Meneja anaejuwa Mziki mzuri ndio meneja wa kuupushi mziki wetu hongera san Bab Tale unaheshima kubwa 💯
@youngchuda1568
Жыл бұрын
Harmonizer genius mpambanaji siitaji like za harmonizer🎉🎉🎉
@gibsonjosephat6352
Жыл бұрын
Anatumia nguvu nyingi akili sifuri 0.
@shadrackkamugisha4481
Жыл бұрын
Wanaotumia akili nyingi wapo wapi
@missmwayway4704
Жыл бұрын
@@gibsonjosephat6352 Utakufa mapema kwa chuki Mbuzi wewe
@musiccaentertainment100k8
Жыл бұрын
@@gibsonjosephat6352 wewe unatumia akilia na nguvu sufuri ukona nini😊😊
@omariaman7818
Жыл бұрын
@@gibsonjosephat6352katika akili sifuri hizo amepata mashabiki wengi sana
@vicentmillanzi7552
Жыл бұрын
Babu Tale nakuelewa... Uko vzr sana👏👏
@Waytozanzibar
Жыл бұрын
Safi sana, unyama mwingi 🫶💯🔥 Karibuni Sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani wangu 🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧🫧
@Manlike96
Жыл бұрын
Daah huyu faza sijawahi kumskia akiongea ni very smart kwakwel
@mayombotz
Жыл бұрын
Nilichogundua Nyimbo za Konde WCB wanasikiliza. BIG UP Sanaaa
@DouglasMassop
Жыл бұрын
Kwani si walimzaa wao. Hakuna cha ajabu
@kahindorose9983
Жыл бұрын
I like the way this guy talk's if all men we like him, the world would be better.i love you tal
@robertsafari6041
Жыл бұрын
Huyu mzee ni mkweli sana mpaka namkubali❤❤ BABU TALE wee mzima
@seifamani6364
Жыл бұрын
Babu tale nakukubali sana point zako za kuhusu mziki ur ao straight.. ila kwenye siasa bro honestly kiatu chako hakikutoshi natamani sana ukiendelea kuikuza hii tasnia na ukaachana na siasa....
@braystuskibassa3842
Жыл бұрын
Huyu bro mimi binafsi namkubali saana ni mkweli sana na hapendi majivuno n.k nakubali
@dommycash1
Жыл бұрын
HUYU JAMAA TUMPE MAUA YAKE KABLA HAJAFA❤❤❤❤❤❤
@MrTop-wj7no
Жыл бұрын
Best manager ❤️
@twahachongola1676
Жыл бұрын
Mungu akuweke babu tale
@petironabii7632
Жыл бұрын
Nakubali uyo mzee
@barakamshiu7146
Жыл бұрын
For me i would say babu tale is good meneja than kipara mwarabu
@kekiplus1andonly
Жыл бұрын
Yaani babu tale ni mtaratibu jamani😂😂😂😂😂😂
@zaidiissa3714
Жыл бұрын
Mirad vip bob achia full interview mbona hatukuelewe sikuhizi ushaanza kuzingua na ww humchezo niwakizamani
@petironabii7632
Жыл бұрын
Uyo mzee Ako sawa
@RachideIbraimo-y6e
Жыл бұрын
Babutale shawa ❤love 6:06
@omanmct135
Жыл бұрын
Babu tale safi sana❤❤❤
@jumaali7205
Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkarimu Sana anajua kuzungumza wala Jana chuki napenda anavyo ongea🇰🇪
@anjuadnani2607
Жыл бұрын
nakuonda saana babu tale sauti yako yaupole na unabusara pia hujisikii
@JerinaNguto-vv1gt
Жыл бұрын
Ongera, sana babu
@jerryfaraja1094
Жыл бұрын
Sijaelewa hapa,,kwamba,,?
