Sijaona baya kwahao maisha ni mafupi na wakuwahukumu pekee ni Allah..ww unaewakosoa unamangapi unayofanya yakumpendeza Mungu na wanadamu wote..nakushauri angalia kwa macho Kisha funya yako unayohisi yanafaa.
Hayo ni maishayao,tusihukumu wapo wanavaa stara lakini ni wachafu balaa,tusihukumu siokaziyetu,wapeni elimu watabadilika
@rosemahenge9071
2 жыл бұрын
Kukaa uchi hakuzingatii umri ni tabia ya mtu tu sasa kama walianza maisha ya kukaa uchi toka wadogo mnategemea wazeeke ndiyo waache thubutu cha msingi kila mtu azingatie malezi ya wanae kama mnavalisha watoto wenu uchi uchi kwa madai ni watoto mnajidanganya hayo ndiyo yatakuwa mavazi yao mpk uzeeni
@nanaamandus9768
2 жыл бұрын
Acha kufatilia Maisha ya watu
@rosemahenge9071
2 жыл бұрын
@@nanaamandus9768 ww mwenyewe mpaka umekuja kureply comment yangu tayari umeshafatilia maana mimi nimetoa maoni kwa kile kilichowekwa hapo sijaenda nyumbani kwa mtu upo nyonyo👌
@najmasalim4321
2 жыл бұрын
Umeongea kweli
@LatifahPambe
2 ай бұрын
@@rosemahenge9071 🤣🤣
@LatifahPambe
2 ай бұрын
@@rosemahenge9071 hhhhh
@sophiekindem9071
6 ай бұрын
Beautiful ladies ❤ Age is just a number!! 🤷🏽
@lucyfelix6125
2 жыл бұрын
Kwakweli mnateseka sana na maisha ya watu
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
Mno
@umfahad2609
2 жыл бұрын
Kwa upande wng, naona wanaongea ukweli lkn. Heshima na stara ndio maadili yetu. Sbb cc sio wazungu. Ni watanzania jamani.
@hawakazimoto2949
2 жыл бұрын
WAACHE WENZIO KWANI MIAKA 40 NDO UZEE?
@carolineotieno8154
2 жыл бұрын
Njooni Kenya tuna President of singles Mother's na hatuhusuu
@JasmineMasika-y4w
26 күн бұрын
Nyinyi watanzania munashangaza sana kabisa
@dianakamau6194
8 ай бұрын
Wenye tumelelewa kwa familia ya nguo mrefu tusisikilie hao vibaya kwani wamelelewa kitaoo😂😂😂
@djbablin1326
2 жыл бұрын
Why don't you mind you're own business,let them be
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
Ok sir
@JoyceMwita-e3w
5 күн бұрын
😂😂😂😂et hiki sio.kigodoro Dada.we we.yatakushinda
@allyfwady123
3 ай бұрын
Giggy Ni mtu POA Sana mi namkubali vibaya na atafika mbali Sana giggy ,kwa giggy watapona tu ,watamwelelewa tu,
@NR-ll4sr
2 жыл бұрын
WaTz bhana kwa hiyo hao wazee😂😂😂
@nashnash2407
5 ай бұрын
Huwezi pangia mtu na life yake, achana nao inakuhusu nn,ww ndio mzazi wao? Ww jiheshimu mwenyewe
@fatuamjafary4959
2 жыл бұрын
Kweli wamezeka lakini wanajifezeesha
@عادلالجابري-ع7ت
2 жыл бұрын
Apo kwa kweli Kajala umeniangusha
@jenniffermumo6327
2 жыл бұрын
Unfortunately you miss use the word "kujiheshimu" kindly give us lecture about it
@nasrayahya2885
2 жыл бұрын
Wenzenu niwazungu jamani hebu waacheni wapumue
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gmlikaka
2 жыл бұрын
@TheThirdTv njoo Kenya basi umukute Akothee basi utakoma,
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
😀😀niko na hzo plan
@amiseki2021
2 ай бұрын
Kwa hiyo wasichana wadogo wanaruhusiwa kufanya maovu?
