Napenda sana Amisa and diamond nice couple🔥🔥❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@husseinremmy8102
6 жыл бұрын
yan kama ukitaka kuwa maarufu KZitem weka habar za balozi wa East African diamond platunmz
@rahimajuma688
6 жыл бұрын
dah couple naipenda hii mwenzenu tena wamependa sn fungeni ndoa basi jaman ili mtufurahishe vizuri
@64aaa
6 жыл бұрын
Rahima Juma inshaAllah 2018 atafunga kazi tu........hapo pia itapendeza🤣
@nusurakajubu8785
6 жыл бұрын
yani diamond apo nimekupenda bure wakomeshe wambea walijua amtaonana tena roho inauma sasa naomba uje upatane na Alikiba jmn
@64aaa
6 жыл бұрын
Nusura Kajubu inshaAllah mwaka huno watakuwa sawa tu. 2018 ni ✌💞
@nusurakajubu8785
6 жыл бұрын
+Abdiilah Awaf InshaaAllah kupata ni kitu kizur sana
@saumuhassan1365
6 жыл бұрын
Ukiacha *VANESSA NA JUX* Couple nyingine ninayoipenda ni hii wangefunga ndoa ningefurah zaidi, ila wenye wivu wajinyonge kwa uzi please👌 😂😂😂😂 watuache kidogo
sam umeungia trending mkuu mm nakwambia habari za huyu jamaa lazima uuze keep support our king na tunakutaka wasafi tv sasa hv millard kashazikwa mkuu hana kitu tena ni 00
@hamadsaidy8752
4 жыл бұрын
Kweli kabic
@hassanisadiki824
6 жыл бұрын
Chibu mwana fanya uchukue twiga uweke ndani coz mwapendezeshana Sana
@ramadhansemgayo3538
6 жыл бұрын
Safi sammisago kwa kutuwekea diamond simba sio yule mpumbavu milladayo anazingua eti kisa ruge ndo kaacha kumrusha diamond
@64aaa
6 жыл бұрын
Ramadhan Semgayo 🤣🤣🤣👍
@goldensparrow1507
6 жыл бұрын
Alafu wakivaa wanavaa same colours siku hizi.. sijui ndio Aroosa mtarajiwa.. ? Atakaeolewa na Msanii awe na subra sana.. Mana hii Hali ya kubadilisha wake kama vichupi ni Exams..! 😀
@faridayahya4919
6 жыл бұрын
Oyooooo nawapenda sana ningependa mukiowana
@halimkepa7766
6 жыл бұрын
farida yahya naam habibty
@restymlale6003
6 жыл бұрын
Zari, wema,Hamisa be ONE AGAINST THE SELFISH MAN. NYIE KUWENI KITU KIMOJA AS WOMEN MSIGOMBANE WALA KUTUKANANA AT THE END OF THE DAY IS A MAN. PLENTY OF THEM OUT THERE.
@henrypodolski3652
6 жыл бұрын
samissago wewe ni zaidi ya milardayo😂😂😂😂
@diamondplatnumz7400
6 жыл бұрын
Henry Lucas milad boyaa tyuu
@Joze-ko9he
6 жыл бұрын
Diamond umefurahisha duniya nzima kwa ukweli basi owa wote we ni mwislam owa hamisa na wema
@husseinshengwamkai70
6 жыл бұрын
Joze123 4 huahahaha
@rayfayassen7237
6 жыл бұрын
Joze123 4 nimefurah cn hamissa na diamond
@martinezsiwale4419
6 жыл бұрын
Sema hapo chibu ungemfikishaa anapokaa hamisa ndio urud katka kiti chako
@harmoniky4000
6 жыл бұрын
Bofya kzitem.info/news/bejne/kZhpvqyCfmt4ZaA utazame video kali na murua. Subscribe na ubofye kengele usipitwe na video mpya kila wiki.
