jamaaa sio mwandashi wa habari wala mwanahabari ni host tu ila anabid ajifue sana
@salehekimlola955
3 ай бұрын
@@kapesamjenga8971 siyo chuki uhalisia kwamba hana values za kuwa mwandishi. Rudi shule acha uswahili. Kasomee fans acha kukurupuka na form 4 yko failure
@Amospius-r3y
21 күн бұрын
sekunde chache!❤
@zayumar2955
3 ай бұрын
Mzee Magali yupo vizuri kwenye kujielezea hata kabla ya mtangazaji hajauliza yan huyu mtangazaji hii sio nafas yake hapa alitakiwa kuwa DJ smaa au Mwenyewe sky ingekuwa 🔥🔥
@ashurajengela3926
3 ай бұрын
Mtangazaji hashawishi kuangalia 😢😢🙌🏻
@MissaYahaya-zj9ut
Ай бұрын
Hiyo ndo ndoto yake tokea enzi hata kwenye gilam alkua akipenda sana kutaja nikupeleke Marcan tkaish huko
@sosbrayantbenjamin9701
3 ай бұрын
Mtangazaj hamna kitu huyu
@jamesmassawe4888
3 ай бұрын
Lakn yupo amerca
@SalimIbrahim-kw8ud
3 ай бұрын
Ila harmonize
@thompsonkiputa6842
3 ай бұрын
Mtangazaji haiwez hii kazi.
@yusafbayu7016
3 ай бұрын
Hebu kaombe Kaz crown Wana taka watangazaji wivu tu
@victormwansasu8764
3 ай бұрын
Hapo hamna mwandishi ,yan kunavitu mzee magari anamfundisha mwandishi
@allywilson4155
3 ай бұрын
Amna kitu kwa myangazaji
@Tanzania_Ya_mama
3 ай бұрын
Mtangazaji hajui mpuuz huyu mbwaaaa😅
@tradamus4158
3 ай бұрын
😂😂
@theonestrenatus954
3 ай бұрын
Mpe muda sky atamnoa atakaa vzr,,
@issanaseeb7699
3 ай бұрын
Huyu Mtangazaji sio kwamba hapendwi coz Comment nyingi zinasema hajui kiukweli niungane nao huyu hajui chochote arudi shule Qmmk zake mtu anaenda Ulaya hajui kuhoji takataka kabsa😅
@AbiTech96
3 ай бұрын
Hio RIKE ndo nini?😅😅😅
@sophiakimaro5174
3 ай бұрын
Kwan huku tz alikuwa hajaoa?
@BigBrain23
3 ай бұрын
Shule kitu cha muhimu sana hata form 4 tu inatosha. Hatuna mwandishi hapa
@japhetlust5050
3 ай бұрын
😂😂😂
@Sage-o4q
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mtangazaji ananichekesha .....ohhh waooooh..... afu kama anaimbaaaa😂😂😂😂😂
@Johnsonkayila
3 ай бұрын
Duh uwezo wa kuhoji huna
@enockezekiel4125
3 ай бұрын
Ndg mwandishi😅
@khurlainashly5686
3 ай бұрын
Kumbe bado yupo😂
@Gades106
3 ай бұрын
Hata mimi nimefikiriaga mzee magari ameshaga fariki
@Gades106
3 ай бұрын
Huyo mtangazaji mumtoeni umarekaninmumrudishe bongo mumpeleke Mtu mwenye uwezo waku oji
@Justine_Tz1
3 ай бұрын
Huyo jamaa yuk marekani kwa mishe zake za kisanaa ya maonesho hakupelekwa na sns waliend wenyew marekan kam kikundi ch Sanaa sns wao ndo walimtafut kufanya nae kaz baada ya kumuon haki fanya challenge ya lugha ya kiswahili na wazungu
@Qqambaa
3 ай бұрын
Jamaa yuko sawa 🥰
@bensonjohn9633
3 ай бұрын
Mtangazaji anauliza Swali! Analijibu mwenyewe halaf anataka kuhakikisha? Nadhan anahitaji Kujifunza sana jinsi ya kuhoji
Ukiona astahili fanya wew nenda America 🇺🇸 ukatuletee vitu unique
@yusafbayu7016
3 ай бұрын
Una nja ndo mana kila kitu una ona kibaya wew njo utangaze
@Mr-GMB
3 ай бұрын
Je wewe?
