🤝🤝🤝 nakufata kutoka Burundi Na Niko mubembe Na maneno yenye unasema mwenye ahana akili ahata kuhelewa lakini hulisema maneno kweli 🤜🏼🤛🏼🍷
@henyochabo2268
8 сағат бұрын
Ume ongea ukweli ndugu yangu
@fidelfidel-jz4iw
24 күн бұрын
Wabebe hii tabia ipo Sanaa toka Africa Hilo wala sio Siri cha msingi ni kufanya ukaguzi Yani serikali ipekuwe mzigo wanaleta uchawi kuhalibu maisha ya watu kimywa kimywa hii ni aibu sanaa
@mbelechimakobola8835
24 күн бұрын
Leki ameongea point sana
@EshimaniMauridi-im8gi
22 күн бұрын
Uko vizuri.sana kaka
@Bless-b.DL-babyofficial8769
24 күн бұрын
Nami niko nalakusema brother
@marcedouard2960
24 күн бұрын
Siyo mtu uyo😊
@AsaniMkangya
23 күн бұрын
Mkwala siomwenyekiti wa babembe marekani,Mwenyekiti ni ANDRE MCHINDA
@assaningyoku5948
23 күн бұрын
Nani aliye kuambia au kukudanganya eti Andre ndo mwenyekiti
@Gudowabazoba
24 күн бұрын
80
@thebabilon7
24 күн бұрын
Ndomana nasemaga ukija marekani usiwahi kuongea mitandaoni utaonekana bado mjinga sana 😂😂😂
@DuniaPeter-h7k
24 күн бұрын
Ashefujo
@mbelechimakobola8835
24 күн бұрын
Yaani leki ndiye mbembe mwenye AKILI hapa marekani
@Starbrunodg
24 күн бұрын
True
@DuniaKalenga-hr2lz
23 күн бұрын
Nikwasababu ahujapata shida zamagonjwa LEKI utajuwa hii mchi, wewe ahujabadirika pombe na bagi ahujahacha, pili ASILI ya mtu nimuhimu sana wazee walihishi kwamila na walihishi miaka mingi, wewe mkataa asili Mungu wababembe atakuona tu sikumoja na utarudi unakokuzarau
@Heiskmb
24 күн бұрын
LEKIIIIIIIIIIII
@LekiNumbe
24 күн бұрын
Tubadilike wabembe 😢
@approxtv9021
24 күн бұрын
Punguza ulevi kwanza
@mbelechimakobola8835
24 күн бұрын
Umeongea point sana ndugu, vijana wetu wakosa akili ndio hawakuelewi
@Messi234
24 күн бұрын
Acha bangi kjn na izo state zenu Kansas Missouri 😂😂
@JacquelineBaholerwa-hv7gv
11 күн бұрын
Nimavi yake tu ibwa ya mwanaume uyooo Leki
@henyochabo2268
7 сағат бұрын
Ame kupiga miti nini
@keymlonge4884
24 күн бұрын
Leki tuliza bangi zako bado uko mgeni fata kilicho kuleta sio kuongea vitu kwenye pombe Tulia acha kuwaita wabembe washamba nawe pia ni mshamba kwakua na wewe ni m'bembe nawe mshamba pia
@Starbrunodg
24 күн бұрын
Ukweli unauma 😂😂
@SakinaMaovu
24 күн бұрын
UKWELI UMEKUINGIA MPAKA KWENYE MISHIPA YAKO YA UZAZI
@Bukaya
22 күн бұрын
Mwamba ka nuna kuhitwa wa bembe ni washamba kwani hame danganya nyinyi ni washamba tu 😂😎
Пікірлер: 27