanaweza waifanyie mchezo mchafu huko angani
@vallencymacdonalds
4 ай бұрын
Jamaa anajua sana
@yussufyussuf7686
4 ай бұрын
Niatua nzuli lkn yakwetu ilushwe china au kw kiboko ya mashoga Putin
@raymondmushi9019
3 ай бұрын
Hii ni hatua kubwa kwetu tz.kwa maana nchi itakuwa inafanya mambo yake kwa uhakika zaidi.
@BIGBOSS-hl3bu
4 ай бұрын
Kwa faida nyingine hata garama za mawasiliano ninaweza kuwa nafuu zaidi ya Sasa
@jonfredkewe3451
4 ай бұрын
CBora tukarushie Urusi
@bishweko
4 ай бұрын
Ushauri mzuri sana Ally. Ila serikali nayo ijitahidi kuwekeza nguvu zake mno kwenye Vyuo vya Ufundi technologies ikuzwe huko naimani Tutatoboa. Na pia washauli wetu wa nje tuwemakini nao. Lazima tutizame nani wa kushikana nae.
@thefactbook...1607
3 ай бұрын
Kabisa vyuo viwezeshwe.elimu ndo kila kitu.
@khamisomar889
4 ай бұрын
Azam sio wadhamini kwann waewe air time hii kibiashara haijakaa sawa
@japharymagesa735
4 ай бұрын
Kama halijaanguka mniite mbwa
@-magicstory
4 ай бұрын
Wait wait wait kumbe kuna nchi nyingine inaitwa tanzania na amtwambiii😂😂😂😂Bongo sisi umbea tu setillite tuwaachie warusi😂😂
@africanmandetraveler2847
4 ай бұрын
Wametengeneza wenyewe au ni wahind,wachina na wazungu watasaidia kuirusha.
@japharymagesa735
4 ай бұрын
Hatutaki maneno rusheni tuone mbona misifa😅😅😅
@estherpaul3864
4 ай бұрын
Namshukuru sana rais wangu mheshimiwa samia suruhu Hassan❤️
@charlesboniphace2249
4 ай бұрын
Edited😂
@yussufyussuf7686
4 ай бұрын
Hatutaki ilushwe Us km kenya US watatudukua vitu vya selekali yetu
@imanuelnguya9277
4 ай бұрын
Asante sana mchambuzi
@raymondmushi9019
3 ай бұрын
Halafu kuna watu wa nchi hii hawaoni kazi kubwa inayofanywa na mh Rais wa JMT mama SSH.
@emanuelsinyinza
4 ай бұрын
Huyo amekariri tokea kwenye vitabu.
@peacejunne5037
4 ай бұрын
Mmmmmh hapo kwanza ncheke Hah SHAMBA LA BIBI HALIWEZI KUJIENDESHA KTK ANGA YAKE labda drons ifungiwe camera c vinginevyo
@NduwayezuJosue
3 ай бұрын
Mama samia Ana waza
@makeyzanmakey7324
4 ай бұрын
Habar njema ❤❤
@fidelfidel-jz4iw
4 ай бұрын
😂😂😂😂 hongera serikali muhimu sanaa hasa kwa usalama mawasiliano biashara uchumi nk nchi kama Tanzania nchi kubwa hilo mmefanya jambo kubwa .
@RutaRubedi
4 ай бұрын
😂😂😂 mtatuuwa, hayajaisha ya robot mnaleta satellite!
