Of course yanga yanga yanga team should be respected.
@rexgodwill7353
6 сағат бұрын
@@SalvatoryMtunga politically motivated not clean football team.. That's why not even in top 10 African club ranking... Mipangoo mingiii na majigambo kwa matokeo ya mchongo
@AljuhaniAllyy-dg4ld
3 сағат бұрын
Mashabiki wa simba tusiende uwanjani sasa waende wenyewe na marefa wao km inawezekana simba ijiuzuru kucheza ligi ya bongo ibaki timu wanayoitaka marefa wao
@idylipika390
6 сағат бұрын
Kolo tim mbovu
@abdulhakeem959
6 сағат бұрын
Wapuuzi tu.
@fulltank6693
5 сағат бұрын
Kwa mpila mnaocheza ni LIGI yanga wanacheza kimataifa...Simba wanataka kuishi na lefa muda WOTE wanajibwaga utafikiri wamevunjika wakimuona lefa alekei wanavyotaka wao..wananuna usirazimishe kitu uonekane we star..yanga kipindi cha Kwanza wamepigwa sana viatu lefa kabalance mpila angewapa kadi mngelalamika
@BarakaRobert-j7g
Сағат бұрын
Bro nmepitia comment yako nmeona kuna kitu hata wwe umekiona ...mm binafsi kuhusu goal la kibu ile ilikua clear offside kwan kibu alitoka kabla ya hata mpira wenyewe haujapigwa Kibu vs boka nmerejea lile tukio kwa slow motion na nmegundua kibu alijiangusha Kibu vs Job madhambi yalifanyika nje ya 18 ila kibu alijitupa kuingia kwenye penalty box
@georgegregory8414
7 сағат бұрын
Kuweni kama wachamuzi au mrudi darasani
@SalvatoryMtunga
7 сағат бұрын
Wanadhoofisha mpira kwa lipi? Mmefungwaaaaaa
@valentinemtei3588
6 сағат бұрын
Hakuna penalt,
@francismbuji5584
4 сағат бұрын
À
@TwahirBurhan
6 сағат бұрын
HAKUNA MWENYEKITI HAPO NI MZEE JINGA TU
@rexgodwill7353
7 сағат бұрын
Pennati alizonyimwa simba za wazi nyinyi mnaona hazina maana... Hivi mnavyosifia ujinga hamuoni mnadhoofisha mpira wa Tanzania?
@rexgodwill7353
7 сағат бұрын
Mabeki wa yanga wanarukia wachezaji hovyo kwenye maeneo ya hatari hiyo hamuoni ni hatari na siyo mchezo mzuri kwa timu bora na maamuzi mabovu ya refa hiyo yote hamuoni what you know is yanga yanga yanga 🚮🚮🚮
@willsoniissaya
6 сағат бұрын
Bod to bod iyo broo
@gilbertnday7449
5 сағат бұрын
Wanachambua kuendana na matokeo, always huwa ni vigeugeu sna
@MauBonde
4 сағат бұрын
Nyinyi mnaijua total game uwanjani kama refa na wasaidizi hawako Sawa.
Пікірлер: 17