#hakokadudubyannointamani#
Kadudu ni tabia ngeni ambayo mtu kabra ya kuolewa au kuoa anakua haijui kabisa kwa mwenzie,
Watu wengi wakati wa uchumba hujitaidi kuzificha tabia zao za asiri wakihofia kuachwa,
Hilo sio jambo sahihi kwako, maana mme au mke ni mtu ambae Mungu anakupa tangu unapo funga ndoa mpka kufa,Huyo ndo msiri wako anae takiwa kujua kila kitu kutoka kwako,
ili hata kama mnaoana awe anajua anaoa au kuolewa na mtu wa aina gani.
Kama unampenda saana huyo mwenzio,ila unaona kabra ya ndoa kuna tabia hutaiweza,
bas ujue si riziki ni bora kumuacha ili mbele msi harbu sifa ya ndoa mka achana,
na kwenda kinyume na matakwa ya Mungu maana Mungu anachukia kuachana.
( NIA YAKO IKIWA NJEMA, UKAAMUA KUMFICHA MWENZIO KITU KWA FAIDA YA BAADAE,
HILO SIO KOSA KABISA,LAKINI NI KWA WALIO OANA TU,
NNJE YA HAPO KUWE NA SABABU NZITO ILI KUJENGA NA SIO KOBOMOA,
MAANA NI BORA NUSU SHARI KULIKO SHARI KABISA,
KAMA KWELI UNAMPENDA NA UNAONA KUNA SHIDA,
MUACHE ILI KESHO USIJE UKAMUUMIZA BAADA YA NDOA )
Annoint Amani Bookings,
Instagram Annoint Amani,
+255767240181 = +255755099942 )
VIDEO,
Directed by Kheri/Hanscana brand
+255693 354 566)
AUDIO,
A.E.A Tones studio,
producer by Meddy.
Dar es Salaam Tanzania )
Негізгі бет Музыка Annoint Amani = Hako Kadudu ( Official music Video Skiza Code 9039319 to 811)
Пікірлер: 485