Andy Wilson Mberincuti ni kijana wa miaka 33 kutoka Burundi ambaye alipitia unyanyasaji wa kingono akiwa na umri wa miaka 11.
Alikuwa akifanyiwa unyanyasaji huo wa kingono na kijana jirani yake ambaye alikuwa akimlawiti kwa muda wa miaka mitafu mfululizo hali iliyomuathiri kisaikolojia.
Mwandishi wa BBC Cyriaque Muhawenayo amezungumza naye na kuandaa taarifa hii.
#bbcswahili #burundi #unyanyasajikingono
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Негізгі бет Unyanyasaji wa kingono kwa wanaume Burundi
Пікірлер: 2