Mchezaji Kama alikuwa huru release later ya Nini? Si aende tu. Acheni ushabiki. Kama amemaliza mkataba Thank you ya Nini?
@JuhudiKasanga-yq5ks
Ай бұрын
Swala la chama niushamba TU mchezaji kamaliza mkataba shida labda hawa Simba na tff ndo tatizo katika mpira wetu huu wanaturudisha nyuma Kila siku
@user-yz6ds9hn9l
Ай бұрын
Hawa yanga hawachui mchezaji kwa utaratibu waanza kumpa rushwa acheze chini ya kiwango hayo yamefanyika kwa chama na wenzake serikali inajua inafumbamacho kwakuwa mawaziri wa serikali wapo humo wanachangia jeuri hiyo,
@anithawidambe7543
Ай бұрын
TIMU ZOTE ZIFUATE UTARATIBU WAKUCHUKA WACHEZAJI NA NYIE ONGEENI KIMPIRA USIONGEE KIMAPENZI YA TIMU
@AlfredMwakabana
Ай бұрын
Mkiwa wachambuzi wachane ukweli watoe ujinga kwani ni aibu kwa vilabu vyetu mchezaji ni haki yake kimaisha yake
@user-bi8hr3nu6g
Ай бұрын
Wapende wasipende watatoa
@user-ff1it9og8y
Ай бұрын
Simba ❤❤❤kumpa chama hiyo arudi kwa nizam kubwa alikua anadharau viongozi na hiyo ndo malipo yake na wampe 2025 hiyo istlechar wala siyo figisu Yanga wao kwa Feitoto kuja Simba wanakinga kifya haya sasa ngomo drooo
@asiaruhasha5561
Ай бұрын
😊😊😊😊
@user-eg9jq5ny3n
Ай бұрын
Dunduka bwegeeee
@vaxminja9053
Ай бұрын
Mashabiki wa Simba hawajui hata wanaongea nini, hivi unafikiri release letter ni utashi wa Simba? Ni sheria
@OS-pf6op
Ай бұрын
Wataitapika tu watake wasitake😂
@athumanibakari8618
Ай бұрын
Mpeni Pole Injinia wenu
@JafarOmar-b1u
Ай бұрын
sasa iv wachezaji wakubwa watakuja kuchezea timuiyo wataogopa ayo wanajiferisha
@amanifadhi
Ай бұрын
Simba siowajinga
@user-yr4pv2vj7m
Ай бұрын
Chama ata wafira.nyie makoro msim uuuuuu
@user-bi8hr3nu6g
Ай бұрын
Simba yafungiwa
@fatumamtakyawa3612
Ай бұрын
FEI NA YANGA NI VITU TOFAUTI TOTO ALIKUWA AJAMALIZA MKATABA
@ThobiasBarnaba-fs6pv
Ай бұрын
Moto uwake
@christianjohnmwalugaja8090
Ай бұрын
Hao Jamaa (Simba) wanashirikiana na Karia. Karia tuachie mpira wetu. Bado unaupotosha sana mpira wa Tanzania.
@abdallahmzee4335
Ай бұрын
Yani umsajiri mchezaji wakati akiwa kwenye mkataba arafu unasema Karia kafanya nini acha uchoko
@user-bt6ep3yb2h
Ай бұрын
Fei mkataba wake ulikuwa haujaisha ila aliomba kuvunja mkataba, je chama mkataba wake na smba ulikuwa bado haujaisha? Chama ameomba kuvunja mkataba?.
