Makonda ni kiongozi sahihi sana kwa mkoa wetu wa Arusha. Sahihi sana. Tumwombee Mungu na kumuunga mkono.
@neemamwanga5447
4 ай бұрын
Hapa hakuna kitu makonda ningekuja mimi nadhani ungenielewa maana mimi no form four then mmachinga wa mjini nina akili na uelewa kuliko hao certificate na degree, mara masters next time nakuja makonda utanielewa mimi mtoto wa kitaa ninayejua mvua na jua akili nipo smart
@neemamwanga5447
4 ай бұрын
Viongozi wa halamashauri ya arusha wamewekwa sijui na wajomba maana km kuna kujuana hapa maana hawajui kujieleza, wajibu wao hawajui, wana vitambi tu vya rushwa na kupenda totozzzzz😂😂😂😂
@farhannahomary5505
5 ай бұрын
Yani hakuna kitu hao ila ujanjaujanja tu hawawezi hata kujua wanachokifanya hapo ungemwita kijana wa mitaani angechambua ila mzee zero
@neemamwanga5447
4 ай бұрын
Makonda pita mjini kwenye maduka uone kodi na maduka zilivyo tofauti duka la mtaji wa milioni 3 analipa kodi sawa na mwenye duka la mtaji wa milioni 50 alafu akija k
@neemamwanga5447
4 ай бұрын
Makonda hongera sana kwa kazi maana kuna watu tunawajua wanajiita ma engineers lakini elimu yao ukiitafakari unashtuka kwani hata akili zao za mkopo hawajielewi wanakuja mtaani anajikuta kumbe wa mchongo wachunguzwe elimu zao wengine labda wamepita kimiujiza maana hawaeleweki kabisa
@yordanyona1234
5 ай бұрын
Makonda genius ..nyayo za Magu
@ismailradjabu3871
5 ай бұрын
Makonda na mzee mwanri, nawapenda saana
@Kabwela776
5 ай бұрын
Elimu ya Tanzania hiyo watu hawawezi kujieleza na hawajui wanachoongea
@Kabwela776
5 ай бұрын
Makonda anaongea points sana
@shukulu-e1o
5 ай бұрын
Makonda unafaa kuwa Rais kama kwel unaongea kutoka moyoni
@MichaelMaro-hj7yo
4 ай бұрын
MUNGU Yuko nawe wachapishaji hao wanaongopa tu vitambi VYA wizi wanawalisha WATOTO wao Sumu MUNGU anawaona IKO siku mtoto wa maskn Hana HAKI Haha
@georgemwakalindile687
4 ай бұрын
inaonekana Arusha watendaji wa serikali ni wazuri tu ila walikuwa business as usual.....hawakuwa na dira wala self commitment individually.....ni bata tu....
@spendjulius-qz9mt
5 ай бұрын
MAKONDA THE PRESIDENT NEXT TIME
@filexgallas3562
5 ай бұрын
uyu jamaa anaakili kubwa sana Sema tu anafungwa mikono
@godsonprosper6657
5 ай бұрын
Hii system ya Tausi inawafanya hapo jamaa walale. Hawajui wajibu wao.
@riazshaikh8577
4 ай бұрын
Elimu zero kbsa, yani mtu hajui uchumi. Analysis zero
@Nedjadist
5 ай бұрын
Kwa namna hii, huyu Makonda ataka kujifanya mjuzi mno. Hakuna atakateweza kumjibu, maana kila ukijibu hatosheki wala kukubali.
@number179836
5 ай бұрын
Sahihi kabisa.
