Hata kule mkwakwani Tanga msimu uliopita Yanga pia alizulumiwa ngao ya jimii dhidi ya madunduka fuudenge mikia😂😂😂
@LinuslusianLinuslusian
Ай бұрын
Mimi naona yanga wanaonewa sana na marefa
@mbiseMbisere
Ай бұрын
Mtaongea sana makolo😢
@NeemAmianaMramiFamily
Ай бұрын
Eti yanga wazee dharau zenu zimewaponza mammaee😂😂😂
@emmanuelbirore7679
Ай бұрын
Waambie ukwel hana leo haukuwa kwenye ubora mzur,baada ya free kick hana on target
@GenelivaSylvester
Ай бұрын
Makolo msipoacha hizo habari zenu mara dawa,mtayaoga sana maana timu zote zinajipanga na kufanya marekebisho nyie kelele nyng hamtaki kukubal ukweli,hayaaa kizuri mko na semaji lenu wa kuwafariji
@IslahiMohamed-qi2jf
Ай бұрын
Azam wajanja
@user-nm2jq7xo5f
Ай бұрын
Lazimatuseme kwa kuokoa mpira wa tanzania
@lucymsheshi5871
Ай бұрын
Kabananishwa😂😂😂😂 ishu ya refa
@bakanga1410
Ай бұрын
Utoporo mnalalamika wkt kuna mechi nyingi mmebebwa kuwa wastaarabu,punguzen upuuz
@ShawnBeatz
Ай бұрын
Bado misimu mitano yamajonz😂
@Isackkayanda
29 күн бұрын
Ujinga tu kuma wew hujui mpira kolozidad wew
@user-bt6ep3yb2h
Ай бұрын
Walisema Yanga wazee, kumbe wao wana vijeba kibao.
@RemiusCleophace
Ай бұрын
Yang'a bila dawa hawezi kupata ushindi mbele ya mnyama
@MzeewaYanga-hm8jq
Ай бұрын
Dunduka 😂😂 eti daw
@AbdulswaburuYusuph-oi5xx
Ай бұрын
Bahat nzur wew unajua yanga wanapochukua dawa wapeleke na simba washinde
@user-nm2jq7xo5f
Ай бұрын
Refa aliyechezesha Machi hii inapaswa afungiwe kwa maamuzi mabovu kabisa
@kisinza6077
Ай бұрын
Alitumwa
@kisinza6077
Ай бұрын
Hamna waacheni tu tutawanda hivyohivyo huyo refa tunamjua hajawahi kuitendea haki Yanga, na alipangwa makusudi.
@suddytele3692
Ай бұрын
Acha uongo bhna.
@NeemAmianaMramiFamily
Ай бұрын
Dube alivutwa ndani ya penalty box
@swedywamba5535
Ай бұрын
Hasa tena kwa kutunyima goal yanga
@decodesuza6996
Ай бұрын
Muwamuzi hatakiwi kufungiwa,
@AllanAthuman
Ай бұрын
We bado unaamin daw
@henelckneatunga2720
Ай бұрын
UTEPE UMESEMA UKWELI,AZIZ KUPOTEZA MPIRA NI KAWAIDA SANA
@AsiaNgoleka
Ай бұрын
Yule refa baba yake mzazi ni shabiki wa simba
@beatusmtui507
Ай бұрын
Upete anaogopa kuwaambia ukweliii ndugu zangu wana yanga kwamba yeye ni mwanahabari tena mwajiriwa so ana mipaka yakuongelea kitu fulani si hawezi ongea mnachokitaka
Пікірлер: 53