Mh. Makonda, hongera sana kwa kazi na Mungu akulinde. Tunaomba uje na HUKU UKONGA KIPUNGUNI. WAZAZI WETU WAMECHOSHWA KUAHIDIWA MALIPO YA MAENEO YAO BILA MAFANIKIO. MIAKA YAPATA 45 HAKUNA KUENDELEZA MAENEO YAO NA WALIPEWA AMRI WASIFANYE CHOCHOTE NA WASUBIRIE MALIPO YAO. TUNAOMBA HAKI ITENDEKE WALIPWE FEDHA ZAO ILI WAONDOKE NA HAWALIPWI MHESHIMIWA. NJOO TU UTUKOMBOE BABA MAKONDA. ASANTE..
@feliciarfrancis2388
8 ай бұрын
Mungu akulinde The Horn P. Makonda
@JlmwinukaOnlineTv
7 ай бұрын
Safi muheshimiwa
@niyomugabojohn8329
8 ай бұрын
Makonda amemeza roho ya Magufuri kabisa
@dorahmushi-we6ts
8 ай бұрын
Makonda nakupendaaa😭 mimi ni muhanga, nayajua maumivu ya kudhulumiwa ardhiiii😭
@susananyasani6526
7 ай бұрын
Safi Mheshimiwa Makonda wongozi mzuri kwa Wananchi na hasa wanyonge asante
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
8 ай бұрын
Wao ndiyo chanzo kikubwa cha kukimbizwa. Wameshindwa kuwaheshimu Waume zao na ndoa zao. Haki imekua tatizo Paulo. Mungu mkuu aturehemu. Amen.
@hassanndabila8244
8 ай бұрын
Katiba tu inatosha kuliko kumsumbua mungu Kwa mambo tunayoweza wenyewe
@shebbyelphonce8514
8 ай бұрын
Brother may God be with you ❤
@AlbertThadeo
8 ай бұрын
Wasomi ni wengi Kwa nini watumishi wanaichafua selikali fukuzeni wazembe wote kazini ajirini wengine
@chemli23
8 ай бұрын
Polisi wenye vyeo vikubwa wapi dar wanakula gud taim na watu wanateseka haya
@ismaildavid6970
8 ай бұрын
wala sio viongozi shida ni ccm haina watu wa kuongoza nchi kuna wezi tu.
@MtuSafi
8 ай бұрын
sasa hapo umeongea nini?
@MariamWiliam-z8k
8 ай бұрын
Uyu makonda mungu yuko ndani yake
@willydugilo3258
7 ай бұрын
Maandiko yanasema!! Haki ya mungu huinua taifa! Nayo amani furaha ya wengi!!
@gladistaemanueliy6336
7 ай бұрын
Mungu akulinde makonda rais wetu ajaye
@humphreymkony8915
8 ай бұрын
Hawa wakuu wa mikoa wanaotuhumiwa kuiba ni watu wa aina gani? Mhe Rais Samia tafadhali kuwa macho na hawa maRC. Hawakusaidii.
@stevewanga957
8 ай бұрын
ina maana Tz kuna ubaguzi sana
@KassimKhalaid
8 ай бұрын
Uyu makonda ako kama baba makufuli akii uyu anafaa
@dorahmushi-we6ts
8 ай бұрын
Jamani watendaji wa Serikali kwa nini mnawaangusha viongozi wetu wa juu? Mhshmw mama Samia, tunauona utendaji wako, Mungu azidi kukulinda mamaaa😭 Makonda mwanangu, kiongozi wetu mkweli, njoo Arushaaa😭
@joshuamtindya8683
8 ай бұрын
Tamaa
@asiamwanukuzi5085
7 ай бұрын
Kaka makonda mungu aendelee kukulinda
@blandinamwarabu5025
7 ай бұрын
Ni biashara gani unaifanya mama mpaka wanakuibia hela cash
@Itssutsuri
8 ай бұрын
Mhhhhh kumbe watuKama hawa wapo ndomaana mafuriko hayaishi
@AbsalimMbwambo
8 ай бұрын
SANAA TUPU... HII NI KUWADHALILISHA WANANCHI KWASABABU HAKUNA SULUHISHO KWA LOLOTE ZAIDI YA WATU KUJIANIKA SHIDA ZAO.