@samuelmlapwa7858
3 ай бұрын
Daah sawa musikilizaji na mutizamaji
@Deadskytz
3 ай бұрын
Nyie SNS muwe serious acheni kubebana bebana media ishakuwa kubwa , Watangazaji gani hawa sasa 😂😂
@ngwacahnyagwaswa9979
3 ай бұрын
😂
@SilasMbaruku-no6id
3 ай бұрын
Aah hyo move au
@AbilahSalumu-qx1cb
3 ай бұрын
Kwer kuigiza Sio Kazi
@BigZhumbe
3 ай бұрын
Mzee Magari "Where is Come From"
@abdallahdataguy
3 ай бұрын
😊😊
@ashobozakabalimu9212
3 ай бұрын
Picture for mw?
@annaphi2427
3 ай бұрын
Yaan uyu host sio tuu hajui na anaboa tuu lakin hta kipaji nacho hana yaan magari angempata mwenyewe sky tunge Enjoy zaid
@redemptaanisio2770
3 ай бұрын
Mbona mtangazaji ndo anaonekana sana kuliko mzee magari
@kingkinye1419
3 ай бұрын
Today kakua
@ibrahimelisha6842
3 ай бұрын
Ataa maongezi yao yanajichanganya et kule mara huku yaani ni hovyo hovyo
@tsumiduwe1406
3 ай бұрын
NI JIMBO GANNI YUPOOO
@NeemaSamson-ti8pc
3 ай бұрын
Nyie mnaosema hawezi nyie mnaweza siku zote mwanzo ni mgumu ata kama ukiwa na kipaji, ila kadri atakapozidi kutangaza ndivyo atakavyozidi kuwa bora na kurekebisha anapokosea, ata sky hakuibuka tu ghafla kawa mtangazaji bora naye alianza kama huyu, so msiropoke tu jaribuni kufikiria kwanza
@RynoFiree
3 ай бұрын
Mbona mtangazaji anauliza majibu Yan mpaka magar anashindwa ajibu nini
@kassimkitta6118
3 ай бұрын
Marekani ya burundi
@kingkinye1419
3 ай бұрын
Mtangazaji anahoji anajijibu
@benitoxavery1802
3 ай бұрын
Mtangazaji badala aulize maswali. Anauliza kisha anajibu mwenyewe!!! Akasomee uandishi zaidi Very amateurish!
@Cyper255
3 ай бұрын
Mtangazaji ujitafakari kwa hizi comments
@japhetlust5050
3 ай бұрын
Nimejuwa mzee magafi yupo hanaish marekani basi siendelee na storry keasababu mtangazaji ajui
@ibrahimelisha6842
3 ай бұрын
Hapo sio marekani mzee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mnatuleta nyie watoto wa mbagala wanalia kabisa
@mam_salum
3 ай бұрын
Sauti ya mzee magari utasema amekabwa na kitu kwenye koo
@AhmedAhmed-z6m7t
3 ай бұрын
Hahahhaaaa mimi naikubali sana sauti yake
@AmadeMbezy
3 ай бұрын
Wa kwanza reo wamba rike ningi kwa mzee magari
@laoiyadi1176
3 ай бұрын
Jifunze matumizi ya R&L 😢
@dorcaskidoti249
3 ай бұрын
Shule ni mhimu saana haswa kwa watzn😂😂😂😂😂😂 r na l vinakushinda loooo
Пікірлер: 76