@simonndunguru1629
Ай бұрын
Wachambuzi semeni Ukweli kuhusu Chama Mnababaisha tu. Muda umeisha wa Mkataba wa Chama
@ayubujoel
Ай бұрын
Simba wanasuburi kumtambulisha Elie mpanzu ndo chama apewe thank u
@ManzabaySalim
Ай бұрын
Chama kamaliza contract fifa ipo huwezi kuzuia asicheze yanga
@williamkajala8005
Ай бұрын
Wao Fei toto Wamemgomea kuja Simba sasa wacha Dawa iwaangie
@jiarosmazengo966
Ай бұрын
Mbona FEI TOTO yanga imetuwekea ukingo na la chama hakuna thank you
@CikeTanzania
Ай бұрын
Wampe tuu wanini
@ZaharaniMisso-ke4dy
Ай бұрын
Mulisema chama mzee kumbe bado munamuitaji sio
@Esterkomba-ef7eb
Ай бұрын
Kwani Simba hajiandai endeleeni kuichafua Simba lakini hamtaweza
@williamkajala8005
Ай бұрын
Ubaya Ubwela, Hawa kinachama wameichezea Sana Tim yetu msim huu Lazima tuoneshane ubabe tu mpaka kieleweke
@user-tt8ew7tf8e
Ай бұрын
Yanga walivyofanya kwa fei ilikuw saw Ila akifanya simba ni sahihi
@OmariBwagizo
Ай бұрын
Hakuna TFF kutetea kitu mbn yanga mulimbana fei toto mpka kaongea raisi samia ndio mukamuachia lengo lenu alikua munataka kumpoteza sasa bas chama nae amepotea hii ndio bongo atajua hajui
@MaguguStore
Ай бұрын
Ngoja ashike adabu , Chama chama chama ndio nani amekamatiwa pazuriii
@yudamanyumbu4978
Ай бұрын
Mchezaji akisha maliza mkataba na timu yoyote ana uhuru wa kuondoka au kukubali kusaini mkataba tuache ubabaishaji
@JuhudiKasanga-yq5ks
Ай бұрын
Swala alikuwa amemaliza mkataba au ni upumbavu wa Simba kwani chama ndugu yenu au anatafuta maisha kama alivyokuja kwenu toka timu nyingine acha ushamba nyinyi wenyewe lawi alafu chama Tena aibu na magoli wenu huyo ni matatizo matupu
@BantuntibahezwaToyi
Ай бұрын
Hahahaaàa gazeti la Leo chama yanga waishia kumvisha shuka la kijani😂😂😂hiyo ndio tafasiri ya ubaya ubwera
@revocatusmalimi4525
Ай бұрын
Hakuna anyetaka Chama arudi simba huo ni ushenga wenu waandishi kwa Chama na timu yake.Kwanza ni mchezaji huru tangu 30 June 2024 sasa hiyo release letter ya nini
@makamelila
Ай бұрын
Tatizo chama kaleta dharau na nyie mnaongea tu yachama kwa sababu ni WA Tim yenu lakini mbona hamuongei kuhusu lawi
@josephlorri431
Ай бұрын
Makolo wamekuwa machoko.. team ya tajiri namba 2 Africa, my foot
@OmariBwagizo
Ай бұрын
Amepotezwa manara atakua chama huyu anapotea kirahis sana tu
@OmariBwagizo
Ай бұрын
Huyo chama atakua kama Morrison tu
@makamelila
Ай бұрын
Kama kunahitajika barua maanayake hapo kinajambo inamaana mkataba ulikuwa haujaisha
@MamboMbuli
Ай бұрын
Watangazaji wa kibongo bana,,,mujiulize kwa Feisal mbona yanga warikomaa 😮😮😮na hadi Rais Samia akaingiria kati ,,🎉acheni unazi nyie
@user-ox1eg1ej6u
Ай бұрын
😊 ni bad😊😊😊
@user-ff1it9og8y
Ай бұрын
Kama Tff mnasema wafanye haraka kwa chama waanze Feitoto sheria ya kuwa Simba wakitaka kumchukua walipe Azam na Yanga walipwe sgeria gani jama acha nao chama wamlipe bila kuwachezea msimu mzima malipo ni hapa hapa Duniani😂😂😂😂😂
@robertphilip385
Ай бұрын
Utateseka sana Fei kuichezea Simba na siwasawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
@salumomar-ph8ht
Ай бұрын
Kama Tff washindwa kumpa haki yake leo ndio nitahamini Tff ni simba sakata la morson yanga walivyo zuia hirizileta ya morson simba waliruhusiwa na tff morson alicheza kama kawaida
@user-ox1eg1ej6u
Ай бұрын
Ins. .maana .iyo. Ndio
@user-bt6ep3yb2h
Ай бұрын
Kwani tarehe ya mkataba wa Yanga na Chama unaonyesha umefungwa tarehe ngapi? Mwezi June au July? Mkataba wa chama na simba imeisha tarehe ngapi? June au July?. It s too much simple to give out decision.
