Hakuna cha daraja LA magufuli ni daraja letu wananchi na kodi zetu tu sio mtu
@ShkiruIsmail
2 ай бұрын
pongezi kwa serikali kwa daraja la jpm bridge
@lilhydon452
3 ай бұрын
Mwaka Jana tuliambiwa mwezi wa kumi 2023 sasa mmeongeza mwakwa mumoja na miezi miwili..😮tuombe tu uzima
@robertjerald317
3 ай бұрын
Eng. Kaswaga kazi nzuri hongera sana@TRD SNG
@yustomwaisomania2587
3 ай бұрын
Ila wewe Mwanachatto lala kwa amani baba, Mungu kwanini ulitunyang'anya Zawadi nzuri vilee Mungu wetu Why any way wewe ndo unajua madhumuni ya hili ulilolifanya sisi hatuna cha kufanya zaidi ya kukushikuru kwa yote
@DavidSemu-gu6wp
3 ай бұрын
AMINA, AMINA AMINA.
@omarybakunda2554
3 ай бұрын
Kumbe haya bana Tabasamu
@eddechriss2664
3 ай бұрын
Ma engineer km hawa wenye kutoka maelezo mazuri km hv wapo wachache sana Tz
@NixonJohnson-zn8nk
2 ай бұрын
Tunashukuru fikra za mtu na tunalaumu viongozi wazembe wa nchi hii kwa kutuchekewesha kutumia kodi zetu kwa maendeleo yetu
@cyprianmwageni701
3 ай бұрын
Miezi 18 =miaka mi4? Engineer umepigaje hapo?
@dinoboyarnold661
3 ай бұрын
JPM forever
@omarybakunda2554
3 ай бұрын
Nawaombeni sana hayo majani yaliyo ota ziwani myatoe yanaharibu mwonekano wa daraja.
@ulimbombonaulindi5088
2 ай бұрын
Hayo ni magugumaji, yanaelea juu ya maji. Mbinu nyingi zimetumika kujaribu kuyatokomeza lakini zimegonga mwamba. Ni tatizo la ziwa lote, pande zote yaani Kenya, Uganda na Tanzania hivyo yanahitaji mbinu shirikishi.
Пікірлер: 17