Kila mahala watu wanautamaduni wao. Wakazi wa Kisiwani PEMBA wanafuata mila zao na utamaduni wa dini ya kiislamu. Huruhisiwi kulala nyumba za wageni hasa zilizopo mjini ukiwa na mwenzio wa jinsia tofauti bila cheti cha ndoa. Ungana nasi katika #TBCsafari kila jumatano tuna upload kipindi kipya.
- Күн бұрын
TBC safari - Pemba Do's & Don'ts - Mambo muhimu ya kujua kabla ya kwenda Pemba
- Рет қаралды 16,695
Пікірлер: 43