Acha mwenyezi mungu uongezeke maishani mwangu pamoja na familia yetu tuondelee aibu ,kudharauliwa, umaskini na utubadilishie maisha yetu tuache kuchekwa mungu baba maana yote yawezekana katika jina kuu la bwana Yesu kristo 🙏🙏🙏
@carolyokwaro9548
Ай бұрын
Bwana shuka katika maisha ya Christine. Ameteseka ya kutosha, Amina.
@uriodavid6882
Ай бұрын
Amen
@moseskapama2805
Ай бұрын
Amen🙏
@dinahjereen4375
20 күн бұрын
sina neno la kusema ila kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua wewe ni Bwana😭🙌 ukaseme nasi Bwana katika mahitaji yetu katuguse mmoja mmoja ukaongezeke mioyoni mwetu🙏
@Jorskatediana-uf3gk
16 күн бұрын
Nipungue mmi Mungu ongezeka kwenye masomo yangu level yangu nimake it to C2 from B1 . 🙏🙏🙏🙏Pia mambo ya dunia abortion 😔 nipungue ongezeka kwenye roho yangu Mola 🙏🙏kila mtu ananiona kwa kosa moja .🙏🙏kwako naomba msamaha na baraka .Nimepungua 🙏🙏❣️❤️🙏🫂🫂🫂moyo wangu umevunjika .Am only 19yrs 🙏🙏🙏take over my life Christ 🎉🙏🙏🙏🙏🫂🫂🫂🫂🫂change me
@philipkamau6761
7 күн бұрын
Are you still in christ?ama yesu alipungua
@stellamwangi6883
5 күн бұрын
There is no sin that God cannot forgive, if He forgave Saul who killed Christians ruthlessly converted him to Paul and made him one of the mightiest apostles, even that which you think He can't forgive He forgives, just go to Him with an honest, repentant heart and sin no more. He says, if my people who are called by my name shall humble themselves, pray and seek my face and turn from their wicked ways, then I will hear from heaven, forgive their sins and will heal their land (2 Chronicles 7:14), God is a rewarder of those who diligently seek Him (Hebrews 11:6) and He makes everything to work together for good for them that love Him and are called according to His purpose Romans 8:28, I know exactly how you feel❤, I've been there, done that but I went to Him with all my sin, pain and guilt and asked Him to forgive me, heal me, restore me and use me for His glory. He has made a beautiful story out of my brokenness; He has made everything to work together for good🥺. Don't loathe and isolate yourself in self-pity and guilt, go to Him, cry to Him, repent ask Him to make His strength perfect in your weakness, I pray that He may use you for His glory and you'll come back here to give your testimony🙏. God sees your heart, faith and courage, keep striving🫂
@vickielisa2618
Күн бұрын
God loves you baby ❤❤may he show up in your life 😊keep trusting him.
@marymwikali632
Ай бұрын
Almost delivering with no hopes of money anywhere my husband is jobless milango yake ilifungwa,nimebeba twins sina pesa ya cs ama ya kununua ata nguo moja but I trust God😭😭😭
@williamkamadi4307
Ай бұрын
Jipe Imani mungu anaweza
@josephmwirisia4627
29 күн бұрын
The lord is faithful en he will never let you to be ashamed
@nana-qi9xx
22 күн бұрын
God will provide
@mercykamau6434
20 күн бұрын
May the way maker make away for you Lord locate your son in need send help from your Holy mountain. Hope in the Lord help is on the way.....