@CatherineMbatta
5 ай бұрын
Una akili Sana kuheshimiwa🙏🙏
@neemamwanga5447
4 ай бұрын
Fursa zipo ila hao matendaji ubongo wao umeganda, tunakuelewa makonda,
@FIDESMARENGE
3 ай бұрын
Haya ndo madharau ya kukaa offcn khaaaa,rushwa nyingi Arusha viongozi wanapachikwa tuuu,
@eliamwankenja7087
4 ай бұрын
Tumeluhusu wajinga kutufundishiae watoto wetu Safi sana makonda
@PeterStephen-on4zz
5 ай бұрын
Raisi mama samia mpe luksa makonda. Atumbue wote ..viazi ndio vimejaa almashauli. Akuna watendaji 😮😮😮😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢
@banguha
4 ай бұрын
Hahaaaa hilo neno kiaz limenikumbusha shulen mwal wetu wa English alikuwa analipenda
@IsmailMatola
5 ай бұрын
Makonda sasa usipoangalia utakuwa unakimbiwa na watendaji maana maswali yako yanawatamanisha kwenda chooni maana asije akajikuta anapambana swali lako kaka uliza maswali yanayo endana na watendaji ma mbumbu mbu
@josephmussa0625
5 ай бұрын
😂😂
@SanareLaizer-en5it
5 ай бұрын
Uko vizuri sana
@banguha
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti uliza maswali yanayoendana na umbumbuu ila nimegundua watendaji wengi Mungu awasaidie nacheka hapa kama sijielew
@ziddyziddy2524
4 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@kilogreekachananawatuwasio4054
4 ай бұрын
MIJIZI HIMEWEKWA KATIKA VITI KUPIGA PESA ZA WANANCHI TU😂😂😂😂
@neemamwanga5447
4 ай бұрын
Mwanri mbunge wangu wa siha naomba kwa heshima ya wananchi mama mrudishe miaka 5 awanyooshe hawa vilaza
@KiongoziMwandamizi
5 ай бұрын
Huyu jamaa ni genius, Binafsi sijaridhishwa wataalam wa kuunga unga sana, technical know how haipo, watu hawajui hata nafasi zao zinahusu nini. Kwenye kutaja maeneo ya uwekezaji mtu anatoa history kweli?
@abdulazizhabib4581
4 ай бұрын
Wasomi wetu wengi ni wa vyeti tu hawana jambo , thinking capacity yao iko chini sana
@joycmsokile9220
5 ай бұрын
Safi Sana mheshimiwa, together we can change Tanzania.
@dennischarles8524
5 ай бұрын
Tubadilike, as soon as mtu nanafungua business asigeuke kuwa adui wa government
@MichaelMaro-hj7yo
4 ай бұрын
MAKONDA MKOMBOZI WA TAIFA TU PAMOJA NAWE MUNGU AKUTANGULIE
@martintemu9123
4 ай бұрын
Makonda wewe ni kichwa..tunafurah sana kuletewa mtu kama ww
@paulomaligana3958
4 ай бұрын
Watu wako shaloo mbaya sijui nafasi wanapataje
@ShamimuJuma-fs5oe
5 ай бұрын
Jamani siwalisema makonda ajasoma mbona anaongea vitu vya point kuliko wasomi
@WazirJuma-gd5oo
4 ай бұрын
Wanasema ulaya ukitaka kumua mbwa ulaya unampa jina baya. Wale niwabaya wa makonda.jamaa Yuko vzur mno ila mtu akikuchukia lazima akupe jina baya mungu amtunze makonda
@PureSoul-rf4xd
4 ай бұрын
Ndio ushangee na wewe 🤷♀️🤷♀️mwezangu,mimi nachojua tu nihivi mtu mwenye uwezo au uwezo fulani hivi si rahisi watu wampende .
@bwakiismail126
5 ай бұрын
Iv ushuru wa magar c chanzo Cha mapato?
@SaidKinyota
5 ай бұрын
Hawa watumishi wanakaba ofisini na matumbo yao tuuu na vinyonyozi tuuu hakuna kitu hapo afisi biashara hawezi kujierezee
@banguha
4 ай бұрын
Yn ningeomba viyoyoz vitolewe ofcn wajipepee kwa magazeti labda akili zitachangamka
@yordanyona1234
5 ай бұрын
Mimi nakuelewa sana watu wa Business tunafahamu
@asongwa2007
4 ай бұрын
Yaani kweli bado. Jamaa wanapigwa na bumbuwazi!
@CristinLyanga
4 ай бұрын
Makonda hakuna wasomi hapo ni blablaa tuuuu.
