Amen nyimbo zenu zinanibariki sana nawatakia mafanikio zaidi
@alexwalter4815
Жыл бұрын
Mwaaaaa hakika wimba unamtukuza Mungu mnanibariki mno
@agathazacharia4369
3 жыл бұрын
Mberikiwe Sana natamani nami sikumoja niungane nanyi niimbe pamoja nanyi moyo wangu utafurahi sana
@muhindoedmond6465
Жыл бұрын
vous êtes des anges(envoyés) de Dieu... merci pour ce ministère,que Dieu vous bénisse abondamment
@Kabango-i5e
Күн бұрын
J,aimes cette song ❤
@collinswanambisi8091
3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana na aendlee kuwainuwa sana hadi mumalize kazi aliyotuachia Yesu Kristo
@daynesslyaganga4133
2 жыл бұрын
Que jéhovah soie avec vous
@fnono4368
2 жыл бұрын
Ameen mungu awabariki Sana 🙏🙏🙏🙏
@eliseesangano1754
3 жыл бұрын
Bien ,mais la voix de moshenge nous manque ,que Dieu vous bénisse
@esaiemowavingi1833
2 жыл бұрын
Super cool
@tuyishimejean9029
5 жыл бұрын
Wimbomuzuri sana ohhh mungu wangu nawakumbuka sana nilikuwa naja kanisani kwaajiliyenu birere mere eglise musalimiye sana musafiri papa Calvin na Maman Calvin tunawapenda sana hapa USA Arizona mungu aendelee kuwabariki
@jeromekitsere2509
3 жыл бұрын
Amiiina
@victormwita4078
4 жыл бұрын
Wimbo huu ni mzuri kama jina lake lilivyo, unanibariki kila ninapousikiliza. Hongereni Injili Family
@gloriousnp
4 жыл бұрын
Here in 2020 Wimbo wa Musa na mwanakondoo, tutaimba 🇹🇿🇹🇿🙏👌 This song is underrated , Mungu awabariki
@amanibwire4423
5 жыл бұрын
mbarikiwe sana nawapenda sana toka Arusha Tz
@abymikeabymike9742
5 жыл бұрын
Wimbo mzuri Mungu awabariki zaidi tuimbe wote na Yesu Mbinguni
@jacobkeleman8001
6 жыл бұрын
Kwakweli mlitubariki sana na Chini ya Mwamba
@johnesiekabunga6146
4 жыл бұрын
Merci soyez béni
@christophenshimyimana5615
5 жыл бұрын
Glory be to God! May The Almighty God bless you so much as you serve Him through songs
@matridambunda9952
5 жыл бұрын
Mungu awe nanyi
@maombimimi9014
5 жыл бұрын
Hakika mlitubariki sana
@habagodfrey645
5 жыл бұрын
Thanks for blessing my soul through music! Watching from USA!
@rehemaisaac1019
5 жыл бұрын
I love the song
@upendogodfrey7919
6 жыл бұрын
tupia na chini ya Mwamba.
@allanyusto
6 жыл бұрын
Upendo Godfrey maoni yako yamepokelewa yanashughulikiwa. Chukua link Share na wandugu wote
@zamdasalumu9740
5 жыл бұрын
amina
@watotowetutv9152
6 жыл бұрын
Uwiiii.. Nabarikiwa mnooo!!
@damsonmywanga4405
6 жыл бұрын
Mubarikiwe
@anthonysulula766
6 жыл бұрын
Kuna wimbo wenye message " waogopa kifo kuliko kuogopa dhambi " tuleteeni huo,ujumbe wake ndio tumaini letu
@yusufmachele8128
6 жыл бұрын
Aminah
@jafarisimfukwe5914
6 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA
@allanyusto
6 жыл бұрын
JAFARI SIMFUKWE Usisahau kushea
@franckmakungumushika7053
5 жыл бұрын
Mubarikiwe sana
@tuyishimejean9029
5 жыл бұрын
Sasa mzehe wakanisa angali papa Calvin? Muniambie nduguwapenzi
@allanyusto
5 жыл бұрын
Subscribe upate nyingine nyingi
@denismiya4573
6 жыл бұрын
i need more
@hayshitua6451
5 жыл бұрын
Nyarugus CDA chois
@hayshitua6451
5 жыл бұрын
Mtakatifu agustino karatu high school
@marthastephano534
6 жыл бұрын
Amen
@lessamwakatumbula8099
6 жыл бұрын
aminaaaa
@laizsuke8265
6 жыл бұрын
Wimbo wa mwanakondoo hallelujah, ila audio ni tamu zaidi
@allanyusto
6 жыл бұрын
Usisahau kushea na ndugu wote
@laizsuke8265
6 жыл бұрын
Allan Yusto nimeshea sana huku ni injili family international tu but plz upload more songs mpya kwa KZitem tumewamiss,
@christinamdimi108
6 жыл бұрын
Amina, nabarikiwa sana na waimbaji wa injili family album hii inapatikana wapi?
@allanyusto
6 жыл бұрын
Popote inafika. Inasambazwa na JCB studio. Wewe uko wapi?
Пікірлер: 49