kumanina mpaka kieleweke hakuna usenge asante kenyaaa bora kujipaka mavi kichwani ,kuliko kuvaa kofia ya ccm
@mwanyongamama4407
19 күн бұрын
Ooooooo MUNGU Mwema Tusaidie liishe salama
@Worldunite
19 күн бұрын
Soko lilikuwa na wafanyabiashara 1,600+ likiwa dogo, sasa limekuwa kubwa zaidi lkn walioorodheshwa ni 800???????? 10:23
@itanzaniaAS
19 күн бұрын
WATAJIWE VIGEZO ILI WAJIENGUE WENYEWE.. ALAFU WAWASAIDIE WALAU WAPATE MAENEO YA KUENDELEZA BIASHARA ZAO😢
@user-jx5ze9wz8e
19 күн бұрын
Hiv kwanini watanzania hawana akili shida nini wanateswa kama mbwa tu alafu hawataki kudai haki yao
@XxhamxyyxShha
19 күн бұрын
Huyu samia kwanini asije kwanza kariako anawatuma watu ana delay sana
@amossamson8955
19 күн бұрын
Hii noma Kwakweli hata mimi nilikuwepo jaman nilisha rudishwa nyuma saana cjui kama ntapata hata kasehem nilikuwepo mkunguni na nyamwez
@spendjulius-qz9mt
19 күн бұрын
Pesa walizo jengea soko ni pesa za wananchi na ni ushuru wetu kwanini Deni??? HARUFU YA RUSWA TUU😢
@spendjulius-qz9mt
19 күн бұрын
CCM NI NANII AISEEE
@Tyughcdrbdt
19 күн бұрын
Mi naona ni sahihi kabisaaaa
@faustinedeogratias4337
19 күн бұрын
Wale ambao majina yao wanajisikia furaha na kujiona wao ni bora kuliko wengine ambao majina yamekatwa, hii ni kwakua ni Tanzania
@komandowainjiliyayesu
19 күн бұрын
Yaani kuongoza watu wakizaz hizi nishida sana Tunakaribia nyumbani Yesu anarudi amini ninachokuambia Yesu anarudi Jesus is coming soon.
@israelkisaila8401
19 күн бұрын
Siku hizi MTU anayenga'ang'ana na uongozi namuona huruma😂😂
@ashamkesa979
19 күн бұрын
Huyo yesu anahusika nini na maandamano ya wana soko la kariakoo
@rehemakarafuu-xi1py
19 күн бұрын
acheni uchoko serikali sikivu ndo nini mbona hamjasikilizwa kama serikali sikivu
@mufaddalmoawalla8522
19 күн бұрын
Lipeni kodi zote acheni kuliqlia
@kaaakwakutuliaa5179
19 күн бұрын
wafanya biashara kwanini msiseme mnahamia chadema wote ili wajitafakari hivi mna mtekenya kambare
@kaaakwakutuliaa5179
19 күн бұрын
kwanini msiitishiee ccm mnaipiga chini ili wajipangee
@swaibushemdoe2143
19 күн бұрын
Magufuli tunakuomba hata ufufuke dk moja tu ili uwone wananchi wako wanavyo lia
@MRASISKA
19 күн бұрын
𝗛𝘂𝘆𝗼 𝗺𝗻𝗮𝘆𝗲𝗺𝘂𝗼𝗺𝗯𝗮 𝗵𝗮𝗻𝗮 𝗺𝘀𝗮𝗮𝗱𝗮 𝗻𝗮 𝗻𝗶𝗻𝘆𝗶
@israelkisaila8401
19 күн бұрын
Wala hawezi kufanya chochote Kwa mgogoro WA kariakoo
@barakarobert1029
19 күн бұрын
Ila kwel rushwa bongo aiwez kuisha@@israelkisaila8401
@spendjulius-qz9mt
19 күн бұрын
POROJO TUUU😅
@israelkisaila8401
19 күн бұрын
@@spendjulius-qz9mt Kwanza anavyowasikiliza tu,ukimuangalia usoni,ni kama Hana hata muda wa kuwasikiliza
@caesar7745
19 күн бұрын
Kuna tajiri kachukua maduka 10 alafu anapangisha nae
@knight6757
19 күн бұрын
🇹🇿💪
@spendjulius-qz9mt
19 күн бұрын
Kweli yako
@knight6757
19 күн бұрын
@@caesar7745 amepewa vipi? 🤑🤑
@tibaasiligreatmoment8850
19 күн бұрын
Kabla ya soko hilo kujengwa yupo mmoja katika mfanya biashara ktk soko moja ya hapa dar nilimuuliza kwann masoko hakijengwa mara nyingi biashara zinazorota kabla ya hapo awali akanambia sababu mara nyingi huwa wenye kumiliki baada ya hapo ni wale maboss wananunua sehem za masoko na wao wanawapangisha watu kwa bei ya juu hivyo ndivyo inavyokuwa.
Пікірлер: 33