Hongera Sana Msomi Mwambukusi mimi naona unatoa dawa ingawaje ni chungu lakini tunapaswa kuinywa ili tupone
@alfredsotoka2852
19 сағат бұрын
Me as a Lawyer and Advocate of the High Court I support this 💯 %
@japhethbaalinda1756
3 күн бұрын
unani inspire sana kaka nakukubali sana Mungu akulinde dhidi ya hao maharamia
@denisipaulo7785
10 күн бұрын
Watetea haki lazima tuwalinde yani Lisu mpina mwabukusi na wengine tuwaombe sana
@thagondale9041
12 сағат бұрын
I stand with you learned counsel
@japhethbaalinda1756
3 күн бұрын
Hongera mwabukuzi umeweka Legacy katika Taifa letu
@dignakanje4508
8 күн бұрын
Duuuuu htari sana,mungu zidi kujidhiirisha juu yadhwmbi hizi zinazoumiza wananchi wko.Pole kaka mungu mkuu kwko hki atakupa kutoka kwenye mikono yke.
@nestor384
10 күн бұрын
Kuna mbuzi moja ktk comment hizi inadhani kuwa kiongozi ni kusifia wanasiasa! Katika Bar ilipaswa kuwa imara na the real defender of law and justice.. Mkuu wa mkoa ana lawiti hakuna independent bar ya kuweza kutetea watu wa aina ile, Ni mpumbavu wa hali ya juu sana aweza dhania kuwa Boniface Mwabukusi asitahili kuwa kiongozi akizungumza kwa uchungu na ukweli..
@gracekagoma3231
7 күн бұрын
Hatari.Gen-Z n diyo dawa😮 Unase m a ukweli.❤🎉
@AndrewMwenda-ib1mx
4 күн бұрын
Hawa ni watu wenye utu uliopitiliza be strong tunakuheshimu sawa sawa uko sawa mkuu
@TemuCalvinWilbard
8 күн бұрын
Kaka nakuamini sana na kwa uwezo wa Mungu vita hii kwapamoja tutashinda
@abdull_hafidh
9 күн бұрын
Unakuta kuna mtu anamchukia huyu jamaaa mbona anachokizungumza ukimsikiliza kwa makini bila ya uchama au udini ndani yake kinamantiki sana
@jovinbikongoro3469
9 күн бұрын
Hongel sana watanganyik tuko nyuma yako unajua TLS baadhi Yao wamekua majangili
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Hongera sana Mwambukusi Mungu akubariki aendelee kukipigania. Hao wanasheria wote ni WANACCM tu wakati wa michango wanazila kwa raha kukubwa.
@clarencehilary5588
9 күн бұрын
Yaani nakuunga mkono kwa asilimia 800
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Waandishi hao ndiyo wanatuangusha kweli kweli kwa sababu karibu wengi ni wachawa wa watawala tu.
@FabianJustine-bq6qv
9 күн бұрын
Nikweli unachokisema Lakini nikundi la mambepali diyo kundi lao hatutawaweza kishelia mpaka jeshi liamue au wanaichi bila hivyo hatutomboi
@daudimichael7338
8 күн бұрын
Hawa ndo watetea haki?
@D.P.O
3 сағат бұрын
Tuko pamoja na wewe mzee wetu mpaka kieleweke
@user-ii7yw9ng5d
10 күн бұрын
Wamenunuliwa kwa bei ya njaa zao,Dola ina mkono wake hapo,baadhi ya mawakili wenzio ni wasaka tonge!
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Tunawaombea Mwambukusi, Mpina na wote ambayo wachawa. Sasa kama TLS ati ni wachawa pia. Wanatufanya kutowamini kabisa.
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Mungu yupo na atatutetea na wakati huu Mungu anatutetea.
@abdulmajidmageja6562
7 күн бұрын
Hongera sana wakili ❤
@AyzalRicco-mi6iu
9 күн бұрын
Ni mzuri sana ktk sheria ila apunguze mihemko.
@user-qy7he6cl8w
7 күн бұрын
Mihemko gani apo acha uchwaraa
@faustinejemsi1488
6 күн бұрын
Umeona hajierewi
@BarnabaChota-tw7ol
8 күн бұрын
Kuzuia kipawa cha mtu ni kosa maana ni cha Mungu
@HenryShaury
8 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@anosiata8242
10 күн бұрын
Nakupenda Uko vizuri kujenga hoja
@migerajacob581
9 күн бұрын
We are always together bro,, Tz ukisimama ktk haki wanakutengezea zengwe,,
@josephpetro2968
9 күн бұрын
wasaka tonge na machawa wamekufanyia figisu watanganyika tunakuunga mkono
@aloycemruma6552
8 күн бұрын
Tupo sehem mbaya sana. Kama Taifa mwizi anakuibia. Halafu mahakama iseme kaelewaneni kwani. Mwizi .hawezi chukuliwa hatua
@user-bs7cw1oi6z
9 күн бұрын
Hatariiiiiiiiiiiiiiiii Mungu atupe uzima
@Eulalia-zs5vd
9 күн бұрын
Mungu akusaidie na aendelee kukupa nguvu.
