Wakati ulikua Korea hukua unaongeya Leo hiyii tz unaongeya kama kasukuu😂😂😂 ila unaongeya pwenti❤
@hellenalex9541
22 күн бұрын
😂😂
@elizabethmasters5998
21 күн бұрын
Mm naon anaongea utopolo tu
@ManirakizaOmar
22 күн бұрын
MAMA nisataa Mungu amupee maisha marefu namupenda Sana anamoyo wapeke ❤ Asante sana MAMA
@maryamtanzania9743
22 күн бұрын
Cha kwanza anamshukuru rais kamsahau mngu
@elizabethmasters5998
21 күн бұрын
Kuitwa kwa kujipendekez
@baranyikwamohammed628
20 күн бұрын
Muanze kwa kumshkuru mwenyezimungu,pili mumshkuru docta samia🙌
@thabitngangila8562
22 күн бұрын
Hakuna kitu mtafanya itapita kama korona kwanza hampendani. Hakuna atakae weka mtaji wa maana kwenu.hiyo safari mmebaguana.
@Aishatheboss117
20 күн бұрын
Mmtangulize mungu mbele kwanza alafu badaemama samia😢
@keyla3641
22 күн бұрын
😂😂😂😂😂stive kaongea vitu vya mana ila kashazoea kuchekesha hawezi kuwa sirias
@user-xc7qj7ze7m
22 күн бұрын
Toka kanumba ameenda hamna jipya mbona yeye hakwenda kolea na mambo yalipendeza
@Mbarukuhawa
21 күн бұрын
Kolea ni nini ndugu?
@elizabethmasters5998
21 күн бұрын
Hapo Sasa tujifunz speling
@RehemaSalum-vp6rf
21 күн бұрын
Shida kila kitu mnaiga
@user-jy4pm3hh9s
22 күн бұрын
Hii inchi kama ingekuwa kuwa kenya kingeumamaa mbna ovyo sana kutembeza machawa tu
@BigZhumbe
22 күн бұрын
Kwaivo unafkiri wakenya wanaandamana tu kwa kila issue, watu wanaandamana kwa mambo muhimu.
@aishakhamis2996
21 күн бұрын
Kabisa... Uyu Samia hana maana pesa mbili vitu vingi vya maana vipo vya kufanya Kwa watanzania km kushusha bei vyakula kuwajali wakulima yy ndo kwanza kawapeleka hawa wasojielewa china Kwa pesa za wananchi yaan bibi ww nimekutoa thamani...!! Yaan ingekuwa Kenya ungejua hujuwi...!!
@ManirakizaOmar
22 күн бұрын
MAMA naomba ajila please ❤ MAMA naomba ajila yoyote MAMA kipenzi chawengi hivi nawapinzani wanakupenda sana unachapa kazi Sana ❤❤❤❤❤ kazi iendeleye tz oyeeeee
@ProsperUlungi
22 күн бұрын
😂😂😂😂 hatuwezi kukuona huku
@user-wd2bc7bf5x
22 күн бұрын
Jifunze kwanza kuandika vizuri neno Ajira na sio Ajila ,Ajila nini ? na hapa sio kwa mama 😂😂😂
@najmahhassan7853
21 күн бұрын
Uchawa any place 😂😂😂😂
@ManirakizaOmar
22 күн бұрын
MAMA naomba ajila please ❤ MAMA naomba ajila yoyote MAMA kipenzi chawengi hivi nawapinzani wanakupenda sana unachapa kazi Sana ❤❤❤❤❤
@hawaramadhani6954
22 күн бұрын
Ajira sio ajila
@emmadora7848
22 күн бұрын
Kwanza nani kamwambia huyo mama yake anasomaga msg KZitem?😂😂😂😂@@hawaramadhani6954
@Bittertruth-u4n
21 күн бұрын
@@hawaramadhani6954keshaikosa😂😂
@elizabethmasters5998
21 күн бұрын
Sizalau nchi yangu lkn hapa kwetu bado sana kwanza korea wanasomea sana hapa kwetu kinasomew nn mtu akijua kulia au kuchamb watu tyr kaishapelekw kwny sanaaa bado sana
@Mgema001
22 күн бұрын
Nipeni like nile😂
@mvullamanase
21 күн бұрын
Toa hamu yako.... Maana kule Korea Lugha ilikunyima Nafasi..
@ibrahimkibira9943
22 күн бұрын
Bongo bhna 😂😂😂 fanyen kazi ..kina denzel. Kina Angelina Jolie...kina Jack chain wanaigiza na wanakaa nyuma ya camera kama ma produce.. maneno mengi kuliko kaz chawa mchafu
@ibnujumanne4054
22 күн бұрын
Tuendeleeni na silabasi ya binadamu wa kwanza alikuwa nyani, zama za mawe za kati kwa miaka saba kwa kiswahili then miaka minne kwa kingereza tuone tutakavyoendelea kupotezeana muda
@rkcomercialenterprises3209
21 күн бұрын
Huwezi kujifunza unachokijua.
@rajabdibwa6415
22 күн бұрын
Tumieni nafasi mliyopewa na mama
@mpjozzegalvanize4926
22 күн бұрын
Steve jau sana, kwa hiyo #Dora hana google account 😂😂😂
@aishakhamis2996
21 күн бұрын
Wema ushakuwa mzee alafu unavuliwa chupi na vitoto...?!...
@FredrickMatiku-xf2uk
21 күн бұрын
Kakiwa tanzania kanaongea kakivuka nje ya mipaka ya tanzania korea akaongeiiiii sababu ya lugha ya kiingereza
@elizabethmasters5998
21 күн бұрын
Kingine mlicho kosea kule kwao kutangaz tamadun zao badala ya kutangaz ya kwenu kwenye lugha sasa kichina ambacho hakina maan wakat mlikuw korea una vitu baadhi mnatakiw kujifunz lugha kabla ya kwenda
@kidmozjkm7965
22 күн бұрын
Kaji teteya😂😂😂😂😂😂
@jumazubeir5787
22 күн бұрын
😂
@mpjozzegalvanize4926
22 күн бұрын
Direct swahili😂😂😂 huyu jamaa muongo 😂😂😂
@MwemajaphetyZackalia
22 күн бұрын
We mshamba ulikiwa ujui mbona Watu wanajua siku nyingi izo mambo mbona tunazijua siku nyingi ramda wewe na wezako
Пікірлер: 43