Moja ya wanamuziki bora na waimbaji bora kabisa muda wote wa Bongofleva ni Nuruelly ,alifanya kazi kubwa kwa karibu miaka 30 kwenye game,ameshiriki katika mamia ya nyimbo za Bongofleva,hii ni sehemu ya hadithi yake alipofika kwenye The Classic
- 6 ай бұрын
THE CLASSIC NURUELLY: FUNDI WA R & B/NLIDHARAULIWA/TAJI ALINISHUSHA STEJINI/MEDIA ZIMEUA R & B BONGO
- Рет қаралды 4,980
Пікірлер: 33