Yah mdada ameweza kabisa naipenda maneno nasautiyake nzuri sana
@adamudamasi9502
Жыл бұрын
Huyu mdada anajua kuimba na sautiyake mzuri Sanaa atafika mbali Sana anawafunika wadada wengi Sana kwenye mziki ,Na nimrembo wa surajamani
@allthingdranabeauty
Жыл бұрын
Kiukwli sauti yake nzuri na ni mzuri Natural na anajua kujiweka kisanii kuvaa kuendana na anachofanya kam beyonce safi sana tunamwombea azidi kufika mbali nakujieshimu
@ramadhansadik001
Жыл бұрын
She is so creative and she is a talented artist, big up dear lov u and wish u da bect on that journey
@michaelmanugwa7454
Жыл бұрын
Aisee mdogo wangu unajua unajua unajua endlea kupambana🔥🔥🔥🔥🔥
@esthermuthoni3763
Жыл бұрын
Waoh much love from Kenya. Congrats
@arafasaidi2723
2 күн бұрын
Mtoto. Sauti. Nzuri
@mwajumsleman9070
Жыл бұрын
Tuseme ukwel t zuchu hamuingii hyu mdada kwnz zuchu akiimba live Saut yke mbaya😄😄😄Ila hyu hongera yake
@allthingdranabeauty
Жыл бұрын
Msifananishe na zuchu binti wa watu bado mdogo ndio kwanza asije kupotea acha bwana
@salamacool6794
Жыл бұрын
Piga kazi dogo allah kareeem
@issaabudullah3856
Жыл бұрын
Kusema ukweli uyo dada anajua kuimba
@abouayman8713
Жыл бұрын
af yuko na mvuto uy
@victorokan2973
Жыл бұрын
Hapa zuchu hafiki huyu ni Madonga moto hiyo kawakishwa💯💯💯
@kingbyaro6016
Жыл бұрын
Wa kwanza naomba like 1 tuu
@junelatifah1385
Жыл бұрын
Congrats yammi much love from +254
@othmankhatibothman3051
Жыл бұрын
Kizuri ni kizuri tuh always tunapenda kutrendisha vitu vilivyo so difficult it yammy not zuchu tusilete complain za kuvunja watu moyo
@irenechris5418
Жыл бұрын
True
@fadhilamlay407
Жыл бұрын
Sauti nzuri sana naww mwenyew mzuri
@azanyboy
Жыл бұрын
Huuu Sasa ndo mzikii fire
@alicenice1711
Жыл бұрын
Mashallah kasauti ka nandy😍
@oguta_254
Жыл бұрын
Can't wait a collabo with mondy/khan
@mkaleboybeatz4343
Жыл бұрын
Manshallah ❤️❤️🔥💥💕🎉
@user-xx1yw7jw2p
Жыл бұрын
Sauti kama mondi zinafanana 😊
@japheth2673
Жыл бұрын
Zuchu hamfiki yamm hata na robo hawaendani ymm ni mzuri amefanana na nandy wanaendana na viegezo
@sassboy9360
Жыл бұрын
Good music 🎶
@mwaruatsuma4169
Жыл бұрын
Jamani anasauti kama ruby mashaalla
@wakatv3704
Жыл бұрын
huyu demu ana jua tuna mjua siku nyingi
@collinfrank3505
Жыл бұрын
Kafanana na tems
@margaotto
Жыл бұрын
Hongera da yammi unafny vzr sid
@mkambotv5418
Жыл бұрын
Zuchu ajipange upya kudadeki huyu dada anajua mpaka anajua tena
@user-lq4fi9en3t
10 ай бұрын
Anaimba sana Yammy na sauti nzuli sana ila kwa rubby Bado sana
@malagalilaoscar9332
Жыл бұрын
Wonderfullll
@milliemildred8991
Жыл бұрын
Mashallaha
@ashasaid542
Жыл бұрын
Mashallah kipenzi
@user-rx5jx5wt3t
Жыл бұрын
Sauti nzur hongera
@isdorahtukiko4026
Жыл бұрын
Alhamdulilah ❤❤
@helenfoidy7206
Жыл бұрын
Yamini 150 asilimia
@zennajafary8059
Жыл бұрын
Msimfananishe n zuchu anakipaji huyu Dada naaamin atakuwa sawa kadri CK zinavyozidi kusonga Sasa zuchu anakujaje hapa zuchu mwenyew amechelewa kuwa sawa an kwenye mstaari ulioonyooka mumuache huyu Dada Kama alivyo kumbukeni n msanii wa nandy huyo kongole nandy many n karembo utakuwa sawa one day kipaji unacho
@janetymatola6639
11 ай бұрын
❤❤❤❤
@zuenakhassim
Жыл бұрын
Kama reyc vile, hongera dda
@azizamohamed7692
Жыл бұрын
Yuko vizuli sana kwa live unanjoi hongera habinti
@Ibn_Arabi_Sultan
Жыл бұрын
Ni vizuri sio vizuli😂😂😂😂😂
@azizamohamed7692
Жыл бұрын
@@Ibn_Arabi_Sultan shukran kwa kunuweka sawa ila si umenielewa nilicho maanisha
@oyay2821
Жыл бұрын
Zuchu arudi Zanzibar akauze samaki tushapata msanii mpya
@zainabmohammed4111
Жыл бұрын
🔥🔥
@maryamconstantine2232
Жыл бұрын
Msivunje moyo wa mtu ni vzr zaid kumtia moyo kwan sh ngap,unajua mtaani kuna vipaji ving sana na weng wao hawavitumii kbs na kavitumia ni tiktok uko so ikatokea mtu akaona kile kipaji cha mtu sasa yeye yule wa pembeni ndio anaamua kutumia kipaji cha uyo mtu..msifananishe zuchu na huyu dada.