@Irene-tu7ou
19 күн бұрын
Don't worry my sister there's a God in heaven already you you have adouble blessing all shall be well
@reginawairimu6376
3 ай бұрын
Ndio baba ongezeka maishani mwangu yesu. Ondoa kiburi ndani yangu😢
@verohwabai
11 күн бұрын
Hakika mungu uongezeke katika maisha yangu,familia yangu pamoja na jamii,kila changamoto ninazo pitia wasijua,wacha nipungue wewe uinuliwe
@vivianmuthoni5409
23 күн бұрын
Hakikamungu uongezeke katika maisha yangu,familia yangu na jamii,kila changamoto unajuwa wacha mimi nipungue wewe uinuliwe
@LucyShirima-lv5zj
2 ай бұрын
Eeeh Mungu naomba uongezeke katika maisha yangu na watoto wangu kila siku eeh Jehova
@caxtonyshiro3222
6 ай бұрын
In 2024 mungu uongezeke maisha mwangu mimi nipungue mungu wangu🙏🙏🙏👏👏
@danielotieno4396
4 ай бұрын
🙏
@stephenotuks2925
Ай бұрын
Mungu baba uongezeke kwa maisha yangu na familia yangu
@emmyjerop-cf2pd
2 ай бұрын
Ongezeka yesu maishani Mwangi Mimi nipungue, it's a tough year for me, but I trust in him.
@francklyneochieng5771
2 ай бұрын
Increase in my life,,,may l decrease 😭😭😭 that you may increase.....l desire Lord but sin always holds me back 😭,,,,,,may l not cross to the next of this year 2024 with all my addictions 🙌,,all wrong associations , Jesus am here waiting for you to increase in my life,l know it will be difficult,it may be costly and painful daddy , but am ready to pass through the fires 🔥 to be refined for you in total humulity
@GoretyAuma-uq6rr
11 күн бұрын
Baba mungu wangu ongezeka Kwa maisha yngu Kwa ndoa yangu , Kwa pesa zangu Kwa maombi yangu. Kwa watoto wangozeka bwana walinde Kila mahali. Kwa familia yangu ukoo wangu ongezeka bwana sisi tupungue tuki kuabudu siku zote za maisha yetu.Amen
@JemimahMumbua
17 күн бұрын
2024 has been one of my hardest years...loosing a family....losing a job..... Bt ma tongue is filled with much praises that UONGEZEKE YESU in every aspect of my life. Amen
@rosekageha5156
Ай бұрын
Mungu wangu uongezeke kwa kazi ya mikono yangu
@pamelaonyango6550
28 күн бұрын
Hakika Mungu Uongezeke katika Maisha yangu ,Familia Yangu pamoja na jamii,kila changamoto unajuwa wacha mimi nipungue wewe uinuliwe
@obirinaom9611
Ай бұрын
Bwana ongezeka kwenye maisha yangu ya kila cku,mimi nipungue kabsaaa😢😢😢😢
@scholasticajackson6760
Жыл бұрын
Mungu ongezeka katika maisha yangu, mahusiano, ajira ,watoto wangu na familia yangu, najitiisha bwana Mimi ni nani bwana juu Yako, Mimi si kitu udongo mkavu bwana, uongezeke saana Mimi nipungue🙏🙏🙏🙏 ooh Jesus😭😭😭
@IsaacKagiri-cn7lg
Ай бұрын
Mm nipungue ww uinuliwe maishani mwangu baba
@alicejov7065
Жыл бұрын
Wacha mungu uongezeka katika ndoa yangu kwa maisha ya mume wangu hata kwa wakati huu mgumu shetani anapojaribu kutawanyisha nyumba yetu mungu ongezeka sana mimi nipungue
@paulkonde9720
Жыл бұрын
It's well sis Alice keep trusting God and pray for him God is faithful
@mauriceodongo5560
Жыл бұрын
May the Lord appear for your family
@alicejov7065
Жыл бұрын
@@mauriceodongo5560 amen
@teddymauki2891
Жыл бұрын
Hata hili litapita
@bettymbithe8097
Жыл бұрын
Amen
@maryndunge7702
6 ай бұрын
2024 it's my year to worship God with all that I have...... Mwaka huu baba wacha nipungue uongezeke kwa maisha yangu ,kwenye familia yangu na katika njia zangu zote baba maana bila wewe siwezi.
