Pia wakitaka shape wanaeza nunua kama wengine, let's say like Zuchu she has money n she can afford it but anataka kuwa natural ❤️❤️
@dama4995
2 жыл бұрын
Ukimaliza kutuonyesha maumbo ya wenzako tuonyeshe na shape yko maana nikama watu walijiumba wenyewe😏😏😏
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
Nmeenda Uturuki
@sheilachebet1076
2 жыл бұрын
Yeah true
@Tabkelaal
2 жыл бұрын
Washenzi saana
@miriammumbi4351
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@neemasamson314
Жыл бұрын
Huyu dada mwenyewe mtangazaji mi namfahamu ni kimbaombao hatari naye yupo kama zuchu tu nayeye,
@jacklinenkirote7378
2 жыл бұрын
Hivi hofu ya Mungu mlipeleka wapi? Mungu aliumba kila mtu na akapendezwa na kazi yake, akasema inapendeza. Wewe ni nani uje kukosoa kazi ya mungu? Kiukweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwinzake. Nakuombea dua Mungu akupe ufahamu. Ujue huwezi panda juu kwa kushusha mwenzako. Nkt
@lucykiwelu4451
2 жыл бұрын
Kila alichokiumba MUNGU ni chema na kinapendeza, shauri yako mtangazaji
@gaudensiaselemani6608
2 жыл бұрын
Yani wew dada ume niboa sanaa aisee
@winnyrose4477
2 жыл бұрын
Hapana Kila umbo mwenyezi mungu ndiye hupeana
@souvenirweber7169
2 жыл бұрын
Wee pepo mchafu mkosoa viumbe vya mwenyezi mungu, ebu tuonyeshe pics zako siajabu umekomaa mpaka mate
@progensia9852
2 жыл бұрын
Acha dharau hijui Mungu anakuchukuliaje
@jescajuma1908
2 жыл бұрын
Mmmh jameni....ama una mkosi na zuchu....aki napenda sna shape ya zuchu
@omanmct135
2 жыл бұрын
Hatari ntanzaniya mekosa kazi mungu ndo anaumbA tabiya mbaya sana wewe mtangazaji
@deboraelias3333
2 жыл бұрын
Mmh Mwenyezi Mungu tusamehe cc waja wako
@happynzisa6463
2 жыл бұрын
Wewe Aliya una shape nzuri
@Naomie-s1b
6 ай бұрын
Jamani mungu awasamehe kweli. Mulijiumbia wangapi 'yinyi. Muna muzarau mungu. Mina APA kweli! Mungu awasamehe sababu hamujuwi munalo litenda. Ww ulie muzuri kifo kisi kukute. Jamani imeniuma.
@idrissansereko6403
2 жыл бұрын
Zuchu ni mbaya sana hâta kwa sura shepu ndio usisemi amekauka sana , meno amechonga ,MIGUU UTADHANI SPAGHETTI kama ya bwana ake Nasibu
@happynelson1180
2 жыл бұрын
Una wivu wewe
@happynelson1180
2 жыл бұрын
Sababu Zuchu ana shepu nzuri sana natamani tumbo lake
@thurearimo1224
2 жыл бұрын
Mungu haezi kukujaalia na vyote vzur duniani akikupa hiki atakunyima hiki,cha msingi nikumshukuru.
@neemasamson314
Жыл бұрын
Kweli kabisa upo sahihi
@SolinaEduard
Ай бұрын
Umbea tuuu kuoga aaaaah
@Nikita_8017
2 жыл бұрын
Don't criticise what God the Almighty has created
@iamzayibra2554
2 жыл бұрын
Sure
@bobson3646
2 жыл бұрын
Mimi simukubali ana jikubali aswaaa
@demicratia4071
2 жыл бұрын
Elizabeth ni mchagga sasa shape aitoe wapii
@merinakassembe4251
Жыл бұрын
Hata hole picha yauchi Jamani haimuonyeshi vizuri
@AlimaAssaneAly
23 күн бұрын
Uyo ni mwili mzur kuliko kuongueza
@khadijanjama8721
2 жыл бұрын
Mungu kawaumba hivyo sasa wafanyeje
@esthermusanga8118
2 жыл бұрын
Jioni
@zuenajuma9603
Жыл бұрын
Usimuumbue mtu wakari were huwezi kuwaumba
@AlimaAssaneAly
23 күн бұрын
❤❤❤
@EsterAidanmadati
3 ай бұрын
Ukimaliza kuzungumza naww weka ya kwako.tuone
@Tabkelaal
2 жыл бұрын
Umeniudhi saana dada
@omanmct135
2 жыл бұрын
Staafirulllah stafirulllah
@claudiabakisa8052
2 жыл бұрын
Astaghfirulwa
@ushyentoabdulnunu8044
2 жыл бұрын
Wa Tanzania nlikosa kazi za kufanya n akili ......kheeeeee Imefikia Kumkosoa Allah aaaaaaah mumezidi
@iamzayibra2554
2 жыл бұрын
Alf anatangaza huku anacheka😒
@mwanashasjambia8572
Жыл бұрын
Achakuwatoa makosa wezako wwe,je unaweza kuwaumbaa,muogope mungu wwe,ujafaa ujaumbika.