@adelinelyaruu3036
8 күн бұрын
Akutunze na kukulinda 🙏
@phantyrhymes9536
8 күн бұрын
Duuh I wish TLS watafanyia kazi. Maana Wakili msomi kaeleza kwa ufasaha sana.
Tanzania tunahitaji Ibrahim Traore wa Bukinafaso,!!
@juliusjohnii7823
9 күн бұрын
Yap💪💪💪💪💪
@isackphilipo9870
10 күн бұрын
This is double standard we won't vote
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Ati hao ndiyo wanasheria? Tena wanashughulikia mwanasheria mwenzie je wakishughulikia sisi wanainchi na kama CCM ikiwemo?
@NixonJohnson-zn8nk
9 күн бұрын
Hivi huyu mbona anauchungu na nchi tumper tuone Hays majizi yatakimbilie wapi
@christianmwabukusi8132
7 күн бұрын
Sasa inabidi urais wa nchi na sio TLS… Nitakusaidia kiroho na kimwili
@MethodkasyupaMwifyusi
9 күн бұрын
Kwan milad ayo hakujuaa kama una conference leoo Daaa jamaaa Kunguru sana yuleeee
@rizikiminga3010
7 күн бұрын
Sio uyo TU kalibu media zote yaani WCB TBC clouds ITV na zingine zote awawezi kutoa taarifa kama hii kwa uma, ila ingekuwa taarifa ya kwamba MWABUKUSI anaamia CCM ungeona media zote za Bongo Zina report😢
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Kwa kweli wewe ni mkweli na unapigania watu. Sasa hawa TlS hii ni CCM tupu. Kwa nini walimtoa Fatuma? Kwa kweli sidhani kama bado hawasimamia sheria sasa wanaweza kweli kukidhi sheria hata kidogo TLS. ndiyo sababu hata Mahakama pia hawafanyi majukumu yao pia.
@isackphilipo9870
10 күн бұрын
Hili hatukubaliani nalo
@user-pw8ml6ts8r
10 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏
@King_Of_Everything
2 күн бұрын
👊👍✌️
@denisipaulo7785
10 күн бұрын
Atuna Bunduki lakini tuna Mungu Tutakuombea
@user-ii7yw9ng5d
10 күн бұрын
Wamekuengua kwa sababu ya ukweli unaouishi,mfumo wetu umetengenezewa kuupora uwazi na ukweli!
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
8 күн бұрын
Tls iheshimiwe isiwe ya chama iwe ya Sheria tu
@AmosRugaimukamu
Күн бұрын
Yaani mwabukusi, unanipa Raha, Kuna jambo najifunza kwako, hakika uko poa sana
@christinenyagiro6662
9 күн бұрын
Ukienda kuomba msaada unapelekwa kule kule ulikotoka kwa njia za ajabu sana.
@AndrewMwenda-ib1mx
4 күн бұрын
Corruption to our country only God will prevail
@EphraimMwasonya-s1w
2 күн бұрын
Wewe wauongo sana huaminiki ulusema bandai hawatachukua wawekezaji yakowapi sasa hunajipya
@user-jj7qv7kh2s
9 күн бұрын
Tutakuunga mkono wakili msomi wala usihofu
@user-pv8iu6em6l
10 күн бұрын
Watu kamanynyi ndo,mliobak kutetea nchi baba simama Imala
@adelinelyaruu3036
8 күн бұрын
Haki huinua taifa
@NorbethJosphath-hm1zb
8 күн бұрын
Hizi nisku za mwisho kilicho baki Mungu tu wachungaji wakweli wote Tanzania kuomba Mungu tulipofika baya maonezi peupe shetani anatebea mtani bila woga mbalikiwa analia mtoto aliuwa ngolongolo wanalia sativa analia nk tunategemea mawakili nao magumashi tu tuko wapi Mungu tusaidie tutaponea wapi kweli hela baya Yesu alisema siku za mwisho watu wata penda fedha jamani wa Tanzania tuwe kitu kimoja Mungu futa vyama vya siasi lli tuwe wamoja siasa zitatupeleka pabaya
@D.P.O
3 сағат бұрын
Akinyea pilau😂😂😂
@mathiasombella7516
10 күн бұрын
Naomben mamba yake aise
@user-ph7ht5iw8x
8 күн бұрын
Kaka povu la nn ongea na mawakili wenzio na muelewane kuliko kukimbilia mitandaoni,jipange na kujuwa unakosea wapi mpaka wanakubaguwa,?
@NixonJohnson-zn8nk
9 күн бұрын
Mwamba tunakuhitaji mno
@freddymdassa
7 күн бұрын
Kwakweli sisi siyo wanasheria lakini kama hufai wakuache ukashindwe kwenye sanduku la kura. Kukunyima haki yako ya kidemokrasia tena ndani ya jopo la wanasheria inaleta ukakasi.
