Karibu ujiunge kwenye group la watsup la mbengo Tv chat.whatsapp.com/CCCCHDZ6VE0Jn6whMiVZcr
@YonaSteven
Жыл бұрын
Mromrsmr
@Jaydannychawaboy.
Жыл бұрын
Steve mweusi anajua sana na hata wakati ukiwa na stress unaweza ukawa sawa kabisa ila nae Clam Cris shughuli anaijua ipasavyo😢😢😢❤❤
@adilhabib8988
Жыл бұрын
Clam spend
@kevinnasibu7284
Жыл бұрын
Bila shaka,clam vevo ni atari bin moto,,Steve namba 1 clam vevo namba 2 unyama kama kawa
@hellenthomas6654
Жыл бұрын
Sana penda Sana Steve mweusi
@SokinaChapia
Жыл бұрын
Nakupenda Sana Steve na ndalo mwaondolea mtu stress 😂😂😂big up guys Mungu awazidishie vipaji vya sanaaa muendelee kote duniani
@chidzodunda
Жыл бұрын
Mm humuita Steve mtoa stress 😂😂😂😂 na hiyo Mamangu kichaa n moto saba naikubali❤❤❤❤❤❤❤❤
@Pascalkashindi76
Жыл бұрын
Steve Mweusi ana chekesha sana tuuuu lakini Clam Vevo anashinda sana tu let's go mbengo tv ❤
@Jali-et8py
Жыл бұрын
Much love from Uganda ,I love you Steve ❤️ 😘
@RutexNalex
Жыл бұрын
Steve nakupenda Sana ju huna dharau Mungu akuinue zaidi
@AssinaMsafiri-ud5so
Жыл бұрын
Kweli kabisa nampenda saana mtoto mzuri saana
@EmmaculateMuhea
Жыл бұрын
Much LOVE from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sammygoparts9514
Жыл бұрын
Best comedian ever..much love from kenya
@emmanuellkfightforjusticea2474
Жыл бұрын
My best comédien ever from africa . Steve . 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 follow you from Roma
@camilasky254
Жыл бұрын
This man is simple and true no faking I like it
@DanielMuya-l1r
Жыл бұрын
❤
@kevinnasibu7284
Жыл бұрын
Wakenya tunampenda Steve mweusi,,big up bro
@AliyMistah
Жыл бұрын
Nimekubali. Kaka. Katika. Mjibu. Yako. Kwakichechee. Shukran sana
@TatuNyerere
9 ай бұрын
Mungu atakusadia utajenga kaka tunaku penda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@janjaz
Жыл бұрын
steve is good in his content, bt the only limitation inayomsumbua na kumfanya anaogopa hata kufanya show across border ni English na kuwasiliana na wale wanaotumia english or wasio elewa kiswahili. He need to do something on it na hapo hata communication hatapata shida kuwasiliana na mashikaji wa international wakitaka colabo.
@mr25d
Жыл бұрын
Huyu jamaa hakai serious kabisa namkubali sana huyu mwamba
@bilo1106
Жыл бұрын
Steve mweus Nakupenda kwa vichekesho vyako Wallahi nafarijika sana..❤
@peterkimanthi5874
Жыл бұрын
😂😂😂😂Acha zako ww
@MohamedAbdu-l9m
Жыл бұрын
From Kenya penda sana Steven ❤❤❤❤
@bestcodetz5726
Жыл бұрын
kama unaamin all commedians are genius gonga like
@JoanMponda
Жыл бұрын
Nakukubali stivu utaki uongo unataka kuongea kitu cha kweli
@armstrongfacinimakini
Жыл бұрын
I like ur story bro,God bless your work,much love 💕💕💕💕💕 steve
@mohamededdi7527
Жыл бұрын
Muulize maswali ya maana, sio personal ishu mbele za camera.
@Nashondaniel
Жыл бұрын
SITIFU KUCHEKESHA ANAWEZA SANA, HATA INTERVIEW ZAKE PIA ZINACHEKESHA
@evalynekwamboka2802
Жыл бұрын
Much love from Kenya ❤❤
@nuruathumani1590
Жыл бұрын
Naongea tu ukweli ,steve unajua kucheza na mitego ya maswali ,yani kama kuna top 5 ya interview bas wewe ni no 1
@johnfedrick1504
Жыл бұрын
Yani huyu jamaa kila akiongea nacheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JeannetteManirambona-o6m
Жыл бұрын
Mimi sana😂
@christinaernesto4636
Жыл бұрын
Huna baya Steve mweusi Mungu azidi kukupigania na husda za waulimwengu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘
@zuhurakhasimu969
Жыл бұрын
Oyoo leo umeonekana mtangazaji leo ndo mara ya Kwanza kuona sura yako 😂😅
@mbengotv
Жыл бұрын
😀😀😀🙏
@zachariuhmutunga
Жыл бұрын
My best actor in the world ziiiidi nakupeda saana
@cyprianopudo-v8g
9 ай бұрын
Steve 😂😂😂Kwani ulikosana na kizungu wapi mtu wangu😂😂😂.Much love from Mombasa Kenya
@gusiifame
Жыл бұрын
Steve kushindana na mimi ni kama kuteleza😂😂😂
@patrickmusyokipaul7824
Жыл бұрын
Hamadi kijicho kutoka mkuranga ndo nani 🤣🤣🤣
@rabeccawakoli7250
Жыл бұрын
Steve Mimi Niko single Sina akili njoo Niko Kenya ❤❤❤
Пікірлер: 326