@tinershayo6191
2 жыл бұрын
Mbaya kwa shepu sura sauti zuchu mbaya
@happynelson1180
2 жыл бұрын
Acha wivu utakonda bure Zuchu ana sauti nzuri sana nasikiliza nyimbo zake kila siku
@janefridanchimbi2973
2 жыл бұрын
I Love you zuchu nakupenda sana tena zaidi Baki hivyo hivyo Wala usiwasikirize hao watu kama pesa unazo unaweza kufanya unavyotaka lakini umeamua uwe kawaida Hawa wenye shepu ni shepu za mchongo hizo zisikuchanganye
@aishalaizer8132
2 жыл бұрын
Kwhy hizo shepu za kubustiwa na sindano ndomnazisifia
@PrincessNjawa-fc7jj
4 ай бұрын
Waoooooo
@ShaymaaMlanza
7 ай бұрын
Umemsahau fahima
@merinakassembe4251
Жыл бұрын
Akuingia kwenye matatizo Ustashi kamwammbia ukweli
@Rashidmussa-m3x
10 күн бұрын
Tuonyeshe na yako ndugu mtangazaji,hiyo no tabia chafu
@ZahraIbada
2 ай бұрын
Namba 9 yake wallai na usitukosoe
@manziwamalindi224
2 жыл бұрын
Wewe unayeongea unashape nyoko
@ZuwenaMfaume-t5x
6 күн бұрын
Wewe mtangazaji hamna cha hawana shepu eti wanashepu mbaya katafute yako nzuri huna lolote wivu tu😏😏🤨🤨☹️☹️😤😤
@AminaSoud-s3r
5 ай бұрын
Ww unayoo shep nzur
@gaudensiaselemani6608
2 жыл бұрын
Una nini kwani wew unashape gani tuonyeshe lako
@stellawekesa8570
2 жыл бұрын
Ungekuwa muumbaji hivi wenye shepu mbaya tunge tupwa
@MwanaishaShattry
10 ай бұрын
Kwani wamejiumba wenyewe? Non sense weye mwenyewe hujitambui. Shape tumwachie Muumba mwenyewe maana yeye ndiye anayechagua shape gani ampe moja wake. Weye yamekuhusu nini huna issue mtangazaji kakojoe ukalale.
@mayungaagnes5660
2 жыл бұрын
Jmn hivi nyie mkoje hebu waachene watoto wa Mungu.Mnamkosoa Mungu yeye ndo aliowaumba iweje mkosoe😏
@shebbythespyro5393
2 жыл бұрын
Jamani amesema tu ambayo hawana shepu mtangazaji yupo sawa
@ummubalqys967
2 жыл бұрын
Wee dada muogope Mungu hata ww umeumbwa mda wowote Allah anaweza kukuumbua..kwani hujafa hujaumbika..
@neemasamson314
Жыл бұрын
Kweli kabisa anakosoa kama ye muumbaji
@margarethpolepole7438
7 ай бұрын
Huyo ni kama mama yake
@augustinwilondja7852
2 жыл бұрын
Zuchu akuji umba ila ni mungu njo amemu umba, dd zuchu acha mwili yako ivo ivo
@salminmabrouk5433
2 жыл бұрын
Wewe upoje tuoneshe na ww umbo lako
@ashajuma5413
2 жыл бұрын
Tuoneshe na ya mama yako
@salminmabrouk5433
2 жыл бұрын
@@ashajuma5413 mh umepanic pole yako
@ashajuma5413
2 жыл бұрын
@@salminmabrouk5433 wala sijapanik ila si vizuri poa nambie
@salminmabrouk5433
2 жыл бұрын
@@ashajuma5413 ok samahani saana
@eduvamsaniieww3454
2 жыл бұрын
Naeza taka kukuona wewe sana
@azizaidd1998
2 жыл бұрын
😂😂😂😅
@lucykiwelu4451
2 жыл бұрын
🏃
@aishalaizer8132
2 жыл бұрын
Nyamafu wewe,Kwan ww ni Mungu,kwhy ww unamkosoa Mungu ukiwa Kama na Nan labda,hebu tuonyeshe umbo lako ww,kimeo mkubwa
Huna kazi umekaa kuchunguza shepu za wenzio ungeanza kutuonesha yako afu tukuthaminishe na wewe
@asintarobati4545
2 жыл бұрын
Ww umasema watu hawana shepu ww unayo hiyo shep
@THETHIRDTV_
2 жыл бұрын
Kama Sanchoka
@happynelson1180
2 жыл бұрын
@@THETHIRDTV_ huyo sanchoka mbona ana shepu mbaya nimemuona live ana miguu kama ya tembo mpaka sio poa
@victorowiti6581
2 жыл бұрын
Wewe yako yakaa a
@safinamussa3211
2 жыл бұрын
dada umekosa kazi ya kufanya sisi tunawapenda wasanii wetu shepu hazituhusu kazi zao ndo zilifanya tuwafahamu na sio shepu zao dada jishikilie unanyege kwani??
@stellawekesa8570
2 жыл бұрын
👏
@sheilachebet1076
2 жыл бұрын
Uko na ujinga wewe dad umekosa ja kusema ama ni kutafuta tu views
@ummubalqys967
2 жыл бұрын
Ebu tuoneshe ulichokiumba ww ikiwa Allah hajaumba ulivotaka ww
Пікірлер: 92