@christinaelisha4439
6 жыл бұрын
hee damu nzito kuliko maji hao niwazazi tukubali tukatae hata wakosane mpaka mwisho wadunia bado mtoto atawaunganisha2 ss tutajiumiza namawivu yetu buree bora tukae pembeni
TAZAMA MIX YA NGOMA KALI SANA HAPA kzitem.info/news/bejne/lqWMrJmae5uIfWk
@elivtv5444
6 жыл бұрын
Milad ayo umepotea adi apa haupo du! Pole Sana na clouds yako
@hamedalsaadi7350
6 жыл бұрын
Jaman diamond umenifulaicha San nimepend san
@fatumasalim8340
6 жыл бұрын
Diamond owa huyo Hamisa mobbbeto mumependezana sana achana na wema
@queenbibisha1961
6 жыл бұрын
Wakaowane basi, anyway kwa mapishi zaidi na vlog mbalimbali karibu kwa channel yangu
@idayakey6886
6 жыл бұрын
ambroze Junior bonakawaida tu apanaona 29 pamoja na mm amuwezi ayo siyo levo yake
@Bonnere
6 жыл бұрын
Diamond why can't u live zari and be with Mobeto the African beauty in God sake
@Kaylahplaygames
6 жыл бұрын
0481797312 Bonnere to late zari left him
@lwimikomwambene
6 жыл бұрын
Mta nyooka tu bado millardayo
@rahimajuma688
6 жыл бұрын
sasa mtt wenu anajua sema watt wa siku hizi kwa tv
@HubertCubaka
6 жыл бұрын
We love you Diamond P...
@restymlale6003
6 жыл бұрын
Zarina. Where are you?
@hadijangolo8269
6 жыл бұрын
Tani wanaendana hawa baci 2 wasinge zeeka miiliyao mizuri
@fatmaalrashdi1577
6 жыл бұрын
Haya wema VP imekuuma kukumbatiwa hamisa
@hadijapazia684
6 жыл бұрын
Huyo ndo Mond bhana,lke rohon mamae
@stanydizzy480
6 жыл бұрын
Inap3ndeza saaana wap millad mapuwa
@eliuthamangula1791
6 жыл бұрын
Wasafi TV
@tabuyahya6481
6 жыл бұрын
Kwa kweli kila mtu Amefurahia uepo wenu wa kuwa pamoja hata mm mmoja wao nimefurahi sana Aliekasilika Akafie mbele na wivu wake huko mmetokelezea kinoma
@murekateterwandaailzari730
6 жыл бұрын
Domondh hanamushimamo
@gamstferdinand1494
6 жыл бұрын
murekatete rwanda Ailzari diamond alieenda kupromote Wasafi TV na Radio mambo ya Hamisa wameyaingiza kutengeneza vichwa vya habari kuhusu hizi tunzo/ awards ili itrend
@ashminaabdullah5626
6 жыл бұрын
Kwanza kimataifa mwmke anapokewa na mwanaume sio uyo kizee kikovaa nyekundu kumpokea Hamisa ovyooo mnaingiza pesa mnatuona maboya fake
@suzanrichard5428
6 жыл бұрын
awa ninawaswas nao awa walipanga hii sio kwa kuvaa huko sare wamelala na kuamka pamoja hawa oa huyo mondi kwanza she cute na mnaendana
@hadijapazia684
6 жыл бұрын
Macho kodoooo
@charlesdaniel4771
6 жыл бұрын
Mimi kama shabiki Wa mond sammisago tv ni TV yangu pendwa kwa sasa
@hotcakerealcake5412
6 жыл бұрын
I like this couple. Between thy dress same colours when thy meet. I love them together lol.
@saumuhassan1365
6 жыл бұрын
hot cake me too always my dear
@minjoja
6 жыл бұрын
noticed that too
@aishaishaom1235
6 жыл бұрын
duh imenoga adi rahaaa teel nachek adi mate bwiii
@henrypodolski3652
6 жыл бұрын
😁😁😁😁nini hiki jamaniiii
@rahmarajaburahmarajabu1196
6 жыл бұрын
Henry Lucas baduumalekani
@wardalward3693
6 жыл бұрын
Wahindi hahaha
@jenifamosha1611
6 жыл бұрын
Umetisha Sam misago funika wote ambao hawamsapoti dai.
@priscadanny3367
6 жыл бұрын
Hahaha ila movie ipo patamu mungu saidia umeme usikatike
Пікірлер: 85