"Kwa masikitiko makubwa tumepata msiba mkubwa, Mzee wetu Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu amefariki dunia, amefariki dunia katika hospitali jijini Dar Es Salaam ambako alikuwa amelazwa, niwaombe Watanzania tulipokee hili, tumepata msiba mkubwa na tuendelee kumuombea Mzee wetu Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa ambaye amatangulia mbele ya haki, taarifa zingine zitaendelea kutolewa lakini Mzee Mkapa hatunaye," amesema Mhe. Rais Magufuli katika taarifa yake kwa Taifa.
- Күн бұрын
TANZIA:RAIS MHE. DKT. JOHN P. MAGUFULI ATANGAZA KIFO CHA MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA
- Рет қаралды 22,603
Пікірлер: 90