Mwenyezi mungu na akulinde vya kutosha🇰🇪🇰🇪, mimi mwenyewe nakuelewa sana.. Ushuhuda wako niliufuatilia wote na yote uliozungumzia niliyasikua kwingine kwa hivyo hutanganyi. 🙏🏽
@failaprince9250
5 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana kabisa mtumishi achana naiyo mitindo yakunyowanyele ivyo nyowa kikawa ida tu usije ukakose mbingu kwakitu kidogo amina amina ubarikiwe kabisa
@user-nz7xy4wm7q
4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuongoze naomba utafsiri yale majina 99
@JaphetLameck-kw4yq
19 күн бұрын
Nakuelewa sana mtumishi.
@godfreyalex5319
5 ай бұрын
Mungu aliye hai Yesu kristo akuinue ufikie viwango vya Mtume Paul, yeye aliiongokea Imani ya Kikisto na akawa mhubiri wa kimataifa,; Mungu akulinde. Amen
@nuriagodana1568
3 ай бұрын
Nauliza tu kama yesu ni mungu siku alikufa nani alishikilia utawala wa mbingu na ardhi
@kabarezephanie3573
2 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu kwa kutoka ndani ya giza , tunakufata hapa Rwanda Kigali
@skeetergodwins2576
2 жыл бұрын
Tunakupenda mtumishi. Endelea kuuaibisha ufalme wa shetani ili watu waendelee kufunguliwa. Usijali kama wanakuchambua au wanakudhihaki. Wao hawajui ulichokibeba.
@joycehaule9686
3 ай бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki
@Iragibarune1.
2 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda ili utangazie mataifa ukuuu , upendo wa mungu , na uwongo wa shetan na kazi zake mimi huwa nabarikiwa sana hasa pale niki kusikiliza
@tbwoy216
Жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji,mtafute mchungaji ndacha BIBILIA Nuru ya dunia
@trophywilson7211
2 жыл бұрын
Asante saana ila usiwe unanyoa Denge au pank nakuogopa maan ulikotoka ndiko kuna uchafu wote,Asante
@marymkumbimarymkumbi5153
Жыл бұрын
Meshaki endelea kufanya kazi ya mungu,na mungu amekuita kwa kazi yake atakama utaitwa kafiri ni mipango yao ktk kukutoa kwenye ukwer mungu akutunze na kumtumikia tuko nyuma yako kaka 🙏🙏🙏
@rahmamusa4484
Жыл бұрын
Mungu n mkuu aliye kuokoa
@user-pm6rm7wc7n
6 ай бұрын
Amin mtumishi wanungu
@mocranaburugi3486
2 жыл бұрын
Mtumishi mimi nashauri ushuhuda wako ungeusimulia pia humu kwa mapana
@maryamayitsa6181
2 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa Mungu, mungu amekuleta nakusudi kupitia kwako mioyo mingi itapona nakutazama toka kenya 🇰🇪 ww nimti wenyewe matunda usiogope mawe niko pamoja na ww, glory to God 🙏.
@prospermsambazya6450
2 жыл бұрын
Imekaa vzr mtumishi
@sarahjacobs8814
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@furahahappiness110
2 жыл бұрын
Amen 🙏 ivi nitafwatilia neno la Mungu apa kwa Amani be blessed 🙌 😇
@sebastianmwita9149
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, karibu sana kwa Yesu kristu
@mkulimatarimoamina8316
2 жыл бұрын
Mch ubarikiwe.NAOMBA uwe unasema kwa kiarabu na kiswahili inalete ladha ya kusikia na kufikirisha
@edwinkaris9602
2 жыл бұрын
wah hii ni deep information..from kenya...testimony nzuri kabisa
@emmanuelissack9402
2 жыл бұрын
U arikiwe mtushi tunaomba sku moja ulete neno la mungu tabora
@geraldsanzala8119
Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi nilikuwa natafuta account zako huku youtube
@venanceselegebu8566
Жыл бұрын
ubarikiwe sana
@davidwambura5915
2 жыл бұрын
Hongera Sana mtumishi.