@GraceofGodTelevision
8 ай бұрын
Tuthibitishie kwa kutuonyesha ulichodanganywa {huna jema}
@FloridaAdelinus
8 ай бұрын
MTOENI MBARIKIWA GEREZANI, MLIMFUNGA BILA HATIA, WENYE HATIA WAKO MITAANI WANAENDELEA KUDHULUMU WATU.
@melanialeonard4031
8 ай бұрын
Acha afie gerezan au aombe gereza lifunguke lenyewe watu wamefungwa maisha kwa makosa ya kusingiziwa itakuwa huyo anatukana mpk serikali afie huko tupate simulizi za kusimulia kwa watoto wetu badae
@fidelismwakanyamale6787
8 ай бұрын
Huyu mchungaji wenu ni fala acha.afie uko gerezanj. Tuna taka nchi itulie.tumechokaa Na habari za barikiwa
@thaddeojude7511
8 ай бұрын
Kama yeye kweli ni mbarikiwa na avunje gereza na atoke...Yeye kwa nn alijiingiza kwenye siasa akaacha kanisa..halafu wanasiasa wenyew aliokuwa anawatetea wapo wanaendelea kula bata huku mitaan badala ya kwenda kujiunga na kumtetea Mbarikiwa.Siasa na Dini haviendani.
@Ernestlaiza
8 ай бұрын
@@melanialeonard4031huna haya na aibu,
@faustinedeogratias4337
8 ай бұрын
@@melanialeonard4031soma tena ulichokiandika
@Yomiyomi6897
8 ай бұрын
Hakuna haki. Dhuluma. Rushwa. Uonevu. Tanzania is a lawless society. Tumelaanika mnooo
@emakoresahili
8 ай бұрын
Yaan nchi hii watu wanaumia sana hadi ni aibu kwa nchi zingine.
@VeronicaMziray
8 ай бұрын
Yaani watu wana shida Kubwa sanaaa, fikiria kesi za mirathi miaka 10 jamani,
@EliaHiluka-ep3tp
8 ай бұрын
Kaka Makonda ujue kwamba Mwenye haki akitawala tawala taifa hufurahi Bali mtu mwovu akitawala taifa huugua hivyo wanaotawala katika maeneo hayo inaonyesha sio wenye haki ndio maana haki za watu zinazodhulumiwa
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
8 ай бұрын
Hizi mali za dunia zitatupeleka wapi?. Hawa watendaji wa serikali tatizo lao nini?. Kutatua matatzo ya watanzania nini kinawashinda?.
Sasa wewe ambaye hujakurupuka mbona hujatatua mpaka aje Makonda sasa
@SunnaSaidi
8 ай бұрын
Sijui ulijuaje kama tunapitia mambo magum jamani.
@AmosJuma-l6l
7 ай бұрын
Njoo na mwanza
@RenaldaZeramula
7 ай бұрын
Yawezekana polisi alijengq kwa kiwanja.chq huyo.mwanqmke.
@BonifaceHassan-j5m
8 ай бұрын
Wamesahau, enzi zetu,mambo yote, ni kwenda ofisi za CCM, turudi huko tena, vituo vya majamaa, hazina maana!