@monicahmuhia2035
18 күн бұрын
Lord ongezeka maishani mwangu Yahweh..I need you Lord 😢
@victoriaremmy3772
Жыл бұрын
Amina , Yesu Kristo ww ni tumain langu naomba uongezeke ktk maisha yangu ya kiroho na kimwili, nisionekane mm bali ww YESU KRISTO 🙏
@emilianakabunda7881
9 күн бұрын
Mimi nipungue Jehova,,,ninamchungu mengi katika moyoo wangu,,dhambi ni nyingi baba yangu naomba uongezeke katika moyo na nafsi yangu ww ni Kila kitu kwangu na familia yangu,,, MWENYEZ UKAPATE KUONGEZEKA KATIKA MWAKA WANGU WA MASOMO 2023/2024 NA 2024/2025 FROM B to B+ and A ukaongezeke mwenyez mungu nakuhitaji sana mwenyew siwezii🙏
@user-py7up1cf9v
Ай бұрын
eeeeh! mimi nipungue wewe yesu uongezeke katika imani yangu ya kukuabudu🙏🙏🙏
@wiza2309
2 ай бұрын
Mimi nipungue Bwana, nipe neema hiyo ya kupungua kila siku na kila saa na kila mahali, katika familia yangu, ndoa yangu, watoto wangu, huduma yangu, kazi yangu. Mimi nipungue wewe uinuliwe Yesu
@veronicamtungakoa593
Жыл бұрын
Mungu wangu uongezeke sana kwenye maisha ya mwanangu, uongezeke katika elimu yake, afya yake , Mungu uongezeke katika imani yangu nami nipungue Yesu wangu hata milele na milele Yehova
@user-ls2nq2eq3l
3 ай бұрын
Uongezeke ktk huduma yangu ya uinjiristi Yesu😭😭😭😭😭👏👏👏 Amen❤❤
@awesomelyblessed6156
8 ай бұрын
Mungu ongezeka katika Maisha ya wote walingilia ndoa yangu ...Wabariki Yesu wangu
@samidaud1799
3 ай бұрын
Amina😊😊😊 nami Mungu uongezeke kwenye moyo wang na familia yang
@kaisha617
2 ай бұрын
My heart is heavy😭😭😭😭mungu mm nipungue maishani mwangu wewe uinuliwe
@FaithMbeke
Ай бұрын
Kweli Mimi nipungue mungu wangu uongezeke.Napenda huu wimbo
God give me grace ooh my father nipungue na wewe uongezeke sana kwa maisha yangu Kila saa na Kila wakati
@JulietOwate
2 ай бұрын
God decrease me as you increase in all aspects of my life God.. Fulfill all my heart desires in Jesus name
@beibyamore931
Жыл бұрын
UONGEZEKA BABA KWA MAISHA YANGU NA WATOTO WANGU NA MAMANGU YESU😭😭😭❤️❤️🙏🙏🙏🙏
@paulojkivuyo8964
Жыл бұрын
Mungu aongezeke kwenye maisha yangu na Kwa mke wangu na watoto wangu na Kwa mama yangu na kwa families yangu yote
@isaacmutamale9295
Жыл бұрын
Zidi kuongezeka katika maisha Adonai.Nakupenda Yesu Kristo.
