Mimi ni mwenyeji wa Kenya, nilishangaa sana huyu jamaa akikadhiria matukio ya huku kwetu hata kuliko Wakenya wengi mbali na kuwa msanii shupavu huyu Dudu Baya anaelewa maswala ya kisiasa na hata duniani...msomi huyu.
@msowamhokole7714
28 күн бұрын
Uwe mtangazaji wa radio nakukubari dudu ni zaidi ya baba Revo na mwijaku una IQ mkubwa sana
@JJ-fb9jp
28 күн бұрын
Dudu ni mchambuzi wa siasa mashuhuri nchini Tz
@feisalkhamis7370
24 күн бұрын
Big brain dudu
@MalangaMartin
28 күн бұрын
🎉
@allysudi4429
28 күн бұрын
Fact sana ankal KONK💥
@salisali3738
28 күн бұрын
Mashenzi majizi yana kula haki za watu 😂😅
@ntakirutimanarukundo6237
25 күн бұрын
Dudu baya namukubari
@Kuminamoja1995
28 күн бұрын
Tatizo mondi mzulumati
@janiafaomaa5120
28 күн бұрын
WEWE MATAGAZAJI WA MPALLA UPDATES NA DUDU BAYA NYOTE MNAMATATIZO YA AKILI NIMTUGANI WAKWEDAKUMULIZA MASWALI YEYE MWEYEWE HAJIELEWI NIMTU TU HATA JAMI ATAIAMBIA NINI IMUELEWE AJIWEKEVIZU KWAZA AWE MTU WA MUONEKANO WA HISHIMA
@ArnoldaCyprianhamis
28 күн бұрын
Sura sio roho,konk3 masta mwendo mdundo
@ArnoldaCyprianhamis
28 күн бұрын
We ndo mbugila kabisa
@Ancy_Conscious_Tz
27 күн бұрын
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje hapa ukosoe!
@RabihuHussein
23 күн бұрын
ww una muonekano gan kwenye jamii? yaan inakutambuaje, umefanya nn?🤣😅
Пікірлер: 17