Kabla ya Kutangaza kuhusu Magari,,Fanya Homework..Literature Review..Elezea Watu waelewe,,Aina ya Engine, Suspension,Fuel consumption,....
@eliuskamwelwe1018
Жыл бұрын
Hyo gar Ni nzuri nje tu, ndani tulipigwa
@tukuyufm
Жыл бұрын
Snash nakufuatlia sana, uko na kipaji cha hali ya ubora hongera sana kwa kufanya vipindi vizuri vya teknolojia kama hivi.
@martinalberty8011
Жыл бұрын
utamu wake ni pale unapostart engine hiyo sound yake daaah ni insane😍😍😍👌
@Solomon785
Жыл бұрын
Hello! Snash I’m your biggest fan from Sweden I want you to do a review of Toyota Prius I will be happy if you do that ❤
@tanzaniacarschannel6975
Жыл бұрын
I have one..i own it for 5 years...ni Gari poa sema inataka mtu mfatiliaji na mtunzajia
@maryambello5519
Жыл бұрын
@@tanzaniacarschannel6975 g to
@polykarpgama4098
Жыл бұрын
@@tanzaniacarschannel6975let me or, l,l. K PPP
@gisbertdamasius2192
Жыл бұрын
Its a good review in terms of video and audio quality ....but the presentation has no crucial details for a good understanding.
@KingGeoffreyMoviesReview
Жыл бұрын
That's fact he's not prepared at all
@Kangaboy..
Жыл бұрын
cha kwanza hii ni face lift imefanyiwa upgrading hii ni vx na sio gx yanii kwa ligha rahisi hii ni old model ya 2010
@iconramar9366
Жыл бұрын
Good job . Tufanyie Review ya Lexus LX 570
@stanleynombwe4865
Жыл бұрын
Moja kati ya riview mbovu kutoka kwako mzee baba hii
@KingGeoffreyMoviesReview
Жыл бұрын
Snash hili gari huna details zake hii umeipiga kichovu sana
@prospersanga7942
11 ай бұрын
Nilikuwa nasubiri one day ufanye review ya hii kitu, bonge moja la gari.... U made it
@mangretmutinda
Жыл бұрын
❤ from kenya
@vincentogallo1210
Жыл бұрын
Wow this is nice showcasing in Swahili🎉🎉🎉
@snashtz
Жыл бұрын
Thank you so much 🙂
@goodlucklukinga7817
Жыл бұрын
Hongera endelea kujfunza kuhusu magari ili utupe elimu vzur zaidi ya magari
@phylicegaj8523
Жыл бұрын
Asante sana bro nmependa uchambuzi wako, kazi nzuri, watching from +254
@elliahbenard9037
Жыл бұрын
Next time ukitaka kuzungumzia magari makubwa kama haya fanya research ya kutosha..au mcheki troni motors akuelezee vizuri...there is no way utalinganisha chochote cha hii gari na ist..siyo taa wala switches za milango.
@Hillary_Daudi_Mrema
Жыл бұрын
Kaka hongera kwa kazi nzuri. Naomba utuelezee Toyota Land Cruiser 300 Series aina ya GXR na VXR za 2022 ambazo zinasifika kutumia Mafuta kidogo ya Petrol Badala ya Diesel na Engine Capacity ni V6 Twin Turbo na siyo V8 za Diesel kama 200 series.🇹🇿🇹🇿
@KingGeoffreyMoviesReview
Жыл бұрын
Hapana unamdanganya hii hajaifanya vizuri hii kazingua
@user-kw9yh1hz5s
8 ай бұрын
Moja ya ambayo ninaikumbali sana maisha I mwangu ni Toyota land cruiser
@salehegiza3305
Жыл бұрын
Mzee baba speed 260km/hour.maana yake kama hakuna foleni wala touch ni saa moja tu Dar/moro
@kagomajmbaraka220
Жыл бұрын
260 huwez futa kizembe😂
@LostechTanzaniaLimited-he4xz
Жыл бұрын
Gari inapaa au Barabara nzima inakuwsga na foren
@ishaqshomari4589
Жыл бұрын
Huwa wanatembea masaa mawili kasoro kwa mwendo wao kulingana na nature ya barabara zetu
@elliahbenard9037
Жыл бұрын
N kukuongezea at top speed 260km /hr gari hii dar to moro n saa 1 tu...hayo masaa 3 n ya vitz.
