Hii nyimbo imenisumbua sana kuipata sana , Toka mara ya kwanza naisikia efatha church mwanza nililia sana . Ilinigusa . Na mwaka huu kusanyiko Baba alivyo uomba pastor ukaimba ulinigusa sana . Kumbe mwisho wa yote umebeba uponyaji wangu .😢😢 Mungu akubariki pastor Anna komba Mungu wa efatha azidi kumimina mafuta yake juu Yako uzidi kuimba zaidi na zaidi katika roho.Amen
@HappynessThomas-z1x
2 ай бұрын
Amina mtumishi bwana akuinue ufikie viwango vya juu zaid
@PatriceaIgobeko
3 ай бұрын
Yani mt.huu wimbo roho ya efatha alikuwa kazini mungu azidi kukutumia mt.
@dokwakway5562
2 жыл бұрын
Nakupenda saana nauhakika hukuwa wewe wakati unaandika ujumbe huu Bali Kristo aliye ndani mwako Barikiwa saanaaaaa
@pamelaskaponda9263
11 ай бұрын
Kila mara napenda sana kusikiliza hii nyimbo inanibariki sana Mungu akubariki akuinue mama nakupenda mno
@dkabwiliza185
11 ай бұрын
Barikiwa
@JosephMtondo-y2x
6 ай бұрын
,asant kwa nyimbo nzr mungu awatunzee
@GracePhilipo-xn4xo
3 ай бұрын
I love you my love sister ana komba
@EdinaAtanas
5 ай бұрын
Amina. Mchungaji anna
@SophiaWilliam-p7j
Ай бұрын
Amina kubwa
@dkabwiliza185
Ай бұрын
Amen
@JuniorKijeba
3 ай бұрын
Efatha bana Kila ktu ni bora
@JovithaEgidius
Ай бұрын
Barikiwa sana mchungajiii ❤❤
@DianaMushashu
4 ай бұрын
Mungu wa mbingun azidi kukutunza
@emilesamwel2732
2 жыл бұрын
Nabarikiwa kila ninaposikiliza. Mchungaji mwema,nichunge niwe salama. Rafiki wa karibu unayemtia nguvu mnyonge
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Zidi kubarikiwa
@dokwakway5562
2 жыл бұрын
Barikiwa saana Mtumishi kwa nyimbo hiii jamanii nabarikiwa saana saana cjui nikwambiaje ,yaani nimefurahi saana kukutana nayo huku mtandaoni maana nilinunuaga CD so nilikuwa napenda saana niwe nayo kwenye cm yangu khakika maombi yangu yametimia,pia simimi tuu hata familia yangu huwa inabarikiwa saana na nyimbo hii,achia na zile zingine
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen, soon ntazi upload nyimbo zingine
@boisafishopping6983
2 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana lazima niusikilize kila siku
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amina zid kubarikiwa
@claramaganga1639
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hakika nabarikiwa mpaka najikuta nipo mbinguni kabisa. Barikiwa mpaka ushangae
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen, Barikiwa pia
@matildaeliud4924
2 жыл бұрын
MUNGU wa Efatha azd kubariki sauti yko nyimbo zko waga zinanibariki mnoo hta napopitia magumu nasikilza nyimbo zko najiona mwepes
@consolatamedard6593
2 жыл бұрын
Mungu akubark wimbo mzur sana
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@jacklinihamiss8061
2 жыл бұрын
Naupenda Sana wimbo huuu
@catherinenyundo1794
5 ай бұрын
Huu wimbo nikiusikiliza Kuna mahalo unanipeleka mcungaji Mungu akubariki
@upendowilbrod9996
2 жыл бұрын
MUNGU awatunze jamani
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@OmaryNyamya-qd9ue
9 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo barikiwa sana mtumishi
@dkabwiliza185
9 ай бұрын
Ameen
@juliehelman3392
2 жыл бұрын
Barikiwa sanaa
@angelsteve
Жыл бұрын
Ombi langu kwa Mungu wote mlioshiliki wimbo huu msiikose mbingu siku ikifika
@martherraymond6752
2 жыл бұрын
Huyu dada wa efatha jaman nafurahi
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Barikiwa
@ausonjustinian4673
Жыл бұрын
Asante sana mno mno BWN akuongoze uweke kibao kingine mpaka Shetan atetemeke.
