Yeeeeeeeeee maneno ndo yalitanguliwa kwepo na mtendo yakafifika😢😢😢kilio kilio wakongomani kwakulialia na kusaga meno wenye msimamo wakwenda na maji kunabaki wenye mbwembe na watumwa wa akili na vijakazi vya wanyarwanda wakongomani wamebaki pomba na makapi yanayosubirisubiri kuchomwachomwa moto
@MthalamMwalimu
3 ай бұрын
kzitem.info/news/bejne/pq-mqJejb2Koino
@CharlesMs25Daghaly
2 ай бұрын
Detail inakushinda juu auna matumaini yakuwa kma siku mo1 mnaweza kutengenezesha barabara RN N05 Huo umo1 wenu Unisema ni kwel kbs mnataka kusikiliza Malalamiko gan na wakati Mna yajuwa kwa1 barabara usalama mdgo Nk (na kazalika)
@MakeleleAboubakarr
2 ай бұрын
Munasema ivyo kwakuwa mungali apo mukifika kishansa munaikaa kimya naizo video zote munazifuta, wabunge wote kutoka sd kivu bure kabisa
@MakeleleAboubakarr
2 ай бұрын
Baraka ville yenye haina barabara haina courent haina maji ndo ville gani iyo😡iyo😡😡😡
@jeromealutaMmuma
Ай бұрын
On pleure parfois, on se demande pourquoi mais ainsi va la vie
@KolamuWabene
3 ай бұрын
Wakongomani muhitahidi kongo himalizike wala hisiwepo duniani,kwasababu wafanya siasa wakongo ndio wanahangusha congo,wapi na wapi jeshi kukaha pamoja na raia,na mtutazidi kuhuwawa sana tu
@neemamasudi7988
3 ай бұрын
Poleni sana kwa kumpoteza Mwami wa asili😭
@KolamuWabene
3 ай бұрын
Akuna gouvernement hapo nayeye huyo anaye hongea akuna ambacho atakacho badili kwanza watowe jeshi katikati ya watu wawaweke mu camp zao,lakini siasa yakongo himeshindwa kuwalipa wana jeshi hikahona hiwaweke mu watu ili hiwahibiye
@Noah-se3ni
3 ай бұрын
Poleni Kwanza kwa kumpoteza mwami, bara bara Kwanza tafadhali,
Пікірлер: 15