@danielshimora5315
5 ай бұрын
Hiyo Ndio picha tosha, helimu ya Tanzania hakuna kitu, wengi wanaajiliwa kuganga njaa sio kutumia elimu Yao kutatua matatizo ya watu. Mama samia Mambo ni Bam Bam Bam.
@PeterStephen-on4zz
5 ай бұрын
Do!?... Kwakweli uyo jamaa ni kiazi kabisa kalibia wote. 😢😢😢😅😅😅 . Raisi mama samia atuna wachumi kabisa kabisa. 🙏🙏🙏🙏🙏. Tanzania Nivigumu kupiga atua ukiwa na wasaidizi kama hawa..... na wapo serikalini.
@georgemwakalindile687
4 ай бұрын
Yani ingekuwa likes mtu mmoja zinaongezeka,ningekuwa na minya tu mpaka kidole kichoke
@FrolahRimo-cm3tu
4 ай бұрын
Haw ndi watu wanaotuinea wajasiriamal
@mohamedalidarabunyange4879
5 ай бұрын
Makonda mbonaa umee letwaa jamani arushaa inaa mkuu wazee
@magrethmathayo2800
4 ай бұрын
makonda nilikua natamani uje Arusha hatimae imekua Mungu wa Mbinguni akulinde akufichena watu wote wabaya Amen 🙏🙏🙏🙏
@santebnassary7411
5 ай бұрын
Kigezo cha kua Rais ni kipi kwani? Muda utaamua
@JoyceSarufu
5 ай бұрын
We hukion au😂😂😂😂😂😂😂😂unamakusud wewe
@yordanyona1234
5 ай бұрын
Wazungu wanaangalia namba ya wahitaji.. point hiyo wataalamu wanazidiwa na wanasiasa hivyo ndio maana sehemu nyingi mambo hayaendi
@emmanuelmlowe-ew7gx
5 ай бұрын
Kweli makobda ndio maana samia alisema umeichemsha Çcm.sasa zam yawatendaji waarusha wanachemshwa kweli kweli vipara vitaota nywele.navichwa vitaota vipara ghafra
@meryamabdullah2081
5 ай бұрын
Yn hao viongozi wa Arusha wanakaa vilaza utazan sio wasomi 🤔
@MrTop-wj7no
5 ай бұрын
😂😂😂
@MrTop-wj7no
5 ай бұрын
😂😂😂
@gideonibatangaki1317
5 ай бұрын
Mh,Makonda kauliza swali kwa muhusika kaona mapungufu nikuwekeza kwenyesahani, jamani mnawazia kula tu hamuazii mengine.
@kyangwesignermohamed7867
4 ай бұрын
Yani bado Nibola aseme sehem furani kunahiki na hiki tuwekeze eneo nikiasi gani na uitaji na fursa onyeshe ziko wapi niaibu kwa huyo Afisa anavyo jikanyaga
@ajmstationery6157
5 ай бұрын
Chemsha bongo
@Zainabkhamis-d2s
4 ай бұрын
Mama Samia plz plz plz Rejesha Mh Agrey Joshua Mwanri
@generosennko8343
5 ай бұрын
Wataalam kweli wamekuwa exposed. Pengine ni nchi nzima hivyo hivyo, hamna kitu. Tuko chini ya viwango. Asante sana mkuu wa mkoa wa Arusha. Endelea kuamsha viongozi.
@godiusmghase8146
5 ай бұрын
MKUU Arusha DC WANA kipato Cha msitu na waterfall na Arusha DC hapigi greda barabara za kata tembelea hizo kat
@spendjulius-qz9mt
5 ай бұрын
Good teacher... MAKONDA BIG MAN 🦾
@-ef3wr1087
5 ай бұрын
Makonda uko na point mm nakufatilia sana
@SonitajoseDonita-tm5ex
5 ай бұрын
Haya sasa viongozi wababaishaji wanaunbuliwa Na Nakonda .hawatoshi Hawa, tunaomba tupewe watendaji Kazi sahihi wanaoweza Na kujua Kazi zako nje ndani.bila hivo utasubiri sana.nakumbuka Magu.tumechelewa sanaaaa
@OmanOman-dn6dj
4 ай бұрын
Makonda oyee
@ajmstationery6157
5 ай бұрын
Sio rahisi watu wakawa na akili au wazo moja kama lako, pia majadiliano yanakuwa na mawazo tofauti, mwishoni mnaamua Kwa pamoja mfuate lipi.