@MalengaEleme
4 ай бұрын
Mwamba unajua hongera kaka
@edwardlesian9318
4 ай бұрын
Hiiii maajabu ngoja tuone walahi😂😂😂
@salhawaziri1668
4 ай бұрын
Mwenzang
@khaalidcheo5383
4 ай бұрын
Mweeeeeh
@issamuhammedi
4 ай бұрын
Maji Barbara na umeme mmmh
@atutweve4160
4 ай бұрын
🤣😂😂😂😂😂😂
@ISSACKRICHARD
4 ай бұрын
Tanzania kurushiwa satelait sio kurusha akuna mtz anaweza ayo mambo😂😂😂😂
@water_music40
4 ай бұрын
Kwahiyo mtu akinisariti nitamuta sateraiti yeye ni chombo kinacho nizunguka. kumbe yuda msaliti ni sateraiti😂😂😂
@Niika870
4 ай бұрын
Safiii kabisa fanyen kweli tuvimbe
@jumamayonga8914
4 ай бұрын
Hii ndiyo teknolojia ya kuwafundisha wanafunzi wetu badala ya kuwakaririsha kuwa binadamu alitokana na sokwe
@hezronjoseph405
4 ай бұрын
nipo mjini kabisa na kunamgao wa maji hio mtaweza kulusha ,,Angalieni msije mkalusha kimba😎😎😎
@jumahamis227
4 ай бұрын
oya make hapo kwanza nchekee 😂, sema aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea 😅.
@MS.independent8934
4 ай бұрын
Nimecheka aisee hii habari ya TZ kurusha ebuu mniache bhanaa 😂😂😂my🇹🇿 banana hakuishi vihoja
@RamadanPaul
4 ай бұрын
Punguza dharau wewe, unajiona ni wa chini sana sio. Jiamini kila kitu kinawezekana.
@nakalikyumile3234
4 ай бұрын
Hamna kitu hapo,mikwara mitupu,
@aishaarusha894
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mungu tusaidie isije ikaenda juu ikaturudia chini 😊
@Chiboe805
4 ай бұрын
Watot was shule za msingi wanakaaa chini kwenye mawe, Bado tuna sera ya nyumba ni chooo 😌 How sas 🤷♂️
@emanuelsinyinza
4 ай бұрын
Watamwomba mchina au mkorea tanzania hawawezi kutengeza setellite hizo ni hadithi za Abunuwas.wanasayansi wote wasomi wote akili yao nikuingia bungeni apate mishahara mikubwa. Wala msipoteze mda kuwasikiliza .hadithi hizo
@bcozhenry2698
4 ай бұрын
Isije kuwa mbinu ya kutupiga jasho letu halafu hakuna kitu
@Zuu673
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂sijui nacheka nn
@FerdinandCharles-ko7de
4 ай бұрын
😂😂😂 Tanzania kulusha roket
@Zuu673
4 ай бұрын
@@FerdinandCharles-ko7de 😄 🤣 😂
@FerdinandCharles-ko7de
4 ай бұрын
@@Zuu673 lengo kubwa ni kujua utabir wa hali ya hewa mafuriko yamezid
@realswahilicultural8140
4 ай бұрын
Viongozi kama ndo kina Nape ambao Awana visions kabisa badala ya kumwelekeza mama Wana bakia tu kumsifiab..kiukweli inavyunja moyo😢
@SmithJacob-f2r
4 ай бұрын
Hahahahahaha km hatuwez kutemgeza hata Wembee Leo sataleti mhuuu
@MichaelJoseph-uc4zk
4 ай бұрын
Jamani isije ikatuangukia ikatupasua Vichwa😂😂😂😂😂
@masoudmasoud8138
4 ай бұрын
Rais gani aliesema
@kwisa4899
4 ай бұрын
sehemu rahisi kuibia serikali
@richardburundi3090
4 ай бұрын
Ijipangekwanza kiucumi wcimbe mafuta iri Wana inci wafaidik hio haina faidayoyote kwawatu wadogo wadogo
@suleim505
4 ай бұрын
TUNAWEZA KUSEMA NI YA TZ LAKUNI WATENGENEZAJI NDIYO WANAELEWA MIFUMO YAO,, ILA NI WAZO ZURI SANA LAKINI UPANDE WA PILI USALAMA WA NCHI KWANZA : MANAKE MTU ATAONEKANA MPAKA CHOONI AKIKATAGOGO🙄 SIYO POA😆
@mwawekomiuda9779
4 ай бұрын
Hivi nyinyi mnaiona ni neema kwenu?