@ferdinandkaulule127
Жыл бұрын
Ingekuwa vizuri sana kama ungeifanyia review ya V8 current model ya last year
@directorimmah_vfx3043
Жыл бұрын
anaipata wap sas
@richardchijana9665
Жыл бұрын
Kweli kabisa
@witnessmusa5454
Жыл бұрын
@@directorimmah_vfx3043😂😂😂 walahi nimecheka
@iddymaneno7332
Жыл бұрын
Jina la gari tu unakosea sasa V8 ndio gari gani iyo gari inaitwa Toyota Land Cruiser J200. Izo V8 sio jina
@barakamgonja2398
Жыл бұрын
200 series 😂
@benmsuya6016
10 ай бұрын
Big up bro
@amaningobayi7114
Жыл бұрын
Brother tunaomba review ya Trailer ya EON...inayo tolewa na azam please
@jettwriters
Жыл бұрын
Kazi safi ila hii so review. Ni kutuonyesha tu linavyoonekana gari. Review yataka details hasa.
@KendrickDaniel-e7l
Жыл бұрын
Snash uko smart sana! Emb nifanyie review ya Lexus LX 570
@KaizaMsigala-kj4un
Жыл бұрын
Daresalaam dar😅😅😅 snash bhna
@KingGeoffreyMoviesReview
Жыл бұрын
???
@charleswanyoike8000
Жыл бұрын
Enda shule first ujifahamishe mambo kuhusu gari.... You are veeeery far!!!!!!!! Bure
@idmtech9868
Жыл бұрын
Mmmmmh hii gari leo hujaipenda nakufaham ingekula sifa hapoooo
@salomemwambete4603
Жыл бұрын
Snash... naomba nitoe ushauri... nafatilia sana reviews zako zote kiasi kwamba nimeeka notifications... ILA SEHEMU moja wazingua kwenye review za magari HUIELEZI GARI VIZURI INAVYO TAKIWA mfano kama ni ndani kwenye dashboard elezea technology iliyopo... mode features za gari zilizopo, gari inatofauti gani na gari zingine, KAMA ni engine elezea ubora wake wa engine , na engine iliyopo ni ina utofauti gani na zingine. Lakinj sio unavyo elezea tuu shwaaaaa shwaaaaaa.. fatilia gari kwa undani ijue details zake then toa review. NASHKURU KUTOA WAZO LANGU mmi kama CAR ENTHUSIAST.
@snashtz
Жыл бұрын
Asante kwa ushauri na kwakutufuatilia
@danielmkama24
Жыл бұрын
Anachokifny hapa ni kutangaza biashara! Yaan..mwenye hilo gar amempa kulitangaza ili liuzwe kwaiy usitegemee kuskia changamoto zake kwa %100 But kwa uelewa wang hiyo engine iliyopo humo ni tatzo no 1 ila hawez sema
@shafikisuse
Жыл бұрын
@@danielmkama24❤
@sir_ENOCKMACHA
Жыл бұрын
@@danielmkama24 kwann tatizo
@erickdaniel610
Жыл бұрын
Dar es salam---Dar hahaahah umechapia
@IssahMohammed-o2l
2 күн бұрын
Sikwamba huwezi kuona dashboard stelingi washachezea mafundi wa kibongo hawarudishii kama ilivyo, wanachotaka ni mkwanja wa smart gin
@humanityshow
Жыл бұрын
Humu tz sio 😌💞💞💞
@tanzaniacarschannel6975
Жыл бұрын
Yaan hii ni very basic review...kuna very important information ambazo kama car reviewer lazima uzitaje ambazo ndo features specific to that csr under the subject..or else video na audio quality iko poa. Hizo kufanana ni body style...but zipo na very different trims na specs.. check mwenzako dr mechanics yule ana touch details za muhimu sana kwenye review..so good ku improve kwenye eneo hilo
@robertmunyua1784
Жыл бұрын
Sauti nzurii ila kazi hadimuu,,, fanya upekuzi wa kinda alafu uje tenaa
@sammalaxy9500
Жыл бұрын
Hapana sio gari ya 2014 ni ya 2021
@adamwaziry2253
Жыл бұрын
Hujaitendea haki in details.kwa hii umetupiga
@lucianoluciano6795
Жыл бұрын
...jipange na upate detail nzuri kabla hutoa revew yako...vinginevyo rubish..