@user-ui4lm7rk9r
5 ай бұрын
Ongezeka yesu kwa mume wangu tuweze kuvuka jaribu hili
@EdinaShaban-gm6mp
3 ай бұрын
Uongezeke zaidi Yesu mimi nipungue kiburi kisitajwe kwangu wala kwenye maisha ya mtoto wangu
@officialMissme
Ай бұрын
Lord may you increase as i decrease....lord i need your intervention in my life,my family...lord I'm tired of being employed,,Lord i need a business i can call mine🙏.. please God hear my cry .. increase in my family, may you increase in my business...God of jacob hear out my cry🙏🙏
@user-cd4km3zn7d
3 ай бұрын
Eeeeh yesu ogezeka ndani ya maisha yangu na family Yangu ata biasharani mwangu ogezeka eeh yesu wangu
@MaureenWekesa-lc2lg
7 ай бұрын
Mimi nipungue kwa maisha yangu, kwa ndoa yangu kwa mipango zangu, wewe uongezeke yesu
@sephynemwangi5315
3 ай бұрын
Ongezeka Yesu kwa Afya yangu na maisha yangu,Amen
@user-vg6bu4cj9d
3 ай бұрын
Me nipungue wew uongezeke katika kaz yang katika familia yang kwa mtoto wangu kwa mumewang kipenz uongezeke sana katika maisha yetu kwa ndugu zetu kwa wagonjwa kwa mayatima na wale wanao hitaji
@user-rx7sv1oy6n
6 ай бұрын
Uingezeke YESU KRISTO katika Kila eneo la maisha yangu
@berittahmumbe6534
Жыл бұрын
Nashuka chini sana Mungu uongezeka katika ndoa yangu,kazi yangu,mtoto wangu ,mfanyikazi wetu na uimbaji wangu katika uinjilisti choir ziwani,Amina
@monicagicheru7812
Жыл бұрын
Wewe yesu uongezeke kwa kila jambo uongezeke sanaa
@Latifa-ck9hi
3 ай бұрын
Uongezeke yesu kila eneo la maisha yangu ahsante yesu siwezi bila wewe uongezeke nyumbani kwangu uongezeke kwenye kazi zangu uongezeke kwenye ndoa yangu uongezeke kwenye kizazi changu
@JohnMwangi-hu9zx
6 ай бұрын
Uongezeke Yesu nami nipungue ...Uinuliwe sana Bwana ..Kwa ajili ya familia yangu .uambundiwe sana
@brendanekesa9537
9 күн бұрын
Ewe Mungu ninaamini kuwa umeongezeka katika maisha yangu na familia yangu haswa wakati huu mgumu naomba unifungulie milango ya baraka katika maisha yetu,Amen.
@veronicakipande4026
Жыл бұрын
Mungu mm nipungue ww uongezeke kwenye maisha ya wanangu na WA wazazi wangu . Mungu ongezeka juu ya maisha ya Mume wangu Kila atokapo na aingiapo🙏🙏
@StellaMsagai
5 күн бұрын
Mungu ongezeka kwenye maisha yang familia yang biashara yangu ikawe yakimataifa wanaonicheka nakunidhihak kuwa nmeshndwa Mungu naomb ukaongeze kwa zaid mimi nipungue Mungu wang niondolee aibu fedhea ninayoipata kwa sasa Amen
@user-rc9lf4ce9q
7 ай бұрын
Heavenly master may I decrease as u increase in each situation down the son I came across it ,may u increase as I decrease I glorify ur name amen
@VIRGINIASAMUEL-fj6ku
18 күн бұрын
Kila siku , kila saa , YESU uogezeke nami nipugue ili maandiko yako yatimie.
@lucythoya8626
5 сағат бұрын
LET THE LIVING GOD INCREASSE IN MY LIFE IN JESUS NAME.
@LucyChuwa-ug3du
18 күн бұрын
Mungu mimi ni pungue weww uwongezek kwa famly yngu ,uwongezek kwa kijana wang yesu peke yang siwez kumlea,uwongezeke kila eneo la maisha yng,uwongezeke wewe mung wang kwang kwakuzid kkutambua wewe, mung wewe uwongezeke kwa watot wetu wot wasio na utambuzi wakujiongoz ukaongezeke kwako ,mung uwongezeke kote
@rithersteven485
Жыл бұрын
Bwana yesu ongezeka kwy maisha yangu na familia yangu ongezeka kwy uchumi ongezeka kwa kizazi changu amina
@LizzVicky-hw9up
6 ай бұрын
God may you increase as I decrease in everything I do. In my house Lord you are above everything 🙏🙏
@IvyShanyisa-bo7gc
3 ай бұрын
Uongezeke yesu katika kila Kona ya maisha yangu wAcha ww uongezeke hoo my God
@glorysangei5387
Жыл бұрын
Nipe unyenyekevu zaidi Yesu ....kila nilichonacho ni Kwa neema Yako tu ....Mimi nipungue,wewe uongezeke.