@lucasbatano333
4 ай бұрын
Ngoja tusubiri😂
@josephmabula9658
4 ай бұрын
Maigizo hayo,,kurusha wapi
@konshazikonsha6180
4 ай бұрын
Ungeambiwa Wanarusha shangazi zako wa nnchi nyingine,ungeamini uwongo🤔🤔😇😇😇 Jikubali mwa Africa unaweza piaa!!!
@King_Of_Everything
4 ай бұрын
👍✌️👊.
@ShukranMwakyambo
4 ай бұрын
Wasije wakatusababishia matatizoo
@alakhy1-yi2pn
4 ай бұрын
Ebwanaeeee hebu tuache kutafuta hatari bhn
@Kagineemmanuel
4 ай бұрын
Hujielewi umeme tu mtiani alafu unaongelea anga la mbali?
@MohamedChengula
4 ай бұрын
Na nchi kama Iran nao wanalusha zakwao satalaiti Tena wanaunda mifumo mitambo yakwao wenyewe yakuzilushia
@hollymore4904
4 ай бұрын
Mmh! Mtuambiage maeneo gan tuhame.. zakibongo hazkawii kudondoka 😂
@abedinegoraphael4774
4 ай бұрын
ya china mbona wamefeli mara nyingi mbona hawajaacha
@khamisfarouk9493
4 ай бұрын
Jaman mbna mnacheka wandugu mbona kwa robot tulweza em tujikubal bhana😂
@MathayoMolel
4 ай бұрын
ukweli🇹🇿💪💪
@AlmachNestory
4 ай бұрын
Waamini viongozi wa sasa hivi lakini kamwe usiamini maneno yao kwani wote wana sura mbili hawaaminiki kabisa, maneno mengi vitendo hamna kabisa, jambo ambalo lilishindwa kuanzishwa kipindi cha mzalendo wa kweli JPM sahau kufanyika wakati huu na ikitokea imefanyika itakuwa kwa ufadhili wa mabeberu Marekani.
@amosmakabara3024
4 ай бұрын
Brother wewe nipacha ya mirad ayo
@theuniversetv2870
3 ай бұрын
Kuzunguruka au kuzunguka??😂😂
@Ibrahim-ne3in
4 ай бұрын
😂😂😂 Itakua kama Robot unice
@Zillionking627
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Badvoice707
4 ай бұрын
aitadondoka kweli 😮😮😮😮
@bbanyikwa
4 ай бұрын
😂😂😂😂
@jumamayonga8914
4 ай бұрын
Viongozi wetu mnamsikia huyo mtaalamu?
@redtk2971
4 ай бұрын
CHONÐE JAMANI TZ NA IZO PLAN ZENU ISIJE IKAACHIA KUTOKA HUKO IKAJA KUMPIGA MTU KICHWANI KAMA ROBOTI VILE IYO SATELITE JE😂
@jasminmdimi6059
4 ай бұрын
Eeh tumepiga hatua😂😂
@Kituramohamed9698
4 ай бұрын
Kutoka kenye robot mpaka satellite 😂😂😂😂😂 lille roboti si redio ya kichina imewekwa flash 😊😊😊😊 😋😋😋
@tyivbra
4 ай бұрын
Hv wakuu Dunia ni flat km sahan au ni duara?
@HassanJambia
4 ай бұрын
Miaka ya nyuma wanasayansi walifanya tait zao wakasema dunia ni duara lkn bdaa ya miska ya 2000 wakasema dunia sii duara bali ni sphere kwa ligha ya kingereza sijajuwa kwa maana nyingine dunia ni ni kama yai kiufi ni hivyo
@HassanJambia
4 ай бұрын
Miaka ya nyuma wanasayansi walifanya tait zao wakasema dunia ni duara lkn bdaa ya miska ya 2000 wakasema dunia sii duara bali ni sphere kwa ligha ya kingereza sijajuwa kwa maana nyingine dunia ni ni kama yai kiufi ni hivyo
@LeeySeedorf
4 ай бұрын
Iwe kama yule roboti wa bungeni.huduma za afya zimewashinda munataka kutuingizia gharama za kitaifa ambazo hazitafanikiwa kwa 100%.