@dkabwiliza185
Жыл бұрын
Amen
@judithkatoto3316
2 жыл бұрын
Mam la mm pend weeeee uko vizuriiiiiiiiiiiiiiiii nkupnda mnoooooo
@sarahwilliumkaluhawe5060
4 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo Mungu azidi kukutumia
@dkabwiliza185
4 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@meetanzania263
2 жыл бұрын
Ameeeen
@MarthamwashiuyaMwashiuya
11 ай бұрын
Nafikaga mbali sanaa juu huu wimbo
@erastocyprian3555
Жыл бұрын
Kipenzi cha Bwanayesu,ubarikiwe
@chelestiabenedict8411
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi.
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@juliehelman3392
2 жыл бұрын
Kazi yenu n njema watumishi mbarikiwe sanaaa kwa kazi hii
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amina barikiwa
@theresiakilawe6018
Жыл бұрын
Ni wewe tu faraja yangu YESU nifanye niwe wako siku zote katika wewe kuna hitimisho wimbo unanibariki sana Mungu akubariki Mtumishi
@proviaprojectus7350
Жыл бұрын
Hallelujah!! to the God of Efatha Church 🙏💗you alone deserve our heartfelt praises.
@agnessmbaga1249
Жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana sana, ninausikiliza Kila siku.
@mis_blazers_outfit99
2 жыл бұрын
Jamani huu wimbo ubarikiwe
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@neematemba6579
2 жыл бұрын
I like the song sure....it is covered by God's presence
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Be blessed
@LenahNyakule
8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@erastocyprian3555
2 жыл бұрын
Balikiwa mt wa Bwana
@octaviedamas8984
Жыл бұрын
Moyo Wangu jamañ 💘
@EMANUELAMWANOSA
11 ай бұрын
Mungu azidi kumimina mafuta juu yako
@yohanaobedi9580
2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana Mt,mungu akubaliki sana
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amina asante
@upendowilbrod9996
2 жыл бұрын
Mungu azidi kukuza vipawa vyenu nawapenda
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@JohnMengele-b2y
6 ай бұрын
Niifanye niwe wako Bwana
@upendomlaki1943
Жыл бұрын
Huu wimbo hautatoka kwenye moyo wangu naupenda sana
@dkabwiliza185
Жыл бұрын
Barikiwa
@octaviedamas8984
Жыл бұрын
Da Anna unaukonga moto YANGU jaman👌❤️
@rhodamwakasege8339
Жыл бұрын
Yesu ni mzuri
@annemalesi576
2 жыл бұрын
Thanks my sister's..my morning devotion every day..naupenda sana..
@erastokimaro4371
Жыл бұрын
Mtumishi wa Bwana Yesu Anna Komba
@jabuturiotedo1799
2 жыл бұрын
Haleluya
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@JOSHUAFARU-ue9rw
Жыл бұрын
Be blessed 🎉
@dorcasjohn3487
2 жыл бұрын
Dada Anna nakupenda Sana
@felistatarimo9261
2 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa
@DianaMushashu
4 ай бұрын
5:33
@JovithaEgidius
Ай бұрын
❤❤
@JovithaEgidius
Ай бұрын
❤
@barakamwingira9243
Жыл бұрын
🙏🙏
@sophiadavid4379
2 жыл бұрын
Nimebarikiwa Na huu wimbo kila wakati hallelujah 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amina zid kubarikiwa
@kelvinkelvin5897
2 жыл бұрын
Nyimbo naipenda Sana🙏🙏🙏🙏
@Grace-xo1zs
10 ай бұрын
My favorite song
@leopardkomba8434
2 жыл бұрын
Barikiw sana
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Amen
@edithaemmanuel5386
2 жыл бұрын
Amina
@dkabwiliza185
2 жыл бұрын
Barikiwa
@erneusmlelwa1716
2 жыл бұрын
Amen wimbo unanipa kuendelea nasafari ya wokov wangu
Пікірлер: 100