Pole kwa kuvamiwa na majambazi .Mungu akubariki na akulinde nyimbo zako zinanibariki
@rebeccandeti9519
3 жыл бұрын
What an amazing Dr singing n breaking for the glory of God...ubarikiwe mtumishi am blessed by your music....Moto wangu hauwezi kunyamaza....inabidi niimbe hata kma nipe wapi...Amen
@stephanosospeter1709
Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho ya hekima, sifa na utukufu kwa BWANA YESU KRISTO
@ilovejesus9303
3 жыл бұрын
Just known him now and can't get enough of him. Hongera kijana. Sikujua kama mbongo!
@Siamanda51
2 жыл бұрын
Dr Ipyana your testimony is amazing,imeniinua one thing I learned is to focus on God kwenye madhabahu ninapo imba,be blessed
@stellahsanga8214
5 жыл бұрын
yes Hekima ya maneno Ubarikiwe mtumishi.....Roho wa MUNGU azid kukutumia Ameeen
@philisterkahindi5122
2 жыл бұрын
Asante sana Dr.Ipyana nimejifunza mengi sana katika mtu na uhusiano wake na Mungu.
@timothymbendo
4 жыл бұрын
Am just blessed with this great man of God dr ipyana...he is really teaching me alot sana coz am also a worshipper
@berthajohn3314
5 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi Dr Ipyana
@nellumasomelu6900
5 жыл бұрын
Dr. Mungu azidi kukuinua najifunza mengi toka kwako.
@favouredbygod4163
3 жыл бұрын
Asante sana kijana wangu nimeona kazi zako Mungu akutie nguvu endelea kunyenyekea
Пікірлер: 28