Majeshi ya wenzetu yanaendeshwa kisasa teknelojia ikiwa mbele, sie huku kazi kubeba mizigo mizito
@williamnathan4630
Жыл бұрын
.....ninachojua hata hizo nchi zenye teknolojia wanavikosi vinavyofanya mambo Kama haya, sema hawaoneshi public Kama Sisi.
@mohamedikambona7537
Жыл бұрын
Adui wa Kwanza wa vita NI jirani yako, Tanzania adui Yake ni Kenya Uganda , Malawi,msumbiji,Burundi, Rwanda, ambao uwezo wa kijeshi unafanana. Huwez fananisha technology ya third world countries (African) na nchi za ulaya au Asia.
@d.a.nicholaus
7 ай бұрын
Hata wanajeshi wa Marekani hubeba vitu vizitio
@BarakaSagamba
3 ай бұрын
Hata uwe na teknolojia gani lazima uwe special force .Sio kila tukio la hatari la ugaidi linaweza kuzimwa na teknolojia za silahaa Kali .matukio mengine ya ugàidi yanazimwa kupitia makomando na hizo silaha za technolojia
@frankjacob2216
5 ай бұрын
tanzania sisiem oyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
@themadingotz255
Жыл бұрын
Ninoma
@remiginatusmalale5336
Жыл бұрын
Jadi yetu
@PaskalJohn-tn3wp
9 ай бұрын
JWTZ ni balas aisee
@ELIJAHSITIVEN-jx4ug
8 ай бұрын
Asante
@GodfreyMaingu
4 ай бұрын
Jambo afande
@grashfordmwilondo9089
Жыл бұрын
Jaman hadi laha
@thelonewolf4429
2 жыл бұрын
JPM aliona hii yote haina maana kama bado kuna watz wanalia na mabeberu na vibaraka wao wapo kazini
@khalidali1130
4 ай бұрын
JPM ni komandoo kuliko ata awo walotuvalia maguo ya kuzimu kwasbb JPM alifanya kwa vitendo sio bongo movie bongo lalaa🥴
@Edgangaiza
Жыл бұрын
Na mm nakuja soon tuka lipiganie taifa
@liversonmbela2735
Жыл бұрын
yani mbona mchokeshe wanajeshi hivi
@chidjosh6056
2 жыл бұрын
Watanzania, tunapotea kwakweli, hiki ndio kitu chakujivunia miaka 60, ni aibu
@JokerMdoli-db8se
3 ай бұрын
Haha ..jambo Afande
@fatmamsiliwa8485
2 жыл бұрын
Yan mbinguni watafika wamechoka sana
@binahmedjuma8681
2 жыл бұрын
😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣 Kweli lakini hiyo yote ni katika kuilinda nchi yetu👍🏾
@AshaKache-nr5fz
5 ай бұрын
Kwani hawa wote hua weusi ama hua wanapakanga kitu kwa uso😮
Пікірлер: 34