Baba Levo ana Roho nzuri xanaa ata haijifichi nampenda namkubali na ni msema kweli aswaaa!kila ukiongea unanifuraisha xanaa uko smart Baba Levi,sio Mwinjaku anaefosi kila kitu ana pretend ndo maana anakwamiaga katikati,ana tamaa,hana uvumilivu japo anajidai muislamu xana Mwinjaku huna subra wewe badilika usije kuridhisha iyo tabia yako wanao! nazani umeelewa.
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@kwisa4899
Жыл бұрын
Baba levo anaupendo sana pia Ni mnyenyekevu
@funydog9424
Жыл бұрын
True amesaidiwa na yeye anasaidia wengne mungu atamzidishia
@yuzotv458
Жыл бұрын
ndiomaana Anafanikiwa.
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@leiratykisura6718
Жыл бұрын
Nawapenda sana nyie baba love mwijaku mkiwa pamoja raha mnachangamsha sana 😍😍😍
@nazaretyurio6572
Жыл бұрын
Mwijaku kichwani najua unatia ahibu shule ulisoma baba Levo ni zaidi ya profecial
@faudhianangonde6291
Жыл бұрын
Ila baba levo saluti kwako huna roho ya kinyongo
@carinamatt1031
Жыл бұрын
Baba levo nakupenda
@azizaomary4604
Жыл бұрын
Baba levo mungu akubarik coz una moyo mzuri ❤️
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@ibrahimkhamis9732
Жыл бұрын
Jaman mm na enjoy Sanaa Baba levo,Mwijaku vs h baba hahahahaha Napendaaaaa
@samuelmullefu467
Жыл бұрын
Hao jamaa wanafurahisha
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@habibamaguru2722
Жыл бұрын
Nawapenda pia
@johnjohnson9374
Жыл бұрын
Hawa jamaa wanapendana sana mwijaku vs ba levo wajanja na watafika
@oyay2821
Жыл бұрын
Weldone Magic Builders kuwa leta ma balozi pamoja
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@samsonmsafiri444
Жыл бұрын
Nawakubali Sana Baba levo Mwijaku Vs H baba jeshi la chibu dangoteeee
@perermoshi9244
Жыл бұрын
Dah Baba levo Ni Moto Mwingine
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@amanishiughaaa6345
Жыл бұрын
Ira DC hata kama ni utan rakin inaum et tunaeh lina hap kazalishwa to kaachwaaa kama umesikia hiyo like kwa Dc
@funydog9424
Жыл бұрын
Blue chawa nmemwelewa hao wengne Kama kina muijaku anaongelea personal issues which is not good... Baba level endelea kushika vjana nakukumbuka marejendar😍
@ilafanuel7823
Жыл бұрын
Baba Levi fundi majumba nakukubali sana mb zangu unazimaliza ww nikiwa na hasila nakucheki nafulahi saluti kubwa
@ibraheemqassim3018
Жыл бұрын
🤣🤣🤣 baba levo ana akili sana chawa mjanja
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@frezixsabk8078
Жыл бұрын
Baba levo ni levo nyingine abishi kitu, very polite 👏🏼
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@hamadsuleiman5397
Жыл бұрын
Nayakubali sana haya mashikaji da
@tiffanyakramJr822
Жыл бұрын
Mama mwijaku anafugia mbuzi kwa rum yake 😂😂😂😂😂😂😂 We baba levo kenge mweusi wallah
@Pedeshee01
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mwanjinzara8009
Жыл бұрын
Yaan mwijaku et mke wangu anajenga gorofa eti mm sina ela 🙆🙆🙆yaan kitakuja kugongwa na kitu kizito hatapararazi haki 😭
@blessjacob9196
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mwijaku 🙌🙌🙌🙌
@godwinkileo7702
Жыл бұрын
Baba Levo namkubali sana
@uwimanauwimana7692
Жыл бұрын
Eti sana mbwa yule, 😁😁 baba levo unatisha
@mwanaidsalehe1109
Жыл бұрын
Baba levo mwijaku na h baba wanafurahisha sana wakiwa pamoja inapendeza.