@happynessantony2700
Жыл бұрын
Kazi yako ni njema endelea usikate tamaa Jina la Yesu litukuzwe
@aishaarusha894
2 жыл бұрын
Laanatullah
@isayajerad
Жыл бұрын
roho ya mhamad toka kwa jina yesu majini mizim mapepo roho ya ugaid
@NeemaKapusi
9 ай бұрын
YESU unatosha
@mariamkasekwa8933
2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sanasana
@boldleader94
2 жыл бұрын
Acha danganya watu....malipo hapahapa subiri mwisho wako utautapa 🤣
@trophywilson7211
2 жыл бұрын
Kila mmoja anachagua njia yake ,nawe ulichagua hiyo ya kuongozwa Na Majini hongera
@isayajerad
Жыл бұрын
utaerewa Nini mizim ya mhamad umesha kufunga ufaham mungu Yuko rohoni hayuko mwirini Kama uriyvo fundishwa na masheh wa majini na waganga na wachawi na magaid dunian
@elisonphilipo5028
Жыл бұрын
Ubarikiwe
@barakamanu1514
2 жыл бұрын
Asante kwa kuachilia video hizi, maarifa haya ni muhimu maishani.
@philipmbaabu6169
Жыл бұрын
Am listening. Thank you.
@zawadianagabriel9768
2 жыл бұрын
Amen amen🙏
@annamulenda6652
2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@jamesoseko6245
2 жыл бұрын
God bless you pastor
@frankbella4271
Жыл бұрын
Ameen
@elizabethmbugua7701
2 жыл бұрын
Glory to God! God bless you and keep you.
@jacksonkilonzo1439
Жыл бұрын
aisee ule ushuhuda wako wa kutoa kafara watoto wachanga ulinifanya nivutiwe sana na wewe mungu akibariki sanaaa
@romathosimfukwe4240
Жыл бұрын
Yesu akuinue Meshack your choosen since
@WistonMlomo
Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@joelyjoely7827
2 жыл бұрын
MM NINABII NANIPO KIGOMA WEWE UMTUMISH WA MUNGU NA UTAWASAIDIA DUNIA UNACHOKITU KIKUU MUNGU AMEKULETA KWA KUSUD
@tuntufyegwamaka2404
11 ай бұрын
Mungu akubariki
@zawia3154
2 жыл бұрын
Ulitakiwa kutubu Toba ya kweli Kwa Allah na sio kukufuru lakini kwakua umechagua Dunia basi Allah atakulipa Dunia Yako lakini akhera huna Cha kurithi na wew unafahamu
@isayajerad
Жыл бұрын
Yani ufahamu wa rohoni hautokani na mawazo ya kimwiri Kama wewe uriyvo fundishwa kufuga majin na umganga na ugaid na matusi utaerewa Nini wakati mhamad wako arikufa jumura hakufufuka rakini yesu arifufuka mpaga majini tuyatoe msikitini muwe huru na masheh wa kichawi
@blackwarrior-animations593
Жыл бұрын
@@isayajerad shauri yenu huyo yesu mnao muamini ndo tumaini lenu atawakataa siku ya mwisho
@nuriagodana1568
3 ай бұрын
Ama kweli angetubu tobah kwa Allah kwa kuuwa roho bila hatia lkn amejichanganya zaidi maana Yesu pia ni kiumbe cha Allah akaletwa kupitia kiumbe kigingine Marym bint Imran ingawa Allah kampatia sifa hizo za kufufua na kufanya wapofu waone ila ni nguvu za Allah
@rehemabrighton3176
Жыл бұрын
👏👏👏👏🙏🏾
@vklhkhjji8070
Жыл бұрын
Umechagu dunia kuliko akhera,lkn ujue dunia itaisha kaka.
