Simba sihami warahi uchafu wote Simba uende jagwani kunakokaa uchafu wato msimbazi chama bareke mkude okra tupa jangwan Simba nguvu moja wazee wote yanga
@DeusiMorisi
3 ай бұрын
Waambieni rafiki zenu kwamba simba hii sijui
@ObedMwankina
3 ай бұрын
Kunauwezekano mkubwa wa timu pinzani kucheza Dk 45 tu wakienda vyumbani mapumziko ndo hawarudi tena
@PeterJonathan-c8k
3 ай бұрын
sio semaji la caf, chawa mpya w ccm
@devisjoseph5787
3 ай бұрын
Joyce mbona alilala peke yake?
@JohnMbogo-c1n
3 ай бұрын
Jamani deborah hawezi kulala peke ake pale bunju mleteni na kapumbu tafadhari
@JohnMbogo-c1n
3 ай бұрын
Ligi ikianza mara ooh mangungu ajiuzuru😂
@bbclondonulimwenguwasoka6126
3 ай бұрын
Samaki mkunje angali mbichi
@poulynegray7899
3 ай бұрын
VP Joyce huwa analala na nani pale Avic town?
@JohnMbogo-c1n
3 ай бұрын
@@poulynegray7899 Yanga haina mchazaji anayeitwa Joyce na pale Avic sio kama bunju, Avic Town kila mtu ana nyumba yake.....msiwe wabishi mleteeni deborah kapumbu
Пікірлер: 10