Wale wanae kubali kazi za BAHILAM acha like hili mwenyewe azione 🔥🔥🔥🔥
@hassankalu540
2 ай бұрын
Oooe team bhailam mbn mko harka sana tena 30 sec mko ndani tyr si leo mfnye ile kitu ambyo watu husema nipeni likes watu wangu nko liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive ndni ya mombasa kenya
@Rizikialiamechannel763
2 ай бұрын
Nyie mnamkubali bailam msibanibanie like from Oman 🇴🇲 like mbona simpo mnakwama wapi😂
@user-uw5jt1nv3p
2 ай бұрын
Hii tamu sana msikaweie basi nawapenda kinoma
@princekillian3640
2 ай бұрын
Wakwanza from kenya 🇰🇪 much love ❤️
@khadijaabubakar2330
2 ай бұрын
Wakwanza mm nahitaji like nipo Kenya🇰🇪🇰🇪
@aliissahaji33
2 ай бұрын
Team Bhailam Kwanini mnapenda kufanya movies za ndogo. Nimepeleleza movies zenu nyingi zinalenga na kuchochea sana ndono, ni ngumu sana kuangalia na mtu mnaehishimiana. Kwa kweli sisi wengine kushindwa kiziangalia. Zingatieni hilo. Ahsante
@magdalenew.mwanyota5901
2 ай бұрын
Aki mariam hiyo skirt 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nipe nirudi shule
@FrenkCosmePedroPedro-lb3ro
2 ай бұрын
Ududu nimwingi nakubali sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-kq7xg6rh7r
2 ай бұрын
Kwa kweli mmeleta ki2 kizuri MY LOVE ilkua Cha mtoto hii noma 🤣🤣🤣🤣🤣 bhailam ududu like kwake
@judithpendo9985
2 ай бұрын
,🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰kwa mara ingine tena tumeanza nayo n tutamaliza nayo nmpenda ududu n mwngi kweli😂
@DivinRubenga
2 ай бұрын
Wewe ni noma sana brow. Ufally ipupa 🤣🤣🤣
@DelphinKatembo-ni5fw
2 ай бұрын
Kwani Rachel yuko wapi,namu taka Rachel jamani,from congo
@user-kl9zb2su9d
2 ай бұрын
😅😅😅😅Bhailam kazi zako ziko moto,, ila hii naona kabisa on fire😊,, your the only sabaya mwamposa wanakwita papinyooo😅 ududu ni mwingi saaana😅😅
@mirajidrissa9139
2 ай бұрын
Bhailam muheshimu hata mzee si kwa ududu huu😂😂😂
@namukosisamuel879
2 ай бұрын
Hii moto🔥🔥🔥 inaweza🇰🇪 tumekubali
@EdikingMoz
2 ай бұрын
Dudu nimwingi kama umesikia coment hapo❤❤❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@PatrickKatembocommercants
2 ай бұрын
U Fally Ipupa qui me retient ici esk les warrior sont la 🤣🤣
@MohamedSharif-mp5jh
2 ай бұрын
BHAILAM YOUR ARE NEXT LEVEL alf nacho kupenda aukawizi kutupa utamu .....upewe ulinzi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💞💥
@Stogwa
2 ай бұрын
Wa kwanza Léo nipeni ata tano from 🇲🇿🇲🇿
@Amina-Rshd
2 ай бұрын
Hongera san Bhailam kw kaz zko nzuri tuna enjoy san aki acha nkupe maua yko🌼💐🌹🌺 🇰🇪🇸🇦
@Melvy-kb3lc
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nimeipenda hiyo bhailam kajikuta ako na vitu vizito kula chuma hicho
@user-ci1dk6zy3v
2 ай бұрын
Bingwa uzito wa chini wanamuita saidiiii aiiiiii😂😂😂😂😂😂 Kaz nzuri BHAILAM🙏👏❤️
Пікірлер: 360