@masatumtani1588
Жыл бұрын
Umeona bro hajapata diter ya gari hilo hiyo gari sio VXR akiingia ndani kwenye VXR yenyewe mbona atafrai kinoma, hiyo ni VX wameipimpu shoo hiyo nimeindesha sana
Hahahahahahahahahhah😂 2014 damn what fk alafu radio yakupachika hahahahha
@iddmohamed3711
Жыл бұрын
Hello pia gari imetengenezwa kitaalam na hawabahatishi na imeelezewa kwa maelezo yaliyo kamilika. Soma gari kabla ya uielezsa
@user-vg7zs4kq5j
Жыл бұрын
Broo nakubali sana review zako lakin kuhusu magar jitahd kuijuagar vzur kisha ndio ufanye review coz nakuona unavyoongea kuhusu iyo gar km hukuwa umejipanga mapema kwaio broo kwa ushaur uwe ushaiangalia pemben kabla kurekod ila nakukubali sana💖
@smootkizy_jr
Жыл бұрын
Bado aja jiamini kwenye reviews za magari ana pwaya kwenye camera wakati wa kufanya review za magari
@KingGeoffreyMoviesReview
Жыл бұрын
Anajua namna ya kufanya ameanza vizuri ame enda vizuri Sasa ameanza kushusha ubora kwa kukosa umakini snash
@wilsonmatunda4937
Жыл бұрын
Hajui kabisa kureview😂😂 Anamumunya mumunya tu! Anatumalizia bando zetu.Atafute kazi nyingine 😂😂
@livingstonekiptoo6541
Жыл бұрын
Kazi fafi
@roykahoro7181
Жыл бұрын
200million😮 tanzanian shillings..
@munene-tv.304
Жыл бұрын
Fany review ya gari ya outlander Mitsubishi
@issaadinaniissa6487
11 ай бұрын
Dashboard imefichwa kutokana steering haijanyooshwa sawa
@mwendasalim5511
Жыл бұрын
Kumbe nikijichanga nainunua
@Mbeyaconscious
Жыл бұрын
Kilakitu Kinawezekana ✊✊
@ambakisyemwakinunu2002
Жыл бұрын
@@Mbeyaconscious kabisaaaa
@mosesmwailenge5192
Жыл бұрын
Wengi wana uwezo wakununua wanacho kiogopa cc zake kubwa mno ndyo maana selikali yetu yenyewe inataka kubadilisha namizozo kilasiku kwa MBA wakipaki magari wasiache Yana unguluma kz yanameza mafuta mno
@jumamussa1524
Жыл бұрын
@@Mbeyaconscious 0
@jumamussa1524
Жыл бұрын
@@Mbeyaconscious p
@margarethpolepole7438
Жыл бұрын
Likiharibika uwe na kitega uchumi cha uhakika maana chombo kinachoharibika thamani yake sawa na kujenga vyumba vya uwani upate kodi sivyo litapandwa na kuku na wengine watazalia humo
@ayoubmwasile76
Жыл бұрын
Kijana kwenye gali bado sana
@johnbm1
Жыл бұрын
Bro hii umeipiga juujuu sana asee
@bagengift3488
Жыл бұрын
Duu kumbe Automatic transmission 😮
@kakaziller
Жыл бұрын
Mbn steering na tyre vipo opposite
@ayubulutamamgaywa9105
Күн бұрын
Nataka gari TIPA naweza kupata naomba namba yako tuwasiliane
@salummussa1139