@mariammbogo2283
Жыл бұрын
Hatar
@nairatomar9389
Жыл бұрын
🎶🎼💞💞💞
@christianmosses4408
Жыл бұрын
Uko vyema san hongeza bidii ufike mbali
@baimarrajahbuayan6237
Жыл бұрын
Anafanana. Na. Paula. Uso
@sabrinabakar4927
Жыл бұрын
Kwel kabisa Paula kajichubua tu
@praygodndosi8481
Жыл бұрын
Zuchu. 100 percent
@zuhuraakida5932
Жыл бұрын
Huyu mzanzibar lafudhi haiongopi🤷 good luck ♥️
@asmahaji6789
Жыл бұрын
Kama weli mm mwenywe nikimsikiliz namuhisi ni wakwet Ila wanasem sio WA Zanzibar
@mudarisuburhan7182
Жыл бұрын
Huyo Hana uwezo ndio maana ana fnanishwa na zuchu Yani Hana kitu kipya japo zuchu haja mfikia hata kidgo huyu dada Hana saut nzuri ya asili Mpka ajikamue Yani nyie mnauwa vpaji ....Sasa wasnii wakike wakali hvo hamjawaoona ..jmn muumchukue hata Agnes BSS duh kwl hatuwezi toboa kwa ubaguzi huuu
@mudarisuburhan7182
Жыл бұрын
No msanii hapo
@marafikistation
Жыл бұрын
Wewe unayo yaasili kaimbe
@josephgabriel723
Жыл бұрын
Zuchu kafata nin mnaokoment mbona mnamshusha ivo bila kujua😂😂
@maryamhamad3485
Жыл бұрын
Anamuiga zuchu
@lombardocrich6177
Жыл бұрын
Wee zuchu ndo anamwiiga huyu dada niwamda Sana ila alikuwa Hana pawer ya kutoka zuchu akasoma na zuchu anamjuwa vizuri kwamba ni mwalimu
@alicenice1711
Жыл бұрын
Njo mdudu gani uyo
@ilhamhaji1125
Жыл бұрын
Eweee😁😄😄😄
@eliyaelisha7482
Жыл бұрын
Yap ongera dada kaza sema ulikuwa out of key kalibu nyimbo zote sijui ni bendi au ila kaza inaelekea ujafanya mazoezi
@beueosbxbsis
Жыл бұрын
out of key? au tune mzee 🤣🤣🤣mana key wanafata hadi backing vocalists tuseme wako kwenye chords tofauti? tumtie moyo ujuaji sometimes sio inshu
@manmkwanyu3525
Жыл бұрын
Kila msanii siku izi anaimba kama zuchu Sasa ubunifu umeisha kwa wasanii wachanga au maana apo tunamuona muimba cover wa zuchu
@tabuomary1016
Жыл бұрын
Kwakweli huyu Ni cover wa ZUCHU.
@lombardocrich6177
Жыл бұрын
Sasa Kama hujuwi huyu ndo mwalimu wa zuchu....zuchu mwenyewe ndo anamwiiga
@luqmanomary3558
Жыл бұрын
Kunbtfaut kubw ya uimbj wa zuchu na yammi unamkosea heshima vocal za zuchu n taarb fln ila huyu hyuk huko
@Khmy54
Жыл бұрын
Huyu mdada wa mda zuchu hapa ndo anaiga
@salimmbarak618
Жыл бұрын
Ni kama zuchu ndio wa kwanza kuimba 😏 ,, Yammy ameanza kitambo ila watu ni mashabiki wa WCB but sio wa Mzikii mzuri
Пікірлер: 73