Familia Zaidi Zinaendela Kujitokeza Kuripoti Kufariki Kwa Jamaa Zao Baada Ya Kupigwa Risasi Na Maafisa Wa Usalama. Mjini Mombasa Familia Ya Denis Otieno Inaomboleza Kufuatia Kifo Cha Kijana Huyo Wanayesema Hakuwa Miongoni Mwa Waandamanaji. Na Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki Denis Alipigwa Risasi Zaidi Ya Tatu Kwenye Mgongo Hadi Kufariki.
- Күн бұрын
Vijana wawili waliopotea wakati wa maandamano wapatikani kama wameuawa jijini Mombasa
- Рет қаралды 59,673
Пікірлер: 128