@eladiuspeter586
Жыл бұрын
Interview za huyu jamaa mara nying hazipo real. Mara nyingi zimekaa kisiasa. Salam ndo ataongea ukweli
@مونيكمونيك-ع1غ
Жыл бұрын
Huyu mnafiki tu
@abduljafari881
Жыл бұрын
Kweli kabsa yaan
@abduljafari881
Жыл бұрын
Kweli huyu mnafiki
@georgemtui5204
Жыл бұрын
Angalia maneno yako
@aadam722
Жыл бұрын
I could listen to this man all day, 🥰🥰🥰
@Waberoya
Жыл бұрын
una matatizo makubwa
@amanimapenzi571
Жыл бұрын
Same
@amanimapenzi571
Жыл бұрын
@@Waberoya jibu kizungu
@sanchoMohamedi-bh3nf
Жыл бұрын
@@amanimapenzi5710p😊l0l
@abiboseleman1649
Жыл бұрын
babutale yupo km yanga hawataki wachezaj watoko
@allykarupa1411
Жыл бұрын
Upo vizuri kk
@ramayonline2281
Жыл бұрын
Huyu yupo really sana👏👏👏👏👏
@jessendegwahmusic488
Жыл бұрын
real ama really kakangu
@teedullah5708
Жыл бұрын
Kweli tale
@mrrajjy
Жыл бұрын
Ila msifieni harmonize kawachomoa
@richlymo
Жыл бұрын
Harmonize
@akidakombo259
Жыл бұрын
Acha ungese Kama mnampenda mbona ngoma zake ampig redio na tv zenu achen unafki konde gan for every body 😅😅😅😅
@giftezekiel6247
Жыл бұрын
Biashara hazingatii sana hisia na mapenzi yako
@dethajohn7538
Жыл бұрын
Nice
@costantinejoseph4907
Жыл бұрын
Ni mtu wawatu huyu jamaa
@NdayishimiyeSubira
Ай бұрын
Babu tale yuko vizur sana
@animalslife_1-g
Жыл бұрын
Babu tale mzee wa busara sana
@masendetv5942
Жыл бұрын
Upo vizur kaka
@kennyruben684
8 ай бұрын
Mtu mzima Sana
@jaypili7837
Жыл бұрын
Au vp mzee
@abdullaalwikabil3371
Жыл бұрын
Utamwambiaje mwenzako alive milioni 300 kweli kunaupendo hapo
@adolphmwangoje2887
Жыл бұрын
Tale kwakuongea ukweli me napendaga sana
@arafahhh5574
Жыл бұрын
Alimchukia kweli na alimuimba saana nyimbo za mafumbo na alimpa majina mengi tu
@amanimapenzi571
Жыл бұрын
Mmmmmmm
@JaymbwanziOg
Жыл бұрын
Hawa jamaa kwa unafiki tu, inabidi wapewe tuzo jmn. Unaweza ukaona wanongea mgomon hapa km watu wazuri. Ila Moroni mwao ni nyoka hatari. Hawafai hata kuumangia
@zclassicfashionz
Жыл бұрын
Big iz big
@damaresi
Жыл бұрын
💚💚💚
@FaustinDamaseni
Жыл бұрын
Good
@mariamalongo8803
Жыл бұрын
Ila Take umeongea vizuri, Dio wale wrngine
@cessymadollaz
Жыл бұрын
MIT MARATARI
@rajabukipara3008
Жыл бұрын
MNAFIK MKUBWA WEEH!😂
@daudichoghoghwe5035
Жыл бұрын
Kwamara yakwanza kumkubali tale
@aminmohammed4249
Жыл бұрын
KWANI HAMNA FULL INTERVIEW YA HII?? Naona clip fupi fupi tu
@mjumbewakristo8677
Жыл бұрын
Harmonize bange nyingi na sifa nyingi mpaka lebo chaliii 😂😂😂😂😂😂
@missmwayway4704
Жыл бұрын
Vuta na wewe Pepo la mguu mmoja wewe Achana na Harmonize
@mjumbewakristo8677
Жыл бұрын
@@missmwayway4704 makasiriko 🤣🤣🤣🤣🤣
@musiccaentertainment100k8
Жыл бұрын
Vuta nawewe utoke ngoma ya international 😊
@demyfilms
Жыл бұрын
Hili li babu tale ni Rinafiki aisee
@fadhilhimid2776
Жыл бұрын
Wie gehts es ihnen Babu Tale. Safi Sana.
@ayubundossi8903
Жыл бұрын
Sasa kama mtu anaweka vikombe chumbani unamhoji wa nini asee
@teddywanjau-yx5sc
Жыл бұрын
Aliyekuambia kuwa harmonize anataka kupiga picha na diamond? Ovyoooo!
Пікірлер: 108