Sheikh Walid manenoyo n’yakweli kama tusemavyo sisi watu watanga
@rahmamahadhi3055
5 ай бұрын
Katika swala la sadaka na kuwajali viongozi wetu hasa walim wa madrasa waislam tumefeli
@user-dn7gn6ib4k
25 күн бұрын
❤❤
@MkindiJujan
5 ай бұрын
Shekh ndoa haina standard formula Hakuna mwanamke wa hivyo hajui una kazi unayo yy anataka pesa Watu mpaka wake zao ni maboss wanalipwa kuliko waume zao lkn wanataka pesa Shekh
@husnamadai7052
15 күн бұрын
Mwanamke kaumbiwa kupokea sio kutoa, mwanaume atakula kwa jasho, mwanamke atazaa kwa uchungu.
@zena2872
5 ай бұрын
Nimesikiza mawaidha ust ukweli kabisa ndoa zikifata haya watu wAtaishi vizr .nenda na daraja lako .
@user-yd2nh5oh2u
5 ай бұрын
😂😂hapo kwenye tuonane
@fat-hiyarashid4605
5 ай бұрын
Watanasa au washanasa😂😂
@sulekhaabdulahi2183
5 ай бұрын
Nooooms sheikh
@seifazizz4160
5 ай бұрын
Hapo nmepta elim kubwa tuoe tunaofanana nao 😮
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
5 ай бұрын
Mbona sheikh atingisha miguu uku ka keti hivyo nili wahi kusikia na ninavo jua pia ki dini si haram lakini ndivo alivo shetan aki keti anakua anatingisha miguua nadhani sheikh wetu kapitiwa, mola azidi kumuongoza mana yeye ndo kio chetu pia
@Official83640
5 ай бұрын
Huo ugonjwa km unavyoona kunyonya vidole kula kucha na hiyo ndy hivyo hivyo kila mtu kapewa kitu chake cha mazoea
@Twahamwela-ch5lz
5 ай бұрын
Hayo maelezo uliskia ktk qur aan au hadiyth au ulimskia sheikh akisema?
Пікірлер: 17