@emanuelsinyinza
4 ай бұрын
Mnapoteza bando zenu kusikia hizo taarifa.
@golebenson4597
4 ай бұрын
isije ikandondoka karikooo😂😂😂
@mamilafx1225
4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AliAli-hs8si
4 ай бұрын
Hahahaha
@asalitv8810
4 ай бұрын
Wakwanza like zangu tafadhali
@jamesmboneko2952
4 ай бұрын
Tanzania gani, ama kuna nyingine hapa Duniani
@JosephKapanga
4 ай бұрын
Upo sawa, serikali iwekeze Sasa katika technology ya kutengeneza satellite ya kwetu Tanzania.Tuache ujinga wa kuomba misaada Toka nchi za magharibi na washirika wake.
@fidelfidel-jz4iw
4 ай бұрын
Satellite pia inafanya kazi ya utafiti kama vile nchi yetu ina madini nchi nzima Germany wanadai Tanzania ina madini mengi ila Sisi hata serikali haijui lazima kufanya utafiti nchi zima hilo ni muhimu na inawezekana .
@sbboymkaliofficial9108
3 ай бұрын
Isije ikawa Iyo satalaiti Ina tumia mafuta ya taaa maana Tanzania yangu Mimi kah 😂😂😂😂
@johnmalembeka3546
4 ай бұрын
Sisi hatutaki hyo mamb tunataka maendeleo yaonekane kwanza miradi kibao haijakamilika tena mnataka mkimbilie uko dah kwel chukua chako mapema
@jumaamsuya5
Ай бұрын
Gd mama sami onyesha tunaweza kwani wao wamewezaje
@SmartMC-bp9yg
4 ай бұрын
Mtu mkubwa miaka yake inaanza na miaka 18 tukumbuke na hilo.
@Soon815
4 ай бұрын
WaTanzania wengi akil ndogo!! Nikuropoka-ropoka tu kichwan hamna kitu! Hiyo Satelite ni zile ndogo kwa ajili ya mawasiliano na surveillance kama nchi tunaweza na sio lazma irushwe kutoka ardhi ya Tz inaweza rushwa USA,UK,China etc lakini ikawa ya Tz.
@issamuhammedi
4 ай бұрын
Aaa kumbe ivo kama ndege vile
@muduboy726
4 ай бұрын
Mpaka wapewe ruhusa na wazungu la sivyo hakuna kurusha
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
4 ай бұрын
Katiba mmeshndwa wiz mtupu setraight
@hatjuggling8858
4 ай бұрын
Sehem gani watalushia maana sijawahi kuona TZ maana uku Israel wakitaka kulusha watu tunajaa kuona 😊
@upgo6112
4 ай бұрын
Isije kuwa kama robot la nape
@braystuskibassa3842
4 ай бұрын
Naomba Mungu isiwe na satellite ya kimarekani au Ulaya magharibi thus over
@madman-x4s
4 ай бұрын
😂😂hizi ni bhangi kabsaa
@MapalalaPedeshe
4 ай бұрын
Porojo fc 😂😂bongo nyoso
@stephenndagalla8183
4 ай бұрын
Maelezo hayo ya setilite ni nini na jinsi zinavyo fanya kazi, ndio mpango kazi mkakati wa Wizara ya Habari na Teknolojia wa kuwa na Setilite yake angani??
@Masekohope
4 ай бұрын
Mumefanya bizuri sana rakini watu wa Rwanda tunawo muwunganishe mitandawo na Tz kwasababu tunapenda bipindi bya Tz
@JUSTNEMITOMINGI
4 ай бұрын
Kama yule mdoli mjengoni mkatupiga bado na tiala mnaita satelaiti
@peninashungu6633
4 ай бұрын
Kwani mmeshamalizana na roboti kwanza😂😂anaongea au mpaka umeme uwepo
Пікірлер: 143