@sitintsoholi6287
4 ай бұрын
Wamezeeka wapi jamani miaka thalathini na arbayini ni wazee? 🙄
@jenniffermumo6327
2 жыл бұрын
Let them be. You can also imitate their good lifestyle. It's about them what of. I don't understand Africans, they like criticism alot and don't critise waxungu. Kipi cha mno na tofauti. It's their freedom of life. You forget others also judge you as you think umejustiri. Whatever you taint the words
@kingkaka6729
2 жыл бұрын
Tatizo Tanzania Unafki Umezidi Wewe Mambo ya watu Yanakuhusu Nini Fanya mambo yako Yakukuza familia yako Sio Mambo ya watu Uwoya Yanakuhusu nini
@faizamohamed6993
7 ай бұрын
Miaka ni namba tu hatujawekrwa mipaka ila ni sisi wanaadamu ndio tunayaweka ila hakuna roho kongwe so wacha mtu afurahie maisha yake
@happynelson1180
2 жыл бұрын
Miaka 42 huko majuu unahesabika kijana kabisa
@ashaali7154
Жыл бұрын
Huko majuu hakuna maadili wala heshima na kama umezaliwa bongo majuu kunakuhusu vipi. Acheni kuiga upumbavu nyie
@happynelson1180
Жыл бұрын
@@ashaali7154 naishi majuu sio bongo lakini huwa sipendi watu wajue lakini sasa imenibidi
@AfricaQueen
9 ай бұрын
Bongo hawaelewi maana. Ya umri wanapenda sana kuzehesha wenzao😏🤔
@moodyzanzibar4336
2 жыл бұрын
MAISHA YA DUNIA NI MAFUPI NA FITNA KUBWA SASA KAMA MTU ATAENDEKEZA SIFA MAVI NA UJINGA BASI KILA BINAAADAM ANAMWISHO WAKE NA HATA UKAE MIAKA MIA ,UENDE UCHI MIAKA MIA IKO SIKU UTAJUTIA UJINGA HUO 🙏🙏☝
@zainabseleman306
2 жыл бұрын
Unatangaza au unayapika majungu??
@zayanazayana5518
2 ай бұрын
Anaehukumu ni Mungu peke yake Wewe unajipa dhambi za bure
@zainabmsafiri752
Жыл бұрын
Kumbukeni kuna kurud kwa allah fanyeni toba kabla ya umaut
@funyawasaniiwote7598
2 жыл бұрын
Tunaitaji warembo kama hawa huku Nchini 🇰🇪 kenya
@happytz
2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@rukiaiddyyahaya9506
2 жыл бұрын
Dooo hahaaha
@funyawasaniiwote7598
2 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 kwanza mm nawapenda sana sijuwi kama naweza pata mmjo
@@rukiaiddyyahaya9506 ikiwa hiyo ndio njia ya kutafuta hela mbona nisioe
@RadjabuFirdaus-fr2lm
6 ай бұрын
Wow
@Esther-c8p
10 ай бұрын
Shughulika na ya kwako,maisha ya watu Achana nayo
@feli6manangu182
2 жыл бұрын
Mungu atawahukumu tu ☹️☹️☹️
@najashimsuya9156
5 ай бұрын
Amiin
@happynelson1180
2 жыл бұрын
Kwani Gigy ni mzee
@moomeja7753
2 жыл бұрын
je ww unae wasema wenzio unajihexhm? kama ww umeweza kuona hawahihexhm bax naww hujihexhm
@SeverinoLuis-j1h
3 ай бұрын
We mtangazaji mbona unavaa nguo zauchi mbona atusemi
@theopistakajuna2619
2 жыл бұрын
Kabakia mifupa hapendezi hata kidogo
@mawazomwamba2667
2 жыл бұрын
Mmemsahahu lina sanga
@gbhxghxhhv7890
2 жыл бұрын
Gigi sio mkubwa
@zachaliamachibola9044
2 жыл бұрын
Si mkubwa mtu anamutoto mkubwa tu
@MohamedAli-ho5fq
2 жыл бұрын
Ahaaa una wivu we una ndomaana
@benthasanali8163
2 жыл бұрын
Eenh ni lana tu iliwashukia hamna jipya..ushoga ushoga tu wanaiga wazungu eti
@blueberrypotatogames7950
4 ай бұрын
Maasta wanapendeza zaidi
@SharifaSalumu-k1x
3 ай бұрын
Acha watu wale bata bhana umri ni nini asa
@ArafaAlly-nj8gs
5 ай бұрын
Achaumbea
@Wendy-kz6cy
2 жыл бұрын
Umekosa jipya.What the hell
@fridageorge2809
2 жыл бұрын
Huna lolote wivu tu na hivi mnazeeka haraka mtabaki kupiga domo tu! Sijui umetumwa!!
@UmmyLubna-rp6rv
5 ай бұрын
Sàsa ukimuona Madona utasema nini.Acheni mambo ya kiswahili na umbea umbea tu wa kibongo.
