Lamar Niekamp ni moja ya watayarishaji wa muziki bora wenye mchango mkubwa katika tasnia ya Bongofleva,alianza muzki akiwa kirana mdogo sana paka kufanikiwa kuwa mtayarishaji alietawala game la bongo wakati fulani,amefika kwenye meza ya The Classic kupiga story nyingi za maisha na muziki wake
- Күн бұрын
THE CLASSIC LAMAR 1: NILIANZA NKIWA MDOGO SANA/MAANA YA FISHCRAB/SIKUWA NA MIKATABA NA WASANII
- Рет қаралды 7,344
Пікірлер: 34