Nimegundua mnatangaza mbegu ya nyanya kilimo cha nyanya na kifahamu sana huyo kijana wa kwanza haelewi chochote kwenye kilimo huyo ni muundaji wa mbegu
@lameckkinimi7007
5 ай бұрын
TBC muwe mnatuletea makala kama hizi,zinajenga,zinainua vijana na uchumi wa wengi,hongera kwa kipindi chenu,huu ndo uhalisi wa chombo cha taifa
@nsajimwasege68
5 ай бұрын
Safi sana, nafurahi kuona vijana wakijitambua!
@IsayaAbel
4 ай бұрын
Hongera Sanaa aisee
@bakarygau3044
4 ай бұрын
Hongera xana kijana
@user-xx5jf2hy3g
4 ай бұрын
Safi sana kijana
@rehemaothuman3764
Ай бұрын
Ni nzur sana
@naomybenedict1787
5 ай бұрын
Inapendeza sana,kijituma
@aminaisuja6081
3 ай бұрын
Namba no zake please za huyo kaka
@kassimbilali5779
3 ай бұрын
Safi sana.....!!!
@Rashidmabula-pt9hk
4 ай бұрын
Nafurah sana kuona vijan wanapambana saf sana hata mimi nataman sana kuingia kweny kilimo
@EdsonMbawala
5 ай бұрын
hongereni Sana tbc kwa kipindi kizuri kama hicho. hapo tbc 1 kulikuwa na kipindi kizuri Cha mifugo na uvuvi saivi mbona akipo ? Onesheni kile kipindi pia nacho ni kizuri
@shabanally6973
2 ай бұрын
Nilikuwa mfuatiliaji mzur San wakile kipindi,,jackline dd mwendeshaji namkubali San yule dada
@AndendekisyeMalinga
3 ай бұрын
Hunger kijana wangu
@maryibrahimu4824
4 ай бұрын
Vijana kama Hawa watafutiwe motaji mokubwa na serikal
@AgustinoKinyaga
4 ай бұрын
Naweza Pata mawasiliano ya mkulima
@aminaisuja6081
3 ай бұрын
Ukipata nipe na me please
@BupeKalonge
4 ай бұрын
Hongera sn blooo km vp tusaidie namba ya WhatsApp ili tujifunze kutoka kwako
Пікірлер: 18