@veronicaseiyo4057
2 жыл бұрын
Amina
@josephnkwamino6509
Жыл бұрын
Kwake yeye YESU KRISTO kila goti litapigwa jina la BWANA lihimidiwe
@luvmo04
2 жыл бұрын
Wadanganye wakupe sadaka kwa wingi
@isayajerad
Жыл бұрын
majini ya muhamadi yameaza kupata shida Mimi niwashauri Kama mnataka kuigia mbinguni mwaminini yesu muwe huru IRA Kama mnataka kumwamini shetani yupo mhamad na wafasi wake wenye majini wa ganga mahgaidi wagivi wenye mizim wafuga majini hii hjia ya piri Ni hatari
@frankbella4271
Жыл бұрын
yesu ni mshindi
@damarisnjeri7820
Жыл бұрын
I've tried your number man of God but haiendi through
@zawadianagabriel9768
2 жыл бұрын
Mtumishi usisahau kuzungumzia aina za limbwata na namna gani utazijua na dalili zake
@blessed599
Жыл бұрын
Limbwata ni nini
@jhfgbn87hshswj17
2 жыл бұрын
Wewe acha kwani wisiramu nibiasha au
@shenjamamzingi7950
2 жыл бұрын
"KAJICHAWI"
@abelmbata37
2 жыл бұрын
Kwani unateseka
@isayajerad
Жыл бұрын
kwa jina ra yesu roho ya mhamad toka majini roho ya ugaidi roho za uganga roho jini maimuna makata wewe jini kishimba mtoka huyu
@abuhassan9552
Жыл бұрын
WEWE USIJAGAMBE KUWA ULIKUWA MISLAMU WEWE ULIKUWA MSHIRIKINA UKIABUDU MIDHIMU NALEO PIA UMEENDA HUKO HUKO KWA USHIRIKINA
@user-hw7ce8gf6v
11 ай бұрын
Mungu akutunze siku zote ISAYA 54 17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa, huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi asema Bwana. Amen !!!
@repentjesusiscomingsoon8799
2 жыл бұрын
Swali langu, wakati mwingi naamka najikuta nimechanjwa chale, zingne ata damu imetoka au wakati mwingne nikiwa nimetulia tu nashtukia nimechanjwa wa kunichanja simuoni, hii nayo ndio nini? Naomba unisaidie usinilenge kama wengne
@ministermeshack
2 жыл бұрын
Ntumie ujumbe whatsapa nitakujibu zaidi mtu wa Mungu
@isayajerad
Жыл бұрын
@@ministermeshack mtumishi naomba mamba yako
@zawia3154
2 жыл бұрын
Meshack wew ulikua mchawi kwaiyo ulikufukuru tangu hujaingia kwenye ukristo kwaiyo ukaacha uchawi ukaja kukufukuru Kwa ukristo lakini hakuna Aya kwenye Quran inafundisha uchawi na wew unajua kwaiyo unazidi kuangamia
@yakobomkristo872
Жыл бұрын
Alifikiri Akiusoma Sana Uislamu Atakuwa Mcha Mungu, Alipogundua Kwamba Alikuwa Anaingia Choo Cha Kike Cha Ibilisi Akashtuka Na Kukimbilia Kwa Yesu.
@viddamgeneka-fo9fp
Жыл бұрын
@@yakobomkristo872 ameokolewa kwa neema
@isayajerad
Жыл бұрын
Mimi nikushauri kijana wewe Urie fugishwa majini na kufudisha kuwa gaidi wa mhamad kwa Nini usitumie mda vizuri badara ya kufuga majini ukamwamini yesu harafu ukafuga kuku
@dr.sendeuonlinetv2916
2 жыл бұрын
Unaongea nn kafiri mkubwa wewe umeuza dini ya Allah kwa kutafuta kula 2 huna lolote
@kabarezephanie3573
2 жыл бұрын
Tokeni ndani ya giza uzaliwe Malaya piri
@daviddavid-gq8zp
Жыл бұрын
Allah azidi kukubariki kwa jina la Mohammed bin Abdallah...Takbiiiiiiiiiir.
@isayajerad
Жыл бұрын
Mimi nikushauri wewe mfuga majini kwanini msijiziirishe mkamwamini yesu badara ya kuwa taperi wa mhamad na mfuga majini na mchawi Kama masheh wezako na magaid na mwenye mizim kwanini mda wakufuga majini usimtafute mungu
@theblackandrew4119
2 жыл бұрын
Kuna madhara gani kwa mkristo kutumia mimea ambayo haipatani na uchawi ilikujikinga na uchawi. Mfano nachukua majani ambayo yanatofautiana na uchawi nayaweka kwenye pembe za shamba au nachanganya majani na maji halafu nadekia ndani ya nyumba.Kisha nafanya na maombi
@ministermeshack
2 жыл бұрын
Tuma msg whatsap nitakujibu
@failaprince9250
5 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana kabisa mtumishi achana naiyo mitindo yakunyowanyele ivyo nyowa kikawa ida tu usije ukakose mbingu kwakitu kidogo amina amina ubarikiwe kabisa
Пікірлер: 83