@AmosRugaimukamu
Күн бұрын
Mwabukusi nijembe sana
@user-bs7cw1oi6z
9 күн бұрын
Hapo saachochea au mnaonaje, siku Moja nilimuona anaandamana mwanza dar es mwanza
@gracekagoma3231
7 күн бұрын
Siasa ni m b aya
@ayububrantaya6624
6 күн бұрын
Myaki tulipamopene
@laninjeje8290
7 күн бұрын
Hata huyu mropokaji anataka uongozi?? Duuh!! Dunia imeisha, uongozi unataka mtu mwenye busara na hekima
@akramissa3393
6 күн бұрын
TLS ILISHAOZA, INAHITAJI WHOLE OVERALL. Sasa kama wanasheria wenyewe hawaamini sheria nakuisimamia,😂 maskini atapata haki kweli😃😃
@DiwaniMwafongo
5 күн бұрын
Wewe ni mwamba kaka... Kama maCCM yamepeleka Hela kumng'oa yule mchungaji shoga wa kihehe, ahamie CCM, serikali hiyo itashindwa kukinunua ,nisamehe kwa kuuita, " kikoba" Cha wanasheria?
@FedrickNgonyani
7 күн бұрын
Duuu kumbe ni michango😂😂😂😂basi acha povu zamu yako ikifika na wewe utakula tu
@jumamnumbwa9483
Күн бұрын
Huyu hana akili kweli ,ndio wanasheria wetu hawa wavivu wa kufikiri toka lini bandari ikawekwa kwenye resources exploitation? Huyu jamaa bure kabisa bandari inatoroshwa kwenda wapi?im3kua madini au pesa foreign exchange?
@GidionKombe-h1p
6 күн бұрын
Huyu jamaa anachoongea kina mantiki jaribun kutumia hekima nyie Tls mtazalilika
@sagandamalechampullo659
8 күн бұрын
Mwabukusi weka Namba ya Phone/ Bank Account tukuchangie kiasi cha Pesa Sisi Wapenda Haki
@hawaelymaricca7602
2 күн бұрын
Kumbe kelele zote ni uroho wa madaraka ili uwapande watu kichwani.
@simonnaivasha6393
8 күн бұрын
TLS ACHENI AIBU, WATANZANIA TUTAKIMBILIA WAPI??😂 HAPA MMEKUTANA NA MTAALAM WA SHERIA W😢AKILI MWAMBUSI, MTAJUA KUMBE HAMJUI !
@user-bq4tk6yq2q
7 күн бұрын
Hao mawakili waonaogozwa na rushwa kuunga mkono maovu ya ukandamizaji ni hatari kwa taifa
@menyemusic
7 күн бұрын
Na wao kwa rushwa? hapo vipi? hii ni kesi shetani vs shetani. laana ya dhuluma ndio inawatafuna
@lucymsheshi5871
8 күн бұрын
Hatutapiga kura wakati ukifika
@josephpetro2968
9 күн бұрын
machawa yana comment uchawa toa hoja mwabukusi hoja zake zinamashiko shindanisha hoja .
@GidionKombe-h1p
6 күн бұрын
Unajua nyie wasomi ndy tunawategemea xaxa mnakuwaje hamjielewi tena
@denisipaulo7785
10 күн бұрын
Niko nyuma yako mkuu
@user-nl3vn6dg6j
10 күн бұрын
Mbona unajikamua sanaaaa? Angalia usijetokwa na haja kubwa
@user-nl3vn6dg6j
10 күн бұрын
Palipobaki tafuta ngurue ufuge .
@user-vg9sd2fc1k
9 күн бұрын
Mmmh😢😢
@user-jj7qv7kh2s
9 күн бұрын
wewe huhitambui
@hamidmussa838
10 күн бұрын
Ww unacheza na serikali. Wala bado.
@user-nl3vn6dg6j
10 күн бұрын
Wewe kwa mazungumzo yako tu huwezi kua kiongozi hata wa nyumba kumi achilia mbali kua rais wa TLS. Huna sifa zakuongoza ndugu
@Kwelihukuwekahuru
10 күн бұрын
Ni sifa zipi alizokosa ndugu kamilisha hoja
@cyprianonesmo1832
9 күн бұрын
Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ndg! @@Kwelihukuwekahuru
@user-jj7qv7kh2s
9 күн бұрын
wewe jizi kubwa katika Taifa letu.
@user-lw3tg3yg5b
9 күн бұрын
Na wewe una sifa gani ?ya uchawa ?achana na Mwabukusi wewe huyu ni wale waliotumwa na Mungu kutetea raia na taifa kwa ujumla
@abdull_hafidh
9 күн бұрын
Kiongozi makini ni yule mwenye msimamo kama huyu Magu alikua na msimamo ndio maana Watanzania tulio wengi tulimpenda sana
@simonnaivasha6393
8 күн бұрын
Kumbe ndiyo sababu hawataki Katiba mpya kuna kundi la wahuni wanafaidi . Sema wakili sema ,usiposema mawe yatasema ! Amandla!
Пікірлер: 102