@uwimanauwimana7692
Жыл бұрын
Mamake mwinjako anaishi kwenye mbuzi 😁😁😁🖐
@Pedeshee01
Жыл бұрын
😂😂😂anaishi huko kazuramimba.humo humo chumbani analala na mbuzi 😂
@hopxzbahati1078
Жыл бұрын
Ndaro msenge sana😂😂😂😂
@salahasaf2882
Жыл бұрын
shida elimu mnazozungumzia ni elimu zilizoandikwa msome nini na mipaka ni ipi, hufundishwi chochote unachotaka bali wanachotaka, tumia akili angalau ndogo Mwenyezi Mungu aliokupa.
@adolphinayalala4092
Жыл бұрын
Baba anakereka kweli kweli 🤣🤣🤣😍😍
@jumaabas6837
Жыл бұрын
Mwijaku akili hamna😃😃😃😃
@najuf8021
Жыл бұрын
Katika machawa wenye akili nahekma baba levo
@simcoolkenya3079
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/2YOq2aKipKOjgqg
@sevystaronedancer1785
Жыл бұрын
Mwijaku na baba levo noma sana 😂😂😂😂😂😂😂
@Sejo-writer
Жыл бұрын
B.levo baaaa fundi manyumbaaaaaaaaaaaa
@supertal2943
Жыл бұрын
Mwija anaongea Sana 😅
@FreshDango_Tai
Жыл бұрын
BABA LEVO
@mjungatv8172
Жыл бұрын
Et sanaaa mbwaa yuleee baba levo daaah😂😂😂😂
@juniorjotham1524
Жыл бұрын
😀😀 mbwaa yule
@AziziMsuya
Жыл бұрын
Mwijaku kichwa aisee🤣🤣🤣 nakuelewa akili nyingi🙌
@shulbedono8070
Жыл бұрын
Mwijaku 🔥🔥😊🥰
@muhammadmuhaznun380
Жыл бұрын
Hii mwambino mwijaku alitowa wapi🤣🤣🤣
@ziyandamhlana8776
Жыл бұрын
Ingekuwa South Africa kila sikuu munazika nakwambia kwel
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
Жыл бұрын
Kwann ssa
@currencynetwork3064
Жыл бұрын
Dully,,, ametishaa sana anakwambia,aliyekwambia mi nimejenga nani😂😂😂! Sijawahi kujenga mimi.
@nelsonmwaipaja3727
Жыл бұрын
Mwijaku##chawa msomi mwenye degree zake
@monicasilayo7015
Жыл бұрын
Nikiwaona hawa jamaa watatu nakua poa sana
@silageorge1638
Жыл бұрын
Nakuheshimu sana levo
@godfreysanga1028
Жыл бұрын
duuuu kweli huyo sanga mwenzangu
@davidmbwilo4954
Жыл бұрын
Ndalo 🔥🔥🔥🔥
@kondoatown8765
Жыл бұрын
Kuna mijinga duniani, anapewa dili linalohitaji kuongea linalopoka oh !! Mimi sijui kuongea najua kuimba. Ndio maana mpk Leo bado maskini
@samniza1763
Жыл бұрын
Mijitu mizima!!!!