@lainamuhammad610
2 жыл бұрын
Ujawai kua na makaka mashoga wee kwani unashangaa nini
@prettygirl9733
Жыл бұрын
Utaila wake nyooo ngoja hakusikie mbona utamkoma
@ablashaffy2860
2 жыл бұрын
Social medias kazi yao ndio hii
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
Habari, huu ni ukurasa wa burudani
@MwanjiNzala-mo5ni
5 ай бұрын
Kamuoneni jenifa lopeza ndo mjue uzee ni nn na bado hajazeeka
@MariamSaidy
11 күн бұрын
Nicole
@GeluadaMbepera-ys5wt
6 ай бұрын
Gigy bado mdogo sana
@blueberrypotatogames7950
4 ай бұрын
Nyinyi njo mnazeheka
@MariamChino
8 ай бұрын
We achaga kihelehele bwana kwahiyo w ndo unataka uvae uchi peke ako achaga kufatilia ya watu we hauna haki fatiria mavazi ako ndo ujaji ya wengine mmmh kama umekubuu kufatiria mavaz ya wenzia fatiria na kina kajool na kareena kapoor😮😮😮ukawashauri sasa mtumzima ni wwe
@olivierndikumana8530
2 жыл бұрын
Ni malaya
@saadajohnson3361
Жыл бұрын
Hiyo ni old fashion thinking....this is the 22 century , this is why I left TZ. I can't live by this mentality
@benpartydancer4343
9 ай бұрын
Mungu yupo popote😂😂 na tutakufa popote tulipo na Mungu atatuhukumu bila kujali unashetania Marekani au Kongo😀
@idrisahussein6654
Жыл бұрын
Wabongo hawezeeki
@adelinewakilongo3727
Жыл бұрын
Sasa shida ni Nini ina ku sumbuwa
@winnerhapila155
2 жыл бұрын
Uwoya ni laana ya ndiku sembe ina mbeba
@esthycashofficial1293
2 жыл бұрын
Duh
@maryaika9645
2 жыл бұрын
Love them or leave them
@yusufkamul5989
2 жыл бұрын
Mchane makavu ajiheshim anatutamanisha hats ss wanae
@pilidaud7862
2 жыл бұрын
Naaam
@baby_face_
2 жыл бұрын
vyote vita pita kila kitu kina mwisho
@MariamSaidy
11 күн бұрын
Niujinga tu na kujishusha dhamani yako
@habibtyhabibty840
2 жыл бұрын
Kazi yake anajiuza
@gladysKathambi-e1q
Жыл бұрын
na zari
@juliameesone1949
2 жыл бұрын
Irene Uwoya anafanya kaz ngan
@HusnaMuhammed-yx8nl
6 ай бұрын
Tena likajala lizee halijiheshimu
@Atotibabe
2 жыл бұрын
Kuzeeka wapy
@yustayusuph9101
2 жыл бұрын
Sio mama yao, ni bibi yao 💪
@salomeelias2609
2 жыл бұрын
Na wewe je unajiheshimu au ndo kazi kusema ya watu
@Odama-dn7xy
2 жыл бұрын
Sa gigy umri umeenda n ww
@magrethpaul5959
2 жыл бұрын
Mbona Mimi Nina umri wa 53 siko hivyo hao wote wadogo tu
@salumsaid9891
2 жыл бұрын
Anadanga
@oliviaseth4652
2 жыл бұрын
Haya kuhusu wewe dada mbona hivi
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
Samahani boss
@psj1564
2 жыл бұрын
Linna sanga na jide komando
@solangebagal3496
2 жыл бұрын
Wema sepeto mume sema ni shoga n'a bado haji kubali nandoma Hana mt,,,,,,.
@mercypatrick1918
2 жыл бұрын
Mamb ya mtt yametoka wp dada n mng anapanga kama we unao shukur uwez msem mtu kisa hazai
@solangebagal3496
2 жыл бұрын
@@mercypatrick1918 samhani 🙏🙏
@Odama-dn7xy
2 жыл бұрын
Sa inawahusu nyie qqmmk
@solangebagal3496
2 жыл бұрын
wema ana 50 hâta sura ipakwe mak up sura ina komaa ru
@salomeelias2609
2 жыл бұрын
Mwaka ya wema haikuhusu
@esthycashofficial1293
2 жыл бұрын
Kwa nafasi ya gygi mnge muongelea linah coz ni mtu mzima hata kumzidi wema sepetu
@user-maua
9 ай бұрын
Sasa wewe nimaisha yao siyo yakwako unaumia nini sasa
@maryaika9645
2 жыл бұрын
Looking for viewers
@winnerhapila155
2 жыл бұрын
Sembe
@morenewanjala4633
Жыл бұрын
Kajala ni too much
@oliviaseth4652
2 жыл бұрын
Mind your own business, haikuhusu
@naphisaolouoch5993
2 жыл бұрын
Age begins at 40
@MohamedAli-ho5fq
2 жыл бұрын
You just jeleus nothing much
@jan6703
2 жыл бұрын
Come again? God why are you people so fond of embarrassing yourselves by using languages you're not familiar with? 🤔😳🙄☹️
Пікірлер: 125