@allyhamic1255
5 ай бұрын
Vip we iman yako inakuonesha kwamba wataalam wetu wamejitosheleza vilivyo..??
@ajmstationery6157
5 ай бұрын
@@allyhamic1255 Hapana. Ndio maana mwanzo niliandika kuwa ile ni chemsha bongo.
@yordanyona1234
5 ай бұрын
Wazungu wanaangalia namba ya wahitaji.. point hiyo wataalamu wanazidiwa na wanasiasa hivyo ndio maana sehemu nyingi mambo hayaendi
@emmanuelmlowe-ew7gx
5 ай бұрын
Wewe nimshamba kama unajua makobda anafanya siasa
@mteulenyotamchana2623
5 ай бұрын
Aelewi kiswahili huyo bwana
@iddiabdallah7352
5 ай бұрын
Yap mi nakuunga mkono pia watendaji hawana seduce power ktk utendaji ni wezi tu wamezubaa na ni kweli tunaibiwa kwakuwa hakuna kinachofanyika uwenda hata kuzurura hawatembei ktk vijiji kujua kero za kilimo au la na km ishu ya pembejeo inamalizwa kwa mara moja ili tusonge mbele sio kila siku tunarudi nyuma
@EliakimDaniel-t4x
5 ай бұрын
The know nothing
@nazarethmanase4474
5 ай бұрын
Hatuna watendaji wenye uwezo. Wanafanyakazi bila utafiti.
@godiusmghase8146
5 ай бұрын
Mkuu tembelea viwanda vilivyobinafsishwa uone waliofilisi na walioendelez
@RachelLaizer-n2p
5 ай бұрын
Walioajiriwa kwenye nafasi kubwa na vyeo nagundua hawajui kitu kbsaaa japo ni wasomi ila hawa wa chini hata vyeo hawajapewa wanajua kukokotoa haswa na vyeo hawapewi sasa mtaaibika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nurunewz103
5 ай бұрын
Makonda, wachumi wanakuambia sahihi ila wewe unalojibu lako ambalo lipokichwani hautaki kusikiliza.
@radhiasalum7156
4 ай бұрын
Nacheka sijui nacheka nini😀😀🤣jamaa anasema anamatangazo ana tausi alafu uyo tausi hajaanzisha bali naataka kuanzisha hahahahah duu
@ziddyziddy2524
4 ай бұрын
😅😅😅😅
@radhiasalum7156
4 ай бұрын
@@ziddyziddy2524 tanzania mfumo wa ufanyaji kazi mbovu mno
@abdirazakmadhar2000
5 ай бұрын
KWA Hili tunazidiwa hata na jirani zetu inaonekana hakuna mkakati wa uchumi kuvuna dola zipo inje inje ni mipongo tu hawaja elezea kiukamilifu
@durangobasics6195
5 ай бұрын
Waongee huko huko maofisini wasije mitaani. Waweke mifumo na wasimamie. Kisha waulize kero za mifumo basi
@fredysiwale5413
5 ай бұрын
Kweli uelewa kuhusu uchumi ni shida hao ndio wataalamu wenye vidato mh makonda mwote mh kishimba, msukuma, ja pipo na moo. wa Simba hao watakuambia mambo yote ya uchumi sio hao wataalamu wKo
@MrTop-wj7no
5 ай бұрын
Daah huyu jamaa brain yake ya Ulaya tu ndo utakuta vitu kama hivo kujuwa hadi Chumvi inayotumika kila mwezi mpaka kwa siku😂😂😂
Ajira za krosi krosi mtu lilifeli form four anapewa kazi kiujanjaujanja
@iddiabdallah7352
5 ай бұрын
Vitu vya msingi sana mkuu wa mkoa anawastua maafisa biashara ila aisee nchi hii imelala mno kumbe ndio maana tunaibiwa wanachojua kuiba hela basi na kusumbua wananchi afsa ajui hata mkoa wanatumia kilo ngapi kwa mwezi example sukari au zao lolote,kuchachua wafanyabiashara ktk biashara zao ili waone utamu wa biashara na sio kuwaletea kero
@Zainabkhamis-d2s
4 ай бұрын
Mazao Matunda jamani Tanzania 🇹🇿 Nchi yng 😂😂
@imeldamatemu-gg9rl
5 ай бұрын
Wakati wa Bwana umetufikia Arusha.Damu ya Yesu izidi kukufunika kaka etu.
