Dah,Mungu ni mwema sana. Nabarikiwa sana neno la Mungu kupitia Kwako Mch. David mbaga. Ubarikiwe sana Mch.🙏
@rodahadhiambo3637
Жыл бұрын
Amen to that sermon ,may the name of God be glorified .
@MN-hi8ll
Жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki rafiki yangu
@stivinkihenga497
Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji,mahubiri yako in mazuri sana
@florencenekesa8243
Жыл бұрын
Live long mchungaji 🙏Kwa hakika mafundisho Yako yamenifungua macho ya roho 😢😢MUNGU akuzidishie zaidi🙏🙏🙏
@konardariri9266
Жыл бұрын
Amen
@user-os3vo4sm2n
7 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu aliye hai 🙏🙏🙏🙏
@rizikimanamaua9216
Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor kwa neno. Hakika unapo pitia jambo lazima kumuuliza Mungu pamoja na subira.
@singuadam2092
Жыл бұрын
Amina mtumishii
@c.k.l3825
Жыл бұрын
Ukweli mtupu mtumishi. Niko huku kwao. Hakuna vitu vya asili umenitamanisha nyumbani. Waambie tena na tena, wasitamani wazungu. Africa tuko na yote ndani ya yoye. Barikiwa sana
@gosbertmuta5421
Жыл бұрын
Amen Asante Sana
@godlivermkono2231
Жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@knowledgetv5594
Жыл бұрын
Ninachokupendea Pastor ni hiki, au-hubiri dini yoyote, au chochote kile ila unamuhubiri Kristo.
@miamaltu5390
Жыл бұрын
Amen p mungu azidi kukuweka
@elpinakatana7469
Жыл бұрын
AMEEN MUNGU abariki fundisho hili 🙏🙏
@getrudenabwayo4754
Жыл бұрын
Kitu ilifanya nikaanza kukufuatilia mafundisho yako ni wakati ulifundisha umuhimu WA KUFUNGA na kuomba,mimi mwenyewe nilikuwa mvivu WA kuomba na KUFUNGA Lakin kupitia kwako imekuwa mtindo kwangu WA KUFUNGA hata siku Tatu ama wiki mfulilizo na ninaona raha nikiwa nashinda kwenye maombi. BARIKIWA Mara Saba sabini mtumishi WA Mungu ✊🏼✊🏼✊🏼🙏🏾🙏🏾🙏🏾❣️
@MN-hi8ll
Жыл бұрын
Amina
@ndayishimiyeriziki8696
Жыл бұрын
Amina 🙏 🙏 🙏 🙏
@weahfeint3406
Жыл бұрын
Mungu aliye hai aendelee kukupa hekima, maarifa zaidi, nguvu na moyo wa kuendelea kutumikia mafunzo yako yanabariki hasa somo la kufunga limebadilisha seem kubwa na muimu ya maisha yangu nategemea na maisha ya wengine pia, AMEN 🙏🏿
@victorondimu651
Жыл бұрын
Amen 🙏
@sophiamakani6133
Жыл бұрын
Amen and Amen
@emilynekesa1475
Жыл бұрын
Yani neno hili limenibariki sana,Mimi nimepitia haya yote,Hadi nikatamani niwe mu mslam🤔but kupitia neno hili God bless you 🙏. Riyadh town.
@MahubiriPrMmbaga
Жыл бұрын
Amen
@annastazia608
Жыл бұрын
Mchungaji Usije ukajaribiwa kuacha huduma hii unayoifanya. Ni ya muhimu Sana na inatuokoa wengi. Mr. Mwano wa TRVF.