@godwinkileo7702
Жыл бұрын
Baba Levo anaongea ukweli sana
@zaituneadremaneadremane5698
Жыл бұрын
levo kiboko kkkkkk❤❤
@juliuslengai5089
Жыл бұрын
Mwijaku😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@graphixmaster6146
Жыл бұрын
Uzuri wa Mwijaku anakuudhi huku anakuchekesha🤣🤣
@YoungswagzyYoungswagzy-mc8kk
Жыл бұрын
xan
@najuf8021
Жыл бұрын
Mwijaku mdomo tu kasoma akili hana
@rabsontryphon9254
Жыл бұрын
Kigoma bwana full pakej
@numotz9121
Жыл бұрын
Au basi 😂😂😂😂😂
@all-victorious2156
Жыл бұрын
Mkojani na Tin White
@suleishdishelectronics4140
Жыл бұрын
B levo baaah anajua anajua anajua tenaaaa
@frezixsabk8078
Жыл бұрын
Mwijaku ana degree za mdomoni😂
@matokeomahubi7275
Жыл бұрын
Kwan hii kampuni niya waha au😂😂😂😂😂
@faustinewilliam4908
Жыл бұрын
Mwambino🤣🤣🤣🤣
@ayoubmohamed9043
Жыл бұрын
Spider 🕸
@yustayusuph9101
Жыл бұрын
Duuu! kweli ni mfupi 😄😄 yan hata haonekani, haya ni masalio ya watu wa congo mutu ya msituni🏃🏃🏃
@shaneshane4175
Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@Pedeshee01
Жыл бұрын
Wanaliwa watu wafupi kule Congo
@williamreuben4866
Жыл бұрын
Huyu jamaa wasimuweke kwenye matangazo anawaharibia
@farahanafarer7588
Жыл бұрын
😢
@carolineamunga2812
Жыл бұрын
Mwijaku niunganishe na baba levo but siko Kenya Niko Jordan 🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
@Pedeshee01
Жыл бұрын
Nakuja Jordan
@samniza1763
Жыл бұрын
Fundi anayeshauriwa na wewe wa kuchanganya L na R basi amekwisha na siwezi kumtumia period!
@mdalamgir-gu9hu
Жыл бұрын
Tatzo lko ww ujielewi kwan hujui L naR ndio lafidhi ya tanzania
@wanderenyeura9011
Жыл бұрын
Tunaujenzi wa majengo ya watoto wenye ulemavu,tunaomba sample za white skim,then tuwe wateja , NJOMBE
@scribemelody
Жыл бұрын
Wamependana sasa konde hataki mashawa 😂 hawa machawa kazi yayo ni kuwanyonya damu wenzie mumemuona mwambino babalevo anazidi kinenepa
@maryannactress
Жыл бұрын
Mbona amtaje hamissa sasa
@rajfamilytherajs6415
Жыл бұрын
Au basi😂😂😂
@allenkatunzi9075
Жыл бұрын
Uzuri Leo Baba Levo, habishani na mtu, anakubali tu
@wakembetajaphary6006
Жыл бұрын
Hajaamua tuu
@maranyafrank9200
Жыл бұрын
wajenzi wachawi
@frankmsigwa153
Жыл бұрын
Daaah Mwjaku pumba wasioonekana hwana elimu wanaongea point tupu
@bluechawa3492
Жыл бұрын
Ila linna mfupi khaa!
@lindambilinyi6253
Жыл бұрын
Kaz ya mungu unashangaa nn
@johnjoseph8816
Жыл бұрын
H babababababa
@timothybanda6034
Жыл бұрын
Hahahah
@jacklinemalau323
Жыл бұрын
😂😁😀
@josephgerald5540
Жыл бұрын
😅😅
@briannadaniel8053
Жыл бұрын
mwijaku anajua kukeraa😂
@manuelsaramba2138
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@graceanyungu2774
Жыл бұрын
Mfuu niwewe pili akili mbovu
@hafsashayo3088
Жыл бұрын
Tatizo mwijaku unaongea Sana ujinga
@ibrahdedonny4073
Жыл бұрын
Kabxa, yaan huyu jamaa ni mjinga ila hajui
@buberwajohn1312
Жыл бұрын
😂😂😂😂 form failures
@gladiadorden5769
Жыл бұрын
Tudo que você posta tem a ver com, ferimentos de sensibilidade do Diamond Platnumz, será que Diamond Platnumz ti fodeu e ti deixou? Responder a pergunta
@godsounddivine1718
Жыл бұрын
Bruh come on he's just famous it comes with the territory ,he's the perfect clickbait
@livingstonemaarifabatawe9829
Жыл бұрын
Ela é muito fã de Diamond Platinumz 🤣🤣🤣
@milnersings
Жыл бұрын
Diamond Platnumz na Baba Levo wakiiba nyimbo ya harmonize ya AMELOWA 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzitem.info/news/bejne/rqdumayEj3majY4
Пікірлер: 117