Tangu kutolewa kwa amri ya kutotoka na kuingia eneo la Old Town mjini Mombasa, eneo hilo limehusishwa na visa vya wakaazi kukaidi mikakati inayowekwa na serikali na hata maambukizi zaidi kila siku. Lakini kwa vijana sita wa mtaa huo, hali hii iliwafanya kuwa wabunifu na kuanzisha biashara ya kuuza vyakula kwa wakaazi wakitumia ubunifu wa kisanii.
- 4 жыл бұрын
Vijana mtaani Old Town watumia ubunifu wa nyimbo kuuza vyakula
- Рет қаралды 25,958
Пікірлер: 45