Жыл бұрын
Nakubali safari ipo hapo
@iddmohamed3711
Жыл бұрын
Bado huna taaluma nzuri kuichambua gari. Japo una sauti nzuri
@chizoboy3001
Жыл бұрын
Na land cruiser Prado TX shingapi
@thecaptain7812
Жыл бұрын
Boy Yuko sawa
@suleimancomplex2036
Жыл бұрын
Kuna watu wana roho mbaya tu. Wanapenda kuvunja mola wengine
@ayoubtosso1730
Жыл бұрын
Ichambue ww kama unaweza na tumbo lako
@stephenernestkaforongo7585
Жыл бұрын
Oy! Jamaa anajua sema tu ni gar inam'let down vitu vingi anataka kusifia lakn anaona atatudanganya anaishia kusema "haina shida kwa kua ni ya 2014"😂😂😂😂😂
@MzirayPessa-qj4il
Жыл бұрын
Nina shida na namba yako kwenye mambo ya teknology
@danielmkama24
Жыл бұрын
Bro hii ya leo umelipwa kdg sana 😝😝 Wambie wawe wanatoa hela nzur nawe ufanye vzr matangazo yao
@RAHY_MOON
10 ай бұрын
Ivi bro unaweza kutufanyia review ya gari kampuni ya Toyota Land cruiser zx khann 300 .Kaka Afu ivi Mana ya V8 , V6 n.k sijajuaga maana ya iyo v8 inamanisha nini kaka
@SophlaJackson-nt1nc
10 ай бұрын
V8 nii engine kubwa saana Nikama kuendesha aist tano au nne ivyo v8 niukubwa wa ingine
@IbrahimIdrisa-xm7pq
Жыл бұрын
Bro emu tufanyie v 8 new model sio ya 2014 ipo v8 2022 vipi kuhus hiyo tufanyie hiy
@collins_._
Жыл бұрын
Car reviews unastahili kujitahidi. Watch @carnversation on how to review about landcruiser lc200. Ukisema si ya luxury nakushangaa ajabu. Baadae Toyota waliamua kuifanya iwe more luxurious wakaleta model ya Lexus 570
@joelogeto9507
Жыл бұрын
Napenda mazungumzo yako kiswahili kiimeenda vyiuoo vikuu nakutizama kutoka kenya kaka
@snashtz
Жыл бұрын
Shukrani
@MnankaSamo-mo3ib
Жыл бұрын
Dar es salaam to dar wanangu ame chapia😅😅😅😅🤣🤣🤣
@raiszongo4136
Ай бұрын
Naitaji vits new model
@user-cr2fd5xq5w
Жыл бұрын
Naomba utupe riview Toyota Prado tx
@AgredaMoyo
5 ай бұрын
Daresalam Dar???hahaaa sawa bwana lakn Moro Dar 2 hours Dar Dodoma 5 hours
@Salummassa-vs1rs
Жыл бұрын
Naomba review ya mercedeze Benz g wagon or g class please
@PeterLema-k9l
Жыл бұрын
Tupatie review ya gari vx toleo la 2020
@nikymatela7013
Жыл бұрын
Snash tunaomba review ya GMC
@Mpakauseme
Жыл бұрын
Magari hayo sasa yanakuwa uniform kila mtu anatakakuwa na gari ya jinsi hiyo , bongo ulimbukeni mwingi sana
@aliakrabi8321
Жыл бұрын
si mbaya ila endelea kujifunza. kuna mengi ya kitechnical kuelezea gari
@condradyjoseph4208
Жыл бұрын
Dar es salam Kwenda Dar ni masaaa mangapi umesema???