@MahubiriPrMmbaga
Жыл бұрын
Amen
@jacquelinebyaombe9729
Жыл бұрын
Amena sana
@RoroRoserororo
Жыл бұрын
Amen, mungu nipe hekima
@gosbertmuta5421
Жыл бұрын
Hv pasta nikufananishe na nn kat ya mapasta wa hapa Tanzania 🇹🇿 nnaowajua? Hapana kiukweli MUNGU wetu akupe zaid
@roselineombati670
Жыл бұрын
Amen,a wonderful sermon
@justinidaudy5438
Жыл бұрын
Pastor ahsant kwa mahubili mazur na maombi hakika kweli mungu amekutumia kuongea na watu wake amina sana
@philimonpandula8697
Жыл бұрын
👏👏👏👏
@MN-hi8ll
Жыл бұрын
Baba ananitengeneza
@hellenratemo2813
Жыл бұрын
Amen God bless you pastor
@marygati9861
Жыл бұрын
Amen.Yesu nipe hekima
@silvandoita3179
Жыл бұрын
Ameeeen Be blessed
@margaretwanjiru9096
Жыл бұрын
Mafundisho yako ya ajabu Pastor barikiwa sana 🙏
@priscambwambo1030
Жыл бұрын
Huyu jamaa ana IQ KUBWA SANA .NA ANAMJUA MUNGU
@evalinezacharia7872
Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri ya mtumishi wamungu mungu akulinde
@marysteven3543
Жыл бұрын
Barikiwa sana pasita,unatutia moyo sna
@eustina837
Жыл бұрын
Mungu ametenda majabu kwa Beth anste pastor kwa maombi Mungu akubarik
@lidiaawino4740
Жыл бұрын
Mungu nipenguvu nisikate tamaa
@kwambokakwamboka8382
Жыл бұрын
Pastor am new here n I like ur sermon so much,we ar together,am watching from saud Arabia 🙏
@neemawambura8138
Жыл бұрын
Amen Pastor barikiwa sana
@upendoeliudi5196
Жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana pastor David mmbaga
@stevenwambura1290
Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki pastor asante kwa somo zuri
@msangodiesel3132
Жыл бұрын
Kizazi Cha Sasa wanatafuta ushoga wanataka vitu vizuri kwa mkato ukiwambia wanakwambia ni wakizamani wanachoka kabla umri somo litawangia na pamoja na sisi
@chancekambale3498
Жыл бұрын
😂😂😂😂 sasa kuna tafauti gani kumkumbuka "Yesu" ukiwa umelewa naku mkumbuka "malaya" ukiwa Kanisani??? Wanadamu Tuna shida sana😂😂😂😂😂😂😂
@alicesidi9601
Жыл бұрын
Amen be blessed Pastor Mmbaga and your family
@eustina837
Жыл бұрын
Anster pastor kwa maombi Mungu nimwema kwangu lakin Mungu amguse boss kunakitu bado lakin namatumain Mungu atatenda kwa wakati wake
@alicenyakawa2449
Жыл бұрын
I thank God for His grace upon me, I’m walking down streets of foreign cities but my heart is full of joy and praising in my lips I know even though I’m a sinner God still loves me thank you pastor
@MahubiriPrMmbaga
Жыл бұрын
Amen
@jacksonwaitoro7920
Жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga nna shida na no ya mbaga
@amjudith
Жыл бұрын
Jamani mungu atusaidie 🙏🙏🙏🙏
@everlyneiminza5722
Жыл бұрын
Nimeyapata vizuri kabisa asantee Mungu🤲Amina 🙏🙏
@MagokoNikolaus
2 ай бұрын
Niko Katoro geita naitaji vitabu vyako tavipaje
@MN-hi8ll
Жыл бұрын
Binamu!!!
@annasandomaseke
Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@cristinekenya1050
Жыл бұрын
Ni ukweli pastor Africa tumebarkiwa sana, huku Kila kitu ni artificial nko Lebanon
@mshigilakarume4425
Жыл бұрын
Ubarikiwe pr
@raysibo5316
Жыл бұрын
Asante sana Pastor. Sasaningependakuomba yeyote ambaye ana number ya pastor,tafadhari anipe
@silvestarlema72
Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@florencenekesa8243
Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏
@duluxbahrain6429
Жыл бұрын
Amen Amen
@obedimunguachiza8434
Жыл бұрын
Mungu azidi kuwa nawe pastor 🙌 asante kwa ujumbe mazuri.
@pendosimwimba2544
Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@Estherm309
Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mborawakiche7564
Жыл бұрын
Aminaaa
@munyetijesjeri3134
Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼nabarikiwa nikiwa kenya🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@silvestarlema72
Жыл бұрын
Usemavyo nikweli pastor niliamua kwenda kuanzisha kilimo cha miwa wa natambua mie ni dr wakasema nimetumbuliwa na rais mapato walipoyaona wakasema unatumia uchawi
@kelvinkimath4987
Жыл бұрын
Mchungaji mungu akulinde
@priscambwambo1030
Жыл бұрын
Yani mbaga umeongea neno hapa nakula matakataka Lasanya yani acha kabisa
@MahubiriPrMmbaga
Жыл бұрын
✋
@ruthkosgey9176
Жыл бұрын
AMINA
@luhuluyusufu2934
Жыл бұрын
Mafunfisho yako mchungaji inasaidia watu wengi. Sasa,ujikaze kuto kutaja tu miji ya huko Tanzanie,bali ufundishe ukijuwa kwamba hata Kongo DRC,tunakufata sana.
@marygoretysenga1119
Жыл бұрын
AWESOME SMS MTUMISHI
@keziaranga6329
Жыл бұрын
Japo ni usiku, lakini nafatilia kutoka Australia
@rizikilaunda961
Жыл бұрын
Amen 🙏🏾 Mungu nope hekima took!
@joliea2956
Жыл бұрын
Ubarikiwe saana
@phanemochache352
Жыл бұрын
Beautiful sermon Pastor!
@pasiandaqaro5926
Жыл бұрын
Mungu akubariki sana na aenndelee kutumia kwa Kaz yake na akuepushe na mabaya
Пікірлер: 86