@hassannickson7654
Ай бұрын
Ni suala la mda tukucheza Yanga hawa tifuatifua wakishindwa ni fifa wanaamua wachambuzi wetu ni sheeda sio watu wa mpira ila ni washabiki wa timu flani
@salumomar-ph8ht
Ай бұрын
Chama awataki kwanini mnalazimisha aipende tim yenu achen ushamba
@WiseRigers
Ай бұрын
Huyo ni mchezaji huru release later ni kwaajiri ya uthibitisho tu kama wamemalizana kiroho safi kama hawataki kutoa tff wanawajibika kumpa haki mchezaji ili aendelee kucheza Tofaut na Feisal alikuwa na mkataba simba hawana uwezo wa kumzuia chama sema nyie wachambuzi wa kibongo ni wa hovyo sana huwezi fananisha sakata la chama na Feisal ni tofaut kabisa
@matiankomola2391
Ай бұрын
Mpira wa Tanzania unaendeshwa kishabiki!
@user-eg9jq5ny3n
Ай бұрын
Shida niudundukaaaaa😂😂😢
@hassannickson7654
Ай бұрын
Kwani mchezaji anatakiwa kuzungumza na Timu nyingine wakati Gani? Kama sio miezi 6 mbona ishu iko wazi tu
Mchezaji yupo huru kuongea na timu yeyote ikiwa imebaki miezi 6 ya contract, hiyo ni sheria ya FIFA, Amna lolote hapo , Contract ikiisha hayo mambo ya release letter ayana uhitaji
@abdallahmzee4335
Ай бұрын
Shida chama alimwaga wino wakati yupo kwenye mkataba watu wana akili nyingi kuliko yeye
@fanuelnkyalu974
Ай бұрын
Simba waache upuuzi wa kuidhoofisha ligi yetu, hii ni habari ya sungura zisitaki mbichi hizo, TFF walione hilo ni AIBU KWA TAIFA.
@KakeSimba
Ай бұрын
We fala unaongeya nini
@ChristopherTogolan
Ай бұрын
Aloo chama n mchezaj hulu
@mussammanga7791
Ай бұрын
Mashaka gani mkubali kuwachwa, mchezaji timu haitaki. Fei si mlisema asilazimishwe? Sasa kibao kimegeuka. Hahahahaaa!
@ElizabethEmmanuel-nj1oi
Ай бұрын
Nyie wanayanga si ndo nyie mliokua mnawasema wachezaji wa Simba wazee na Chama mmemsajili katoka timu Gani?
@martinkabazo8412
Ай бұрын
Kama mkataba umeisha na wamemsajiri cmba inalaumiwaje
@magrethmakauki235
Ай бұрын
Fei mkataba ulikuwa haujaisha, chama mkataba umeisha
@frbm1729
Ай бұрын
Aligoma mapemaaa kuichezea Simba kutombana na ushawishi wa Yanga usiofuata utaratibu.Atajampa.
@phoebembwambo2763
Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kutombana?????
@RichardSanga-zr2nj
Ай бұрын
NIMESIKIA HIRIZI LETA 🤣
@chemstry409
Ай бұрын
Sasa siwalisema mzee??? na matusi wakamtukana....
@shukranionesphoro7744
Ай бұрын
Ww dogo chama anakiburi , piga pini ngao asicheze
@joshuamwambene2874
Ай бұрын
TFF kila siku mnaindama Yanga hamuoni aibu .,Acheni kabisa yanga icheze kandanda
@abdallahmzee4335
Ай бұрын
Tff hawaindami Yanga ila Yanga inabanwa kwenye mkataba wa chama ulikuwa lini hapo ndiyo mtajua kuwa timu yenu inaviongozi watoto
@makamesaid9137
Ай бұрын
Mfa maji haishi kutapa tapa Mara lawi mara Chama na mara hii tutawapiga 10 G MAKOLO wasipoangalia.
@abdallahmzee4335
Ай бұрын
Shida akili za viongozi wenu bado ndogo sana walimsajiri Chama akiwa ndani ya mkataba na hapo ndiyo tutawakamatia mpaka mavi yawatoke
@user-bt6ep3yb2h
Ай бұрын
MkATABA UMEISHA TAREHE 30/06/2024, sasa kinachogombaniwa ni nini? YUKO HURU.