@IDDYSAIDYHAJI
Жыл бұрын
uko vzuri kaka.. elezea obora wa engne
@eliaspius4949
Жыл бұрын
Kama ukimaliza kisahani Dar moro dakika kadhaa tu
@tumsifujoachim5877
Жыл бұрын
Huyu jamaa asiwapoteze ni kosa kubwa sana kuungia msafara, make kilagari linajulikana hayako bahati mbaya is moror cade planned event. Kitachowakuta msijejutia
@biotechforlife3420
Жыл бұрын
Mbona hujaongelea wese Consumption
@frankkashner
Жыл бұрын
Huna content brother
@rkhamis5886
Жыл бұрын
moro ist samoja kwann v8 itumie masa3 no
@KingGeoffreyMoviesReview
Жыл бұрын
Alafu hakuna kitu kinaitwa dar es salaam dar hii umefanya sababu ya matangazo ila hii review Bado ebu tupe background ya Toyota kidogo tupe series ya land cruiser au umetuchoka snash
@romessjunior5643
Жыл бұрын
tulete saa model ya 2023 ambayo ni lc300
@YasirXuk
Жыл бұрын
Nimeskia shillingi million 200 nikashinda kenya😂😂😂kumbe Tanzania jamani
@AlexTitto-m7r
Жыл бұрын
Nimenda hiyoo,bila wasiwasi nitawatafuta wakati ukifika
@prospersanga7942
11 ай бұрын
Ufanye review V8 ya 2020
@fidelfidel-jz4iw
2 ай бұрын
Hilo ni gari kwanza nzito nguvu kubwa cha msingi Tanzania ina Gasi lakini wanaagiza Japan tanck zake haziwekwi wakati inawezekana mambo ya ajabu
@Jameskaguo
Жыл бұрын
masaa matatu kama unapaa, ila kwa sasa changamoto ni nyingi sana
@lodrickmwambene133
10 ай бұрын
Tanzania wezi jamani haswa TRA millioni 200 😂😂😂😂
@IbrahimIdrisa-xm7pq
Жыл бұрын
daaah bro umezingua mbn v8 zipo nying zeny technology ya kisasa tupigie hizo
@lawrencemgembe6322
Жыл бұрын
Dar to moro kwa mimi,hyo ni 1hr 30min
@adkajisi4536
6 ай бұрын
Vipi. mbeya to Dar
@pwkinyongu1809
Жыл бұрын
Repeat the cost of the vehicle
@margarethpolepole7438
Жыл бұрын
Milioni 200 una nyumba 2 za kupangisha za uhakika unakula kodi kama mshahara wako wa mwezi
@jumannemuyaha3401
Жыл бұрын
Iyo hela mbn ndogo
@dintazdintaz7311
Жыл бұрын
Dar es salaam to dar ni wap mzazi?
@jumamarco
Жыл бұрын
bei yake sh ngapi
@abelkemboi1857
Жыл бұрын
Hamna gari iitwayo land cruiser v8
@AlsonKipomela-bq1vk
Жыл бұрын
Miambili na kitu manaake taja Bei kamil tujue
@baseonline4178
Жыл бұрын
Hlo gari facelift
@ibrahimaziz7158
Жыл бұрын
mzee naitaka iyo
@amoslubeleje1081
Жыл бұрын
Kaka hyo gari Model yake ni Landcruiser 200 Series
@ahmedkipachu9629
Жыл бұрын
Hii gari simple sababu umesema ni GX, cheki ZX au VX-R siko na features kibao
@josephpaul6179
Жыл бұрын
Kaka embu ukipata mda naomba uzingumzie kidogo toyota rush
Пікірлер: 235