Jana kwa Udhamini wa kampuni ya mbegu Tanzania East West @east_west_seed_tanzania Seed tulifanya shamba Darasa kwaajili ya kuhamasisha kundi kubwa liingie kwenye Kilimo cha mboga na matunda
Pia kuondoa dhana ya watu kutegemea Ajira za Serikali peke yake..
Namshukuru Mungu sana vijana wengi walijitokeza kuja kujifunza kwa vitendo shambani kwangu.
Nalikumbusha kundi kubwa la vijana,
Kilimo ndiyo njia pekee itakayokuvusha.
VIJANA NJOONI SHAMBANI KUNA LIPA!!!
Негізгі бет TAZAMA HAPA MJOMBA ANAVYOLIA NA VIJANA
Пікірлер: 16