kaongea ukweli kunawarembo kumzidi nawenye akili kumzidi ila kamchaguwa yeye
@saidahamad5920
2 жыл бұрын
Nilichojifunza hapa ni kwamba uongo unapendwa sana kuliko ukweli!!
@adbellar338
2 жыл бұрын
He said the truth. If most men could be as honest.
@benedictomb
2 жыл бұрын
Jamaa hajaandika makosa, kwani duniani kote hakuna mwanaume ambae ana ana mwanamuke mzuri ao mwenye akiki kuliko wote.
@mwanajumaomahundumla6504
2 жыл бұрын
Mbona jamaa yuko sawa tu sioni makosa yake tatizo watu wanapenda kuongopewa tu
@morrisalascas5124
2 жыл бұрын
Wapumbavu tu ndio wanamkosoa lakin hajakosea chochote kabisa
@africanproudly4004
2 жыл бұрын
Tunazidiana kwa kila nyanja na hakuna aliemzidi mwenzake haya ndio maajabu ya alietuumba For me he is so right take me as I am
@rebeckyusuph8058
2 жыл бұрын
Kaandika vizuri Sana kunakitu kwenye maandishi ndani yake nimemuelewa hakuna bola zaidi ya mwingine
@blessingbagio4857
2 жыл бұрын
He is an honest man. Bad thing people want to hear what they wanna hear. And all they want is lies. She's beautiful but not most beautiful 👌
@yasminoluoch169
Жыл бұрын
Mh
@adamyasin4089
2 жыл бұрын
He is right by the way
@damariszuckschwert9489
2 жыл бұрын
Who came up with the standard of beauty? Were all beautiful each in their own ways.
@lilianjeremia1024
2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀🤣🤣sasa kakosea wapi yeye anaempenda ndo kaongea ivyo wao from no where unaponda 2 jmn
@kibandachasimu
2 жыл бұрын
Hii dunia inawapumbavu wengi kuliko Wenye Akili zaidi So sishangai walimwengu Kumshangaa uyu jamaa nini kaandika.
@iddimoshi8459
2 жыл бұрын
Fact
@capteinchuimchafu7894
2 жыл бұрын
Mjuba kajiripua😂😂😂😂😂
@b.chantal5831
2 жыл бұрын
Hehehe 🤣🤣🤣 Nakumbuka kijana alivyoniambia"wewe siyo mulembo sana lakini nitakuwowa kwa sababu una roho nzuri".Nilimuacha, ..and it was very dramatic...,,he didn't believe.
@malak-lz6kx
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@pastorteddywaziri5754
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🙌🙌
@magrethjohn4929
Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mildredajiambo7835
2 жыл бұрын
But amesema tu ukweli waja hawapendi ukweli
@nadiaamisha2958
2 жыл бұрын
Jamaa kaongea ukweli 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
@sistertrashid2488
2 жыл бұрын
Ila akumbuke sisi wanawake tunapenda kudanganywa angemsifia tu nazani Ata uyo mwanamke atojisikia vizuri na atakua kashapunguza asilimia fulani katika moyo wa uyo mwanamke kama amempenda mtu basi ulichompendea ndio uwo uzuri wake kwahiyo tuelewane kwamba Ata kama mwanamke anajijua yeye si mrembo ukimwambia mrembo uwa a nafurahia Ata mwanamke ni mrembo ukimwambia sio mrembo Ata kama anajijua yeye ni mrembo atachukia sisi wanawake tunapenda kusifiwa Ata mkeo usipomsifiasifia siku akikutana na kijana anamsifia aisee unaweza kusalitiwa Ata kama una pesa za aje kwahiyo wanaume muwe makini na sisi msituchukulie poa sisi ni viumbe tunaopenda sifa
@queentoto3878
2 жыл бұрын
But she's beautiful everyone has her own beautiful it's not jus a out this man his so rude 💔 and hi not proud of her girlfriend 💔💔💔💔💔💔💔💔💔
@shadyandizeye9453
Жыл бұрын
I'm so proud of him 🤗 mi nimchana ila nimependa san alicho kifanya ,co's sipendi kudanganya😊
@allymachejo2996
2 жыл бұрын
Iyo ilibd ibak iwe siri yake sio kusema hazaran baharia mwenzetu kafel kinoma
@rjb31
2 жыл бұрын
Sns please, Just check An bring it up #wajakoyah Lookalike The kenyan Presidential Contestant
@ellybrown5989
2 жыл бұрын
It's ridiculous 🥺, indeed.Siyo kwamba wanawake tumezoea kuongopewa hapana, The beauty is the eyes of the beholder,kwahiyo hataki kumsifia sababu gani!mi nadhani mwanaume huyo ana inferiority Fulani ndo sababu Kaamua kuua confidence ya mrembo wa watu. Laiti tungepata nafasi ya kumuuliza mrembo huyo kwamba na yeye kampendea nini huyo mwanaume maana na wanawake nao Wana vigezo vilevile 🤔. Asituchoshe!🥱🥱🥱🥱.kama vipi angekaa kimya Tu.
@makondefinest
Жыл бұрын
That’s true
@aminanamoyo83
2 жыл бұрын
😔
@yeunhiasrwetze8377
2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@muddyshaka9017
2 жыл бұрын
Mmh
@najuf8021
Жыл бұрын
Kaandika point
@nelsonmatiku5862
2 жыл бұрын
Hapa mwendo wa uongo tu 😄😄
@mariamyoyote8172
Жыл бұрын
Hajakosea hata kidogo wapuuzi watamuatak
@pastorteddywaziri5754
Жыл бұрын
Mbona jamaa hajakosea popote.Ni kweli hata biblia ilimsema Raheli kuwa ni mzuri lakini Leah alikuwa na chongo ndio maana YAKOBO alifanya kazi kwa mjomba wake Laban miaka Saba Ili amuoe Raheli.Cha ajabu alibadilishiwa mke akapewa Leah kwasababu desturi Yao ilikuwa ni haiwezekani mtoto wa kike mdogo aolewe kabla mkubwa wake hajaolewa kwahiyo ilimlazimu YAKOBO kufanya Tena kazi miaka Saba mingine jumla ikawa 14 Ili amuoe Rachel na kweli akamuoa Rachel ambaye ndio alikuwa chaguo lake.Kaka yuko sawa kwamba wanawake tunazidiana.Huyo dada ukimpanga na Cleopatra yule malkia tunayemsomaga kwenye vitabu vya historia hawezi mfikia.Au TU tumlinganishe na baby sky wa kaka yetu Fredrick Bundala mbona huyo dada anapigwa mbali Sana🤣🤣🤣🙌
Пікірлер: 42