@NancyNekesa-nh6du
2 күн бұрын
Uongezeke Yes u,ondoa aibu na fedhea katika maisha yngu🙏🙏👍
@christinembuya4637
19 күн бұрын
Uzidi kuongezeka Jehova wewe Alpha na Omega. Hakika nikutazamwa uonekane wewe poker yako..June 2024, NW England
@anithakeneth2104
Жыл бұрын
MUNGU MKUU atupe utulivu ndani ya mioyo yetu atupoze majivuno atupoze usisii tumuishi na turuhusu atawale ndani ya maisha yetu 🙏❤️ajae yeye alie MUNGU MKUU ndani ya maisha yetu
@bless1523
Жыл бұрын
🙌🙌🙌Halleluya mimi nipungue uongezeke Yesu kila eneo la maisha yangu. Asante Yesu 🙏
@JeseeTheuri
4 күн бұрын
Mungu aendelee kuwa mungu milele I started my family may he bless us forever
@VennessaOmangi
2 күн бұрын
Uongezeke mungu wakati huu wa shida mungu nisaidie mm ni pungue wewe uongezeke sanaaaaa
@barbraadhiambo2008
Ай бұрын
Uuongezeke katika maisha na yote ninayoyapanga nayakabidhi katika mikononi mwako na jua utatenda🙏🙏
@user-uk2le5tt1d
4 ай бұрын
Hili ni ombi langu Yesu uongeze pande zote za maisha yangu,ili nikuhudumie milele daima.Barikiwe mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu wa ufunuo mkuu.
YESU ONGEZEKA MAISHANI MWANGU NA MAISHA YA WATOTO WANGU 🙏🏼🙏🏼🙌🏾👏🏿✨️
@jemimmahjuma1591
7 күн бұрын
Baba naomba uongezeke kwa biashara zangu na uhusiano wangu.....
@FedaSema
2 ай бұрын
Mungu uongezeke kwa watoto wangu maisha mwao mungu
@loreenatieno-wq6gi
Ай бұрын
Bwana uinuliwe mimi nipungue nakuhitaji katika maisha yangu
@brilliantevance9002
Жыл бұрын
Ee Yesu uongozeke katika maisha yangu, uongezeke kweny ujana wangu Mimi nipungue ww uinuliwe🙏🙏🙏
@NuryAbdul
Ай бұрын
Mungu ongezeka kwene maisha yanguu na familia yanguu niondolee kiburii baba ongezeka mimi ni pungueee eeyesuu
@user-wp2tt3kf6k
2 ай бұрын
Mimi nipungue baba uongezeke kwa maisha yangu yesu
@alicemjomba2644
Жыл бұрын
Nipitapo kwenye majaribu Makali wacha nipungue uongezeke Mungu Wangu maishani mwangu, Hallelujah 🙌🙌🙌🙏
@dalphineyator9157
16 күн бұрын
My toughest year for me no job no money am just fighting alone my life is stagnant wewe uongezeke yesu niondolee aibu
@Lizzymwambene-eq9mu
Ай бұрын
Uongeze sana MUNGU wangu katika maisha ya ndoa yangu,mume wangu,watoto wangu ndugu zangu nipe kunyenyekea chini ya mkono wako nipe hekima na maarifa jinsi ya kuishi na wanadamu
@user-hu8uc9qy8j
Ай бұрын
It's well
@KellyRich-zo8nq
Ай бұрын
Ahsanteee sanaaaaaa kazi nzuriii
@johnraylan
Жыл бұрын
I have seen your mercies in my life and family in a time that I thought I lost it all after being conned 5million kshs, but God you stood with me and my family when I was down, this has been my rhema song.
