Ngwair was super talented for sure. Respect to the legend and may his soul rest in eternal peace 🕊️
@MobigoMobigo-io5re
16 күн бұрын
Stive B Ngwair daaaaa
@miroboy1605
24 күн бұрын
Albert 🔥
@husseinkaoneka5834
Ай бұрын
ngweir dah basi tena alishindikana
@mtiri1980
Ай бұрын
Ngwea amefanya live live ya hapo hapo sio ya kujiandaa. jamaa alikuwa anajua sana
@INBOXSTEREO
Ай бұрын
Ngwea👑
@inearclassictz1233
Ай бұрын
😅😅😢😢
@davidoscooper237
2 ай бұрын
Ngwea is kipaji
@jumamofu9573
2 ай бұрын
2024
@user-ik8dd9hm4s
2 ай бұрын
2024
@user-wu9zh1hc3i
2 ай бұрын
R.i.p Mangwear pia Dj skills tunashukuru kwa mda mlio tupa burudani
@fadhiligohalema9452
2 ай бұрын
dah rip ngwer rip dj skillis
@DavidMbwilo-qk1bz
2 ай бұрын
2024 cowobama 💥💥💥
@deejaymsomalytz8910
2 ай бұрын
2024
@davidkifua8465
2 ай бұрын
Last week anaejiita mbuzi(G. O. A. T) kashindwa kufreestyle R. I. P LEGEND NGWEA
@ololosokwani1140
2 ай бұрын
Nimekuja apa 2024 baada ya younglunya kushindwa ku freestyle na beat alilopewa pale wasafi..😂😂 sema Mchomvu asinge mstopisha ngwea angechana adi leo hii maana jamaa freestyle kama anakula kalanga tu hatumii hata nguvu😂😂😂😂
@makenaOG
2 ай бұрын
Tujiepushe na ulevi na mihadarati uzungu mwingi utatuponza
@comradeandrewsaul5459
2 ай бұрын
❤ Ngweair
@MichaelShigela
2 ай бұрын
2024 Bado tupoo
@mohamedjumanne5484
2 ай бұрын
The man himself...rip cowwizzyyyyyy
@isaacnewkaboy9132
2 ай бұрын
2024 still killing skill #ngwear
@robinsonjames9711
2 ай бұрын
Hii ndiyo ilikuwaga XXL
@FrankIsayaMgeni
2 ай бұрын
Sana yuposawa ngwea
@chibbya
2 ай бұрын
2024🔥🔥🔥
@thomastairo2021
2 ай бұрын
R.I.P king of freestyle Albert
@user-tw3jc4zz3m
2 ай бұрын
Henzi hizo 😂😂😂
@user-nm8ym6iq7n
2 ай бұрын
R.i. p , R.i p stive
@user-nm8ym6iq7n
2 ай бұрын
Quick sura yake inaonesha alikua na hofu ya michano
@jackstar508
2 ай бұрын
Rip ngwea
@danielgadiye7983
2 ай бұрын
2024
@MwendaHamisi
2 ай бұрын
Hicho kipande cha izzo b kinapatikana kwenye ngoma gani
@user-ib2ns8kf9h
2 ай бұрын
2024 hii ndio maana ya mitindo huru unaimba kitu papo kwa hapo bila kuandika
@pinotv1004
2 ай бұрын
2024 🌟🌟🌟🔥🔥🔥
@benjaminleonard5470
2 ай бұрын
Nomaaaa😂 2030
@nobartalbert4055
2 ай бұрын
Mnyama Ngwair aliua sana tunakukumbuka sana 😢 mpaka sasa hakuna wa kuziba pengo lako kaka. Rest in peace King of freestyle
@godfreydavid6847
3 ай бұрын
Ngwair hatari saaana
@DicksonJonas-nd6pq
3 ай бұрын
Kaobama noma
@terrywatahi1203
4 ай бұрын
Ngwaier ♥️♥️🔥🔥
@isdorysimon3313
4 ай бұрын
Keep listening, leo kama tunasherekea maisha ya ngwea
@user-nz8np7bz5k
4 ай бұрын
Rip ngwear
@chusseboywcb2808
4 ай бұрын
Gwea ilikua jini🙏🙏🙏🙏😭r ip
@Qqambaa
4 ай бұрын
Ngwair ana asili ya mkenya gonga like kama unamkubali
@gibbonsmwasotah3273
4 ай бұрын
R.I.P ngwir
@starboytzsam1458
4 ай бұрын
ngwear katisha kafunika wote
@iddikodo9897
4 ай бұрын
Video huwa nairudia coz of mangwear Hawa wengine hawajafanya freestyle
@frankkadahya7710
5 ай бұрын
Ngwea🔥🔥🔥 hakuna kichwa kama chake Ever
@tabaniezekiel6750
5 ай бұрын
cow bama🔥🔥
@issahamisi4066
5 ай бұрын
i can follow for you mnyama
@saidinanyani3019
5 ай бұрын
Mbona kama Adam anasema "Tumkumbuke Ngwair" kwamba this wasn't a time when Ngwair alive au mimi ndiye sijaelewa?
Пікірлер