@husseinkarim7663
Ай бұрын
Wamruhusu Chama aende Yanga,wa.mwachie tu
@FatumakunemkaKunemka
Ай бұрын
Twataka tumpe bench kwanza
@raymondsambaa6687
Ай бұрын
Atarudije Simba wakati hana mkataba?
@lotimwansule5017
Ай бұрын
Nyie mmesahau ya fei yanga walichofanya, nyie acheni unazi wote nyie ni Yanga
@usiniguse
Ай бұрын
ACHENI USHABIKI. KAMA MKATABA UMEISHA REALEASE LATER YANINI SI AONDOKE TU?
@issaalfani1030
Ай бұрын
Sheria hujui
@user-jc4mm7vs9x
Ай бұрын
NI KUMNYOOSHA HANA ADABU CHAMA.
@user-fi6hb3lp5y
Ай бұрын
Kabisa yaani mpaka anyooke
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
Ай бұрын
Mutaweweseka sana
@sosthenesmaemba
Ай бұрын
We ndio huna adabu, mtu ksmaliza mkataba wake
@user-qw4pm2xe4j
Ай бұрын
😅😮😢🎉
@user-or9cl2tc1h
Ай бұрын
Muwe wakweli chama alisajiliwa yanga bado akiwa na mkataba na simba hiyo ndo shida iliyopo
@FadhiliSalehe-l2c
Ай бұрын
Ushaidi unao kaka? Ila kisheria mchezaji anarusiwa kuongea na timu nyingine akiwa amebakisha miezi 6 kabra ya mkataba kuisha.
@FadhiliSalehe-l2c
Ай бұрын
Ushaidi unao kaka? Ila kisheria mchezaji anarusiwa kuongea na timu nyingine akiwa amebakisha miezi 6 kabra ya mkataba kuisha.
@abdalla8193
Ай бұрын
Mpeni tu
@shamissuleyman4894
Ай бұрын
Hahahahahaha huyu chama na timu yake mpya walifanya fujo kusajiliwa kabla ya mkataba kuisha
@user-os9ps3ry6x
Ай бұрын
Mnaona ni kitu kidogo nyie ni yanga tunawajuwa
@chiefmajai9345
Ай бұрын
Maumivu walio wasajiri simba bado pengo
@MkuwaTheDon
Ай бұрын
Mmmh
@user-bt6ep3yb2h
Ай бұрын
Chama kamaliza mkataba au bado? Kama hajamaliza kwa nini hamkwenda naye Misri?.
@MgangaMasudi
Ай бұрын
Anataka nini
@abdallahmzee4335
Ай бұрын
Mbona unajiuliza mwenyewe na kujijibu mwenyewe
@revocatusmalimi4525
Ай бұрын
Tunashauri viongozi wetu wampe tu hiyo taraka ili akafunge ndoa nyingine akiwa huru
Acheni ujinga nyie mchezaji akifika miezi SITA analusiwa kuongeza na timu nyingine kengenyie chama huru
@abdallahmzee4335
Ай бұрын
Ni kuongea ila cyo kusaini mkataba we kichwa maji
@julianajeremiah4353
Ай бұрын
Mjinga anatakiwa kuwaombea kuwapeleka ndio sababu😂 na asicheze
@abdalla8193
Ай бұрын
Lawi hanadabu
@jumaathumani6886
Ай бұрын
Ni kwamb huko TFF wallace ni Pacha na simba sc huyo chama atajua hajuw ubaya ubwela qmmk😅😅😂
@maimunaathumani9121
Ай бұрын
Safi jeuri uyo
@user-ox4fv4cf5l
Ай бұрын
Nyie na Mikia fc wote ni mbumbumbu tu,mbona Simba walimtangaza na bado wanadai Lawi ni mchezaji wao hali y kuwa ni mchezaji halali wa Coastal..? alafu kw nn Simba tu? hata KMC walilalamika kwa Awesu Awesu
@Prosperkaluta
Ай бұрын
Upumbavu wa viongozi wa wa Simba tu. Kumbe wana haja naye sana.
Пікірлер: 119