@ezraochora8495
8 ай бұрын
Makonda.acha.kuchezea.jina.la.mungu.bure.sema.tuondoe.ccm.sio.tumuombe.mu ngu.atendemiujiza..hapa.tatizo.ni.serekali.ya.ccm..nawewe.ni.ccm.makonda.acha sanaa
@maryambarayan7599
7 ай бұрын
MAKONDE WAKONDESHE😂😂😂😂
@RenaldaZeramula
8 ай бұрын
Kila.marq kuibowa wewe tuu jinga sana wee dada
@Fundi12345
8 ай бұрын
Aende wapi mahakamani ndiko kesi za watu wengi wanafatilia mbaka wanakufa kesi bado zinasomwaga ujinga san wadogo wanaharibu san utawara wa nchi mana juuu huko anaon kira kitu saf kumbe huku mitaani ni tabu sana
@hujulathkashaija7901
7 ай бұрын
rai tv tupo pamoja
@Rai_online_tv
7 ай бұрын
Asnt Boss
@amosisayi7540
8 ай бұрын
Hakustahili apande kwenye adhabau hadi siku 7😊
@yassinlumbe2678
8 ай бұрын
Mama haelewi alipoenda kudai haki yake alipaswa apewe elimu
@JaphetyMichael
8 ай бұрын
Pigakazi dogo
@radhiaally4872
8 ай бұрын
Sisi wenzio tulisha sahau kama kuna vyombo vya kutoa haki tujuavyo kuna vibaka waliosoma na kuvaa suti
@hamisimuhunzi7916
8 ай бұрын
mama nenda mahakamani ndio huko haki inapatikana CCM sio mahakama
@twiseghekisilu8845
8 ай бұрын
Mahakamani kumejaa rushwa Bora hapa anaweza saidiwa
@hamisimuhunzi7916
8 ай бұрын
@@twiseghekisilu8845 anapoteza muda wake bure CCM haina uwezo wa kubadili maamuzi ya mahakama
@adelinelyaruu3036
8 ай бұрын
Mahakama zinapigiwa simu
@ramadhankavisille7482
8 ай бұрын
Hajapata haki huko
@GodfreyOsward
8 ай бұрын
Ni jambo la hatari sana
@Yomiyomi6897
8 ай бұрын
Tanzania hujidai eti ina amani. Oneni madudu anayofumuliwa nayo Makonda. Hata kama eti hana mandate ya.mwisho, still inaonyesha how Hod-less Tanzania has become. Yana mwisho. Mungu atatuua woteee
@rashidchichalo7929
8 ай бұрын
Duuuhhh hatarr
@AlichunikiHashimu
8 ай бұрын
Fanyakazi makonda wanamchi tumekukubali
@alexanderkapinga700
8 ай бұрын
Alafu anatokea Punguani anaitwa mwanasheria mkuu yuko dar anasema eti aunde mahakana nyingine
@mashauriobedi6290
8 ай бұрын
Mahakama na jeshi la polisi ni mizigo isiyo na Faida,kazi ni Kula rushwa Kwa bodaboda.
@rispersum3235
8 ай бұрын
Mambo nimazito
@LibanleylaMuhidin
8 ай бұрын
Wewe mwanaume unamaking😂 faces au na wewe ndo wale wale 😂😂😂😂
@WebyNgogo-nj3fx
8 ай бұрын
Haki itainua taifa letu:
@elifasimwigema1327
7 ай бұрын
Makonda we we mbona kama unanikumbusha magufuli weweeeee! Ah!
@BozaDizamile-u1d
8 ай бұрын
MAKONNDA NCHI HII WEZI NA MATAPELI WAKO CCM NA CCM NDIO CHANZO CHA MATATOZO YOTE UNACHOFANYA WW NI KOMEDY BABU
@joelsaganya4077
8 ай бұрын
Maharaja zetu zero kabisa
@yukundapeter8200
8 ай бұрын
Askari huoni aibu?unamchuna mmama wa wa2,unatafuta laana na huyo dog uloowa,acha dhuluma.
@DieuIlanga
8 ай бұрын
🇺🇲
@MatronaThomas-wz5si
8 ай бұрын
Makonda. Piga mwingi
@johnjoel5012
8 ай бұрын
Mahakama imeozaaa
@stevenmarunda4353
8 ай бұрын
Makonda kama unaongea kutoka moyon Mungu akulinde binafisi uwaga siamin kiongozi yeyote wakitanzania kwenye idara yeyote
@caashamacalini3887
8 ай бұрын
Hiyo ndio ccm kazi kuonewa wananchi alafu wanataka kula tu kazi hizi alitakiwa Raisi anafanya kama magufuli ama mawaziri lakini hawajiwezi hata kidogo sasa hii ni aibu kwa ccm makonda anafichua mambo mengi watu hawasikilizwi huko polis na mahakamani ni hovyo watu hawatendi haki
Пікірлер: 86