Kweli doctor christ yani kuanzia sasa lazima operation chunguza mamkwe ifanyike 😅😅
@hadijambwambo6833
Ай бұрын
Wewe Chris,kama sio mm kumuongoza hata nyumba ya kulala tusingekuwa nayo !
@edwardntamaboko3414
Ай бұрын
Huyo ndiye aliyeshindwa kukusimamia! Ndiyo maana akashindwa hata kuwa na nyumba mpaka wewe ukamsimamia ndiyo nyumba ikajengwa
@VeronicaRugoyi
Ай бұрын
Ukweli semwe ❤❤❤
@victormkello9575
Ай бұрын
😅😅😅 duh. Kikaangoni it was necessary
@menzanealide5183
Ай бұрын
Doctor mimi nimekosa mke kwenye u mkasa
@PendoPogwa
Ай бұрын
Wamaume nao wanachepuka sana jaman kuna mda hawajali wake zao hawana mda na wake zao matumizi shida heshima itatoka wapi? Umtii ktk manyanyaso hawajui nafasi zao ndo maana wanadharaulika.
@edwardntamaboko3414
Ай бұрын
Wanawake nao hawaolewi wengi kwa sasa ßbabu ni wafisadi kwa wanaume,wajeuri.Hata wanawake wanadharauliwa ndiyo maana wengi SK Hz hawaolewi
@PendoPogwa
Ай бұрын
Mwanamke anarudisha mara mbili ya unachompa.hakuna mwanamke mkorofi akionyeshwa thaman na upendo.mbona mnataka utii pasipo upendo??
@edwardntamaboko3414
Ай бұрын
Wanawake hawaridhiki pesa mbele kuliko kingine,sasa upendo gani kwa anayejali pesa kwanza?
@Kenyan_Duke
25 күн бұрын
Sikubaliani kabisa😢,,Mwanamke hatari
@edwardntamaboko3414
20 күн бұрын
Kuna wanawake wahujumu tu hata kama ungempenda kama malaika ni kaksi tu mbona kwa sasa wanawake wengi ndivyo walivyo
@jessicamasepo8320
13 күн бұрын
❤❤❤
@joelmbughi428
6 күн бұрын
Wewe ndoa yako ina tabu sana
@djramsoyusuph9661
Ай бұрын
Nataka semina yote napateje semina hii
@hamasikatv
Ай бұрын
Tazama sehemu ya pili hapa Ishi na Wanawake kwa akili - Dr Chris Mauki kzitem.info/news/bejne/mX6qz52AkXuBqX4
@Beth_shebaJoram
Ай бұрын
Habari doctor mimi ni mwanamke ziwa linaniwasha naomba nisaidie shida inaweza kuwa nini?
Пікірлер: 24