@GeraGeneralCompany
5 ай бұрын
Kumbe tatizo elimu walikosomea. Basi mwekezaji awekeze mifumo ya elimu
@fredysiwale5413
5 ай бұрын
Kumbe ndio maana wanatambua maofisini wanajua kukusanya tu sio kufundisha namna ya kupata
@Lundege_Hips
5 ай бұрын
Tanzania simama nishuke
@nathanmmasi3890
5 ай бұрын
Da makonda anafa sana sema atakaa sana apo ataamishwa tena.
@mapinduzisylvester1903
5 ай бұрын
Safi sana
@iddiabdallah7352
5 ай бұрын
Mi naona hata maafsa elimu kilimo waangaliwe jamani maafsa afya
@loningoletayo8453
5 ай бұрын
Hiii swalq uwekezaji watu wa prevents secter ndo wanaelewa
@godiusmghase8146
5 ай бұрын
MKUU wachumi ni kwazo kwa maendeleo
@nkondokubini7618
5 ай бұрын
Safi sana Makonda wewe ni Jembe huyu ni Kubini
@alphoncewilliam4325
5 ай бұрын
Kwa maelezo hayo muekezaji awekezi
@yordanyona1234
5 ай бұрын
Mazao
@RehemaPanga-x6z
5 ай бұрын
Am proud of my RC, mwamba kwelikweli
@emmanuelmlowe-ew7gx
5 ай бұрын
Wachumi wanaogopa hata kujitokeza
@RachelLaizer-n2p
5 ай бұрын
Arusha wamejaa matape haswa pole mkuu
@wilibaldmallya7156
5 ай бұрын
Sijamuelewa Rc.Haya anayataka kutoka kwa viongozi wa aina gani?
@kakak1245
5 ай бұрын
❤😅😅😅
@GibsonNtamamilo
5 ай бұрын
Huwezi kumuelewa shule ulikuwa unasinzia na kula visheti😂😂😂
@banguha
4 ай бұрын
@@GibsonNtamamilo😂😂😂😂 niachie mbavu zangu shulen alikuwa anakula visheti Yesu wangu
@HassanKangwa-sz4gn
5 ай бұрын
Awe wazili mkuu 2025
@SanareLaizer-en5it
5 ай бұрын
Makonda kiongozi kweli
@khadjiedson5954
5 ай бұрын
Elimu ya bongo bana hovyo
@hermanmtalo6340
5 ай бұрын
Watakuaje na akili wakati hapo wamewekwa tu kisa mjomba alikuaga hapo
@radhiasalum7156
4 ай бұрын
Hapo sasa.yani wakiulizwa kuhusu ilo utaona jinsi walivyochomokezwa🤣🤣🤣
@nurunewz103
5 ай бұрын
Mazao = Nafaka
@michaelndilima6210
5 ай бұрын
Wabeja namala
@SanareLaizer-en5it
5 ай бұрын
Uko vizuri
@FatumaHizza
5 ай бұрын
Makonda nakupenda sana
@yordanyona1234
5 ай бұрын
Demand ya watu kwanza
@amosmangura
5 ай бұрын
Afrika vikapu vya Afrika viiwe bora kwa wageni nakupa mtaji Kofia za mkeka masai wawe burudani na utamaduni wa Tanzania
Пікірлер: 148