Sufuria yake izae usmwambie we ugomv na wao hahhahhh shado huna baya broh
@amanirazalo4338
Жыл бұрын
Hahahhahahahahahhahahaahahhahaahhahaaassaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@donlinechanell4760
Жыл бұрын
Jaribuni kua creative ..... mbna hyo story niya kwenye kitabu cha (*ibni wasi) sis waswahli tunaziita story au hadithi za buniwasi ndo ipo hii story
@emamazengo3960
Жыл бұрын
Kwa hiyo sisi tusiokujua hicho Kitabu tutajifunza wap? Acha ubinafsi
@donlinechanell4760
Жыл бұрын
@@emamazengo3960 maoni yangu sio kwa wewe mtazamaji nikwamuigizaji..... kama angekua diamond kacopy kazi hua mnahangaika kutafta kacopy wapi ila kwakua ni hyu clam mtu kampa maoni yake mnajitia mnauliza kuhusu msio kufaham
@mimahogtz597
Жыл бұрын
@@donlinechanell4760 🤣🤣Aya mtunz
@manyaraboy
Жыл бұрын
@@donlinechanell4760 we jamaa mshamba sana jua kinachoigizwa kipo Acha ushamba
@donlinechanell4760
Жыл бұрын
@@manyaraboy jitulize mzee hyo comment ni kwa ajli ya mwenye channel sio yako
Пікірлер: 114