@brendapenalopeakinyi3845
Жыл бұрын
God is so faithful
@sharonkatua4574
10 ай бұрын
Amen may God increase in my life in this hard time am looking for a job nakumbali kupungua yesu aongeze
@janefferwanyei2991
Ай бұрын
Mungu ongezeka kwa maisha,ndoa,kazi,familia yangu mimi nipungue
@user-ux9cf6xx8d
10 ай бұрын
Mim nipungue wew uongezek katik family yngu katik maish yngu wew ni kila kitu mungu bila wew me si chochote🙏
@X_lyrics8
5 ай бұрын
God be seen in my life for your goodness and righteousness endures forever.You are great, Bless earth and all the people in it.God let those who don't believe in you, see you .God thankyou for making it great for each one of us.Father we are grateful❤
@vallarykisia3440
4 ай бұрын
Ongezeka maishani mwangu niondolee aibu ..bwana aibu ya kuchelewa kuoleka,aibu ya madeni ..aibu ya kukosa kipato cha maana baba nisaidie nipe ushuhuda moyo wangu umechoka wewe tu ndio tegemeo langu.Niondolee aibu baba
@abigailnzula6147
4 ай бұрын
Pokea hitaji la moyo wako
@ErickMollel-qq2ej
4 ай бұрын
Mambo
@offblogmedia
2 ай бұрын
Aongezeka Bwana Maishani mwako 🙏
@carolyokwaro9548
Ай бұрын
Acha Mungu akutembelee.
@uriodavid6882
Ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote
@ruthapondi5624
Ай бұрын
Mungu wangu uongezeke maishani mwangu sababu wanadamu hawaaminiki kamwe
@judithlejalearnmore2236
Жыл бұрын
Hallelujah, Mwili uzoee Kufunga,Ili tujazwe na nguvu za Mungu na roho Metallurgy.Yes Lord!.
@user-sm2un4jt1d
7 күн бұрын
Mimi nipungue ww uongezeke mungu 🙏😭😭😭🙌😭 😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@nurumakweta1770
5 ай бұрын
Uongeze kwenye afya yangu Mungu wangu akutegemea wewe tu mimi nipungue wewe uongezeke
@GrolyDaniel-vy5et
28 күн бұрын
Uongezeke yes zaidi ninapokutumikia ktk huduma yangu were uzidi uongezeke yesu
@priscillahkariuki7119
5 ай бұрын
Singing this in a a deep dispair ,seeing all that i worked for is coming to an end,the marriage i prayed for most of the time is in its last page.
@Hildahlimoo
5 ай бұрын
Keep praying,,God will fight for you and all will be ok
@annemugweru6996
4 ай бұрын
may God intervene
@judimanga6753
3 ай бұрын
May the Lord keep you and may He destroy all the activities of Satan in your life and family.
@user-hk7lg6rp5c
5 ай бұрын
Amen baba , ongezeka wewe na mimi nipungue kwenye kila ukuaji wangu pamoja na mwanangu kweny kila łopato cha kila mmoja ninaemfahamu
@johnkibera6147
3 ай бұрын
Amen wewe uongezeke YESU mimi nipungue
@charlesotieno9608
Жыл бұрын
He must increase but I must decrease. Lord help us trust and have faith in you because in your presence we're safe. May the blood of our Lord Jesus Christ be upon your people
@AliceAdongo-fs9kw
6 ай бұрын
Oh!dear lord I trust in you in this difficult situation am under going through bless me and my family.Aibisha shetani anayepanga kuharibu ndoa yangu Uongezeke kwa maisha yangu na Mimi nipungue
@EuniceZawadi-sz1ch
Ай бұрын
Acha mungu uongezeke katika masomo yangu pia katika maisha yangu
@veronicamtungakoa593
Жыл бұрын
Uongezeke sana Yesu wangu katika maisha yangu yote , hakuna wa kuabudiwa ila ni wewe tu
@MariamuGodda
Ай бұрын
Wacha Mungu aongezeke kwenye maisha yangu na uzao wa tumbo langu na mume wangu, na familia yangu na kwa wazazi wangu na ndugu zangu.
@mercyakinyi882
2 күн бұрын
I reduce so that you may increase Lord Jesus Christ
@user-ek8hk1jd1i
Күн бұрын
May God hear us all as He is uplifted higher and higher
@maikovineventscompany1180
Жыл бұрын
Ongezeka kwenye maisha yangu kwenye ndoa yangu. Watoto wangu ongezeka kwao na kwa mke wangu nae ongezeka kwake akutambue wewe ndie unae ongeza. Uinuliwe sanaaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Пікірлер: 770