Asante waziri Kabudi kwakuonyesha ushujaa na ukakamavu kuwatambulisha viongozi wa nchi nawakimataifa
@kimsamir965
3 жыл бұрын
Mungu ndio kilakitu mungu ni Mwema
@TumainAlfredy
Жыл бұрын
hakika umetuumiza baba yetu mungu akulide baba yetu bwana ametwa bwana ametowa bay baba
@juliuslangat9148
3 жыл бұрын
Next Vice president
@elrachum3866
3 жыл бұрын
Rip JPM
@AmaniPFungo
3 жыл бұрын
dakika ya 2:30 kwa ajili ya utambulisho wa majina
@nelsonngowi3950
3 жыл бұрын
Inauma sana kwakwel. Kazi zako zitakushughudia hata wakat haupo
@revocatusmpemba4237
3 жыл бұрын
Bulian shujaa wetu
@luzigakapande6921
3 жыл бұрын
Mh Kabudi unafaa kuwa makamo wa raisi wa Tanzania
@luzigakapande6921
3 жыл бұрын
Waziri Mh Kabudi anafaa kwa makamo wa Raisi
@cdealvic4400
3 жыл бұрын
Nakuombea uwe makamu wa rais tz
@manuraurent7910
3 жыл бұрын
Palamagamba kabud unafaa kuwa makamu wa rais kwa kwa ukakamavu unaoonyesha
@sasha-ri7tf
3 жыл бұрын
Kauwa sana alidiriki kujiona yeye ndio kila kitu alisahau kama yeye alituomba kazi kutoka kwetu kua mtumishi wetu, baadae akaazakugeuka na kuuwa, kutesa,kunajis,kubambikia watu kesi za kutakatisha, kuweka mashehe wa bara na wa visiwani ndani kwa kesi ugaid Allah hazihakiwi kampulizia Corona hivisasa chali haamki tena hata Bishop Gwajima akizikiri uchi na hata Wilson Mahera akimtangaza tena na tena hatoamka tena kwisha zulma.
@davivancee9991
3 жыл бұрын
Wee fara kweli hujielewi
@filbertmwanyika6823
3 жыл бұрын
Duh umekosa hekim nyau wewe
@lughanojohn4211
3 жыл бұрын
Una laana sana wewe sio bure,, MUNGU Akusamehe bure kwa kukosa hekima na malezi bora utotoni mwako......
@joycekelvin5434
3 жыл бұрын
Ni bora mama yko angetoa mimba yko kuliko kuleta laan katika